LAYIII
BONYEZA PICHA KUSHUHUDIA SHEREHE ZA UKAWA KIPINDI CHA UCHAGUZI WA BARAZA LA MAWAZIRI

“Tangu mapema, tangu Jecha (Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha) alipofuta uchaguzi, tulisema waziwazi kwamba haikuwa halalali. Walipoitisha uchaguzi wa marudio, tulisema waziwazi
BONYEZA PICHA KUSHUHUDIA SHEREHE ZA UKAWA KIPINDI CHA UCHAGUZI WA BARAZA LA MAWAZIRI
Chama kikuu cha upinzani visiwani
Zanzibar kimesema hakimtambui Dkt Mohamed Ali Shein aliyetangazwa kuwa
mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi uliopita.
Viongozi
wa Chama cha Wananchi (CUF), wakizungumza kwa mara ya kwanza tangu
kufanyika kwa uchaguzi huo ambao chama hicho kilisusia, wamesema
hawamtambui Dkt Shein kama rais wa visiwa hivyo.“Tangu mapema, tangu Jecha (Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha) alipofuta uchaguzi, tulisema waziwazi kwamba haikuwa halalali. Walipoitisha uchaguzi wa marudio, tulisema waziwazi

