Thursday 17 September 2015

PICHAZ ZA JAY Z, BEYONCE NA MTOTO WAO WAKIENJOY KATIKA BOTI YA KIFAHARI ZIPO HAPA…

LAYIII
Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa couple zenye nguvu zaidi, wasanii hao maarufu wamepigwa picha wakiwa na mtoto wao wa miaka 3 Blue Ivy katika boti ya kifahari ambayo inaitwa Galactica Star, gharama ya kukodi boti hiyo kwa wiki ni dola 900000 za kimarekani ambazo
ni zaidi ya bilioni 1.9 za Kitanzania.
2C449DE000000578-0-image-a-52_1442454775421

Mastaa hao walikodi boti hiyo wakiwa na sambamba na Kelly Rowland wakienjoy pamoja, hii inatajwa kama sehemu ya muendelezo wa kufurahia siku ya kuzaliwa ya Beyonce ambaye ametimiza miaka 34 mwezi September 4. Zimeonekana picha hizo za Jay Z na Beyonce wakiwa Sardinia Italia.
2C44A0A000000578-3237786-image-a-65_1442455628990
2C63210100000578-0-image-m-55_1442455104114

No comments:

Post a Comment

advertise here