LAYIII
- Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
- Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
- Kutengeneza na kuuza tofali
- Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
- Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
- Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.
- Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
- Kushona na kuuza nguo.
- Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
- Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.
- Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.
- Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.
- Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
- Kusajili namba za simu na kuuza vocha
- Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta
- Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
- Kuuza Mitumba
- Kusimamia miradi mbalimbali
- Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali
- Kufungua banda la chakula na chips
- Kukodisha turubai viti na meza
- Kufungua Supermarket
- Kufungua Saluni
- Kufungua Bucha
- Video Shooting & Editing.
- Kufungua Internet café
- Duka la kuuza matunda
- Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.
- Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati
- Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT
- Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
- Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor)
- Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k
- Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.
- Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
- Kukodisha Music
- Kuanzisha Mradi wa Taxi
- Kuanzisha mradi wa Daladala
- Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.
- Kununua magenerator na kuikodisha
- Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu
- Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP)
- Kuuza mabati na vigae
- Kujenga apartments
- Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote
- Kufungua Duka la samaki
- Kufungua Duka la nafaka
- Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo.
- Kujenga hostel
- Kuuza vocha na ving’amuzi vya DStv, Zuku, Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.
- Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
- Ufundi simu
- Kufungua Hospitali, Zahanati.
- Maabara ya Macho, Meno
- Kuchimba/Kuuza Madini
- Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax
- Kuuza miti na mbao
- Kufungua Grocery, bar
- Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha
- Kucharge simu/battery
- Duka la TV na vifaa vingine
- Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe na tamasha mbalimbali (catering).
- Banda la kupigisha simu
- Kuuza na kushona Uniform za shule
- Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
- Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari
- Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
- Kuuza fanicha
- Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.
- Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)
- Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
- Kuuza vioo
- Kushona na kukodisha nguo za harusi
- Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari
- Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine).
- Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)
- Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi
- Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya redio na televisheni
- Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games)
- Kufungua benki
- Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga
- Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k
- Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
- Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane)
- Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.
- Kuanzisha viwanda mbalimbali
- Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.
- Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali
- Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kuikodisha
- Kutengeneza antenna na kuuza
- Kufungua mradi wa Machine za kusafisha, kutoboa na kuchana mbao
- Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo
- Biashara ya kuagiza magari
- Kufanya biashara za Jukebox
- Kukodisha matenki ya maji
- Kufungua duka la kuuza Asali
- Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha
- Kufungua Duka la vinyago, batiki
- Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY PESA
- Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).
No comments:
Post a Comment