Moja ya
taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya
habari asubuhi ya leo march 9 2016, ni pamoja na hili tukio la ajali ya
magari matatu ambayo ni gari la abiria aina ya DCM, Lori la mchanga na
gari lingine lililokuwa limebeba mchanga kugongana katika eneo la
Tabata, Dar es salaam.
Hadi sasa
hakujawa na uhakika wa taarifa za uhakika
Maalim Seif Alazwa Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam
BONYEZA PICHA HAPO
Siku
tatu baada ya kutoka India alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu,
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad jana
alilazwa katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar, Nassoro Mazrui amesema kuwa chanzo cha
Maalim Seif kulazwa katika hospitali hiyo jana asubuhi ni uchovu wa
safari yake ya India ambayo alienda kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa
mgongo.
Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, na rapa maarufu wa Marekani, Kanye West.
Stori: Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kutoka Tandale hadi
Marekani! Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
melidokezea Ijumaa Wikienda kilichojiri kwa takriban dakika 20
alipokutana uso kwa uso na rapa kubwa duniani wa Marekani, Kanye West.
UWANJA WA NDEGE LOS ANGELES
Diamond alikutana na Kanye West kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles wa LAX nchini Marekani
wakati akisubiri ndege kuelekea Las Vegas kwa ajili ya shoo na kazi zake
za kimuziki.
Hadi time hii headline za Uchaguzi wa Meya Dar es salaam zinazidi kutawala kila siku, ni siku mojatu baada ya Baadhi ya Wabunge na Madiwani
wa Ukawa kufikakatika ofisi ya Halmashauri ya jiji kutaka kujua tarehe
ipi uchaguzi utafanyika lakini hawakupata majibu hayo. Leo March 5 2016 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alikutana na waandishi wa habari na kueleza… ’Hatutaomba
tena kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam, tutadai
Mach 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka TanzaniaAlikiba alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo.
Wasanii wa Filamu TanzaniaElizabeth Michaelna Single Mtambalikewamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu)amechukua Tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike amechukua Tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawili
Bado taarifa zinaendelea kuitafuna familia ya Carters, na uvumi
mkubwa ni kwamba huenda vipepeo hawa wawili yani rapa Jay z na Beyonce
wamemwagana na kupeana talaka.
Kwenye sherehe ya kuzaliwa ya rafiki wa Beyonce,
LAYIII
Bonyeza picha hii kuingia youtube uone kilichojili
Usiku wa March 2 kuamkia March 3 jina la mkali kutoka Bongoflevani Belle 9 lilirudi kwenye headlines baada ya kuonekana kwa post katika mtandao wa Instagram inamdis Diamond Platnumz lakini baadae inadaiwa kufutwa na account ya msaani huyo kufanyiwa mabadiliko ya jina.
Baada ya muda stori zilianza kuzagaa mitandaoni kuwa post hiyo sio ya kweli huku
Leo March 2 2016 wabunge wawili wa chadema, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara Pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu. Wamefikishwa mahakamani
kwa ajili ya kujibu mashitaka ya kumjeruhi katibu tawala Mkoa wa Dar es
salaam wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam
ulipoahirishwa. Watuhumiwa wote
Wakati baadhi ya wabunge wa upinzani wakishikiliwa na polisi ama
kutafutwa kutokana na chaguzi kile kinachoelezwa ni vurugu kwenye
chaguzi za Meya na wenyeviti wa halmashauri zinazoendelea, wale
waliotolewa Bungeni kwa nguvu Januari 27, wote wametakiwa kufika Dar es
Salaam wahojiwe.
Mpaka sasa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, anashikiliwa na polisi kwa
kile kilichoelezwa ni vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa Meya wa
Dar es Salaam kuahirishwa Februari 27, mwaka huu.
Mbali na Mdee ambaye jana ilidaiwa kuwa polisi walifanya ukaguzi
nyumbani kwake pamoja na ofisini kwake huku kile wanachokitafuta kikiwa
hakijulikani, Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) na wa Ubungo,
Saed Kubenea, pia inadaiwa wanatafuwa kwa sababu ya vurugu hizo.
LAYIII
bonyeza picha kuiona video yake hapo mtu wangu
Msanii chipukizi wa bongo flaver kutoka tanzania anayetamba na kutikisa nchini marekani ameonyesha kipaji chake kingine kuwa ni bone la producer na hits zake zimekaa kwa maadhi ya kimataifa JAY METTY ni msanii anayechipukia na anaonyesha haswa zake nchini marekani huku akishirikiana na baadhi ya wasanii wa kubwa nchini humo kama kundi nzima la cash money na baadhi ya makundi ya sanaa nchini humo
CHUKUA MUDA WAKO KUSKILIZA AUDIO YAKE HAPA MTU WANGU
hivi karibuni JAY METTY alikuwa na ratiba ya kudondosha bonge la shoo nchini Tanzania jijini Dar es salaam lakini kulingana na ratiba na mambo yaliyo chini ya uwezo wake shoo imekwama na imeshindwa kuendelea. kwa mujibu wa msemaji wake mkuu JAY METTY atatoa taarifa mapema pindi mambo yatakapo kuwa yameenda sawa
Ungana na swaxbz.com ili uwe jirani na kila update zitakazo kuwa zinatufikia kila siku
Mkazi wa kitongoji cha Kazima – Kichangani Kata ya Kawajense,
Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Emmanuel Joseph (31) amemfanyia unyama
mtoto wake wa kumzaa, George Emmanuel (4) kwa kuvichoma kwa moto vidole
vyake vya mkono wa kushoto, akimtuhumu kukomba mboga yote ya majani
aina ya ‘chainizi’ yenye thamani ya Sh 500.
Inasemekana baba huyo amekuwa akiishi na watoto wake watatu baada ya
kuachana na mkewe wa ndoa, Semsni Jahala (28) Machi mwaka jana.
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwezi ujao anatarajiwa kukwea pipa
hadi nchini Nigeria kwa ajili ya kufanya kazi na mwanamuziki wa nchi
hiyo, Deborah Oluwaseyi ‘Seyi Shay’.
Msanii huyo anayetamba na kibao cha ‘Right Now’, aliwaambia waandishi
Mwana wa Sokwe anaendelea vyema baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaida.
Sokwe huyo anayetoka upande wa magharibi alizaliwa kupitia upasuaji
usio wa kawaida baada ya mamaake kuonyesha ishara za ugonjwa hatari wa
shinikizo la damu.
Alihitaji msaada wa kupumua,lakini sasa madaktari wanasema hali ya mama na mtoto iko shwari.
Majeraha aliyoyapata baada ya kujeruhiwa na viwembe.
Stori: Joseph Ngilisho, Ijumaa
Arusha: Ukatili wa watoto haukubaliki! Mama mzazi aliyetajwa kwa jina
moja la Anna, mkazi wa Oysterbay maeneo ya Unga-Limited jijini hapa
anadaiwa kumcharanga kwa viwembe mwanaye wa kumzaa mwenye umri wa miaka
kumi anayesoma shule ya msingi (jina la mtoto na shule yanahifadhiwa).
Tukio hilo la kusikitisha lilijiri mapema wiki hii nyumbani kwa mama
huyo maeneo ya Oysterbay hivyo kumlazimu Diwani wa Kata ya Themi,
Melance Kinabo kushirikiana na polisi kumkamata mzazi huyo kutokana na
kitendo alichomfanyia mwanaye na kumwachia majeraha makubwa.
Msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akipozi kimahaba na Medy Music.
Stori: Musa mateja, Ijumaa:
Dar es Salaam: Baada ya msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kumwagana na
aliyekuwa mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, hivi karibuni Ijumaa
lilinyetishiwa kuwa, amejiweka kwa dogo mmoja aliyefahamika kwa jina la
Medy Music ambaye wamekuwa wakipika na kupakua kwenye nyumba ya staa
huyo iliyopo Kijitonyama jijini Dar.