Friday, 25 September 2015

MAANDALIZI YA KILIFESTIVAL HAPO KESHO

LAYIII
Jumamosi September 26 2015 Viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam kutashuhudiwa Burudani ya nguvu, list ya mastaa watakaoikamilisha Burudani yote tayari imetajwa…

UNATAKA UTAJIRI WA HARAKA EMBU SOMA HAPA

LAYIII
HAISHANGAZI kama ukilala maskini ukaamka tajiri. Swali ni je, utaufanyia nini utajiri huo? Amini usiamini inawezekana. Kumbuka, sijasema itakuwa rahisi, nilichokisema ni kwamba inawezekana. Hapa nakuletea dondoo za namna ya kupata utajiri haraka kwa lugha ya mtaani fastafasta.

Monday, 21 September 2015

SOMA MAWAZO 100 YA KUANZISHA MIRADI NA BIASHARA MBALIMBALI

LAYIII
    1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
    2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
    3. Kutengeneza na kuuza tofali
    4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
    5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni

Friday, 18 September 2015

COLLABO YA STEREO NA AY, ‘STAY’ YA GODZILLA KWENYE DOCUMENTARY, ALBAMU MPYA YA HEMED PHD JE?..#255

LAYIII
Kwenye zile headlines za burudani leo Rapper Stereo amesema wakati wa kufanya kazi na AY umefika na sasa wanatarajia kuachia bonge la ngoma na itatoka wakati wowote chini ya Studio za MJ Records..pia leo anatarajia kutambulisha kichupa chake cha ‘Ilala na Ukonga’ akimshirikisha Chid Benz.
STEREO
Stereo
Godzilla aliachia ngoma ya ‘Stay’ na sasa anatarajia kuachia Video yake pamoja na Documentary… yupo katika mazungumzo na waandishi mbalimbali watakaomsaidia kuandika script ili kukamilisha

COLLABO NYINGINE YA LIL WYNE FEAT.CHRISTINA MILIAN ISIKUPITE WEEKEND HII MTU WANGU

LAYIII
Headlines za burudani kwa sasa kuhusu mastaa hawa Christina Milian na Lil Wayne zinazungumzia kuvunjika kwa mahusiano yao.

LIST YA VIWANJA 10 VYA NDEGE AMBAVYO NI VYA GHARAMA ZAIDI DUNIANI…(PICHAZ)

layiii
Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya viwanja 10 ambavyo vimejengwa kwa gharama zaidi duniani.
Hii ndiyo list kamili…
11
1. Kansai International Airport –Japan: kimetumia dola bilioni 20 kujengwa

HAYA NI MAISHA MENGINE YA KOCHA JOSE MOURINHO NJE YA SOKA…

layiii
Jina la José Mourinho ni miongoni mwa majina yenye ushawishi mkubwa sana kwa upande wa soka duniani..amekuwa kocha mwenye mafanikio makubwa katika timu mbalimbali alizowahi kufundisha ikiwemo Chelsea ambayo anaifundisha kwa sasa na ikiwa imechukua ubingwa wa EPL.

Thursday, 17 September 2015

PICHAZ ZA JAY Z, BEYONCE NA MTOTO WAO WAKIENJOY KATIKA BOTI YA KIFAHARI ZIPO HAPA…

LAYIII
Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa couple zenye nguvu zaidi, wasanii hao maarufu wamepigwa picha wakiwa na mtoto wao wa miaka 3 Blue Ivy katika boti ya kifahari ambayo inaitwa Galactica Star, gharama ya kukodi boti hiyo kwa wiki ni dola 900000 za kimarekani ambazo

MAGAZETI YA TANZANIA SEPTEMBA 18, 2015.. UDAKU, MICHEZO NA HARDNEWS !

LAYIII

HADI KUFIKIA JUNE 2013 HAYA NDIO YALIKUWA MAAJABU 10 YA DUBAI (+PICHAZ)

LAYIII
Miongoni mwa sehemu nzuri na zakuvutia kutembelea katika hii Dunia basi Dubai haiwezi kukosa, Dubai unatajwa kuwa mji wa kitalii na kibiashara, wengine wanautaja kama pepo ya watalii. Mji huo umejengeka kwa majengo yenye ramani za kuvutia. September 17 nakusogezea

MAGUFULI NA M4C, ZITTO NA JK, CCM NA UCHAGUZI MKUU, MAJARIBIO YA FAINI TZ LEO? >>> STORI KUBWA (AUDIO).

layiii
Alhamisi ya tarehe 17 September 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM, na kwenye stori zilizoweka headlines zipo hizi ambazo zimesikika kwenye #PowerBreakfast
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Magufuli asema “M4C” inamaanisha Magufuli 4

Wednesday, 16 September 2015

WAJUWE WAGENI WALIOITEKA MAREKANI

LAYIII


Rihanna.
Hans Mloli na mtandao
WAHAMIAJI wapo kila mahali duniani lakini mara kadhaa huwa ni ngumu sana kung’ara au kuonyesha kipaji chako mbele ya wenyeji na kuwafunika kirahisi.

NINAYO TAYARI ORODHA KAMILI YA WALE WOTE WANAOWANIA TUZO ZA ANNUAL BET HIP HOP AWARDS 2015!

LAYIII
Kila mwaka kituo kikubwa cha burudani Marekani BET huandaa tuzo za kipekee kabisa  ‘Annual BET Hip Hop Awards’ kwa ajili ya kuwapongeza wale wote walioweza kufanya vizuri zaidi kwa mwaka kwenye muziki wa Hip Hop.. Tuzo hizo zimerudi tena kwa mwaka wa 2015 zikiwa

GOOD NEWZ DIAMOND TUZO NYINGINE

LAYIII

Entertainment

#Goodnews Diamond Platnumz apokea ushindi wa tuzo nyingine mbili…!!

Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwa mtu wetu Diamond Platnumz kwani amekuwa wa kupokea na kutajwa kwenye tuzo nyingi sana kwa mwaka huu wa 2015 na siku chache zilizopita Diamond Platumz alitajwa kuwania tuzo nyingine tena za kimatatifa MTV EMA 2015 jijini Milan Italy.

AJIKUTA MIKONONI MWA POLICE BAADA YA KUONYESHA UBUNIFU WAKE

LAYIII
Ahmed Mohamed ni kijana wa miaka 14, alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kufanya ubunifu ambao yeye alidhani itakuwa ni kitu kizuri kuwafurahisha Walimu wake, lakini baada ya kuwaonesha tu ubunifu wake, ikapigwa simu Kituo cha Polisi na wakamkamata !!

TEKNOLOJIA INATUPELEKA HUKU SASAHIVI, SMARTPHONE INAJAA CHAJI KWA DAKIKA 35 MTU WANGU… (PICHAZ & VIDEO)

LAYIII
Watumiaji wa smartphones wakae tayari kuipokea hii good news mtu wangu, kuwa na smarthphone ni raha kwa sababu una uhakika wa kufanya mambo yako mengi sana kwa kupitia simu ya mkononi tu, ishu ni pale ambapo simu hizo zinamaliza chaji haraka na kujaa zinachukua muda pia

Tuesday, 15 September 2015

AUNT EZEKIEL KAYAZUNGUMZA HAYA KUHUSU KUONDOKA UKAWA KUHAMIA CCM….(AUDIO)

layiii

MAKUBWA YAIBUKA AUNT EZEKIEL NA RAY WAMEHAMIA CCM ?, STEVE NYERERE KAYAZUNGUMZA HAPA…

LAYIII....


.
.
Ni stori ya kisiasa ambayo ilianza kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu wasanii wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Vicent Kigosi aka Ray kuondoka UKAWA na kuhamia chama cha Mapinduzi.

SABABU YA LILY WAYNE NA CHRISTINA MILIAN KUACHANA HII HAPA…

LAYIII
Baada ya kuachana na mchumba wake miaka miwili iliyopita mwimbaji wa R&B Christina Milian alianza kuonekana sana na rapper Lil Wayne baada ya kujiunga na lebo ya msanii huyo, muda mfupi

P-SQUARE WAONYA: SISI WABURUDISHAJI SI WANENGUAJI

layiii
Mapacha wa muziki wa R&B wa Nigeria, Peter na Paul Okoye.
MAPACHA wa muziki wa R&B wa Nigeria, Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la P-Square, wamesema hawataki kuitwa wanenguaji, bali waitwe waburudishaji.

advertise here