Friday, 18 September 2015

COLLABO NYINGINE YA LIL WYNE FEAT.CHRISTINA MILIAN ISIKUPITE WEEKEND HII MTU WANGU

LAYIII
Headlines za burudani kwa sasa kuhusu mastaa hawa Christina Milian na Lil Wayne zinazungumzia kuvunjika kwa mahusiano yao.

Pamoja na hayo mastaa hao wameachia single yao mpya inayoitwa ‘Do It’ .
Wasikilize hapa mtu wangu…



No comments:

Post a Comment

advertise here