LAYIII
Kwenye zile headlines za burudani leo Rapper Stereo amesema wakati wa kufanya kazi na AY umefika na sasa wanatarajia kuachia bonge la ngoma na itatoka wakati wowote chini ya Studio za MJ Records..pia leo anatarajia kutambulisha kichupa chake cha ‘Ilala na Ukonga’ akimshirikisha Chid Benz.
Godzilla aliachia ngoma ya ‘Stay’ na sasa anatarajia kuachia Video yake pamoja na Documentary… yupo katika mazungumzo na waandishi mbalimbali watakaomsaidia kuandika script ili kukamilisha
ngoma yake hiyo.
Hemed PHD amesema albamu ya ‘Virgo’ ataiachia mwakani ikitanguliwa na single zitakazotoka mwezi huu,mwezi wa kumi na 11…anasema katika maisha yake hajawahi kuachia albamu na hii ni mara ya kwanza. Katika albamu hiyo nyimbo zitakazohusika ni zile za kuanzia mwaka 2014 kwa kuwa watu wanataka kusikia vitu vipya.
Wasikilize hapa…

No comments:
Post a Comment