LAYIII
Headlines za burudani kwa sasa kuhusu mastaa hawa Christina Milian na Lil Wayne zinazungumzia kuvunjika kwa mahusiano yao.
Friday, 18 September 2015
LIST YA VIWANJA 10 VYA NDEGE AMBAVYO NI VYA GHARAMA ZAIDI DUNIANI…(PICHAZ)
layiii
Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa
ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani
kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya viwanja 10 ambavyo
vimejengwa kwa gharama zaidi duniani.
Hii ndiyo list kamili…
Hii ndiyo list kamili…
HAYA NI MAISHA MENGINE YA KOCHA JOSE MOURINHO NJE YA SOKA…
layiii
Jina la José Mourinho ni miongoni mwa majina yenye ushawishi mkubwa
sana kwa upande wa soka duniani..amekuwa kocha mwenye mafanikio makubwa
katika timu mbalimbali alizowahi kufundisha ikiwemo Chelsea ambayo
anaifundisha kwa sasa na ikiwa imechukua ubingwa wa EPL.
Thursday, 17 September 2015
PICHAZ ZA JAY Z, BEYONCE NA MTOTO WAO WAKIENJOY KATIKA BOTI YA KIFAHARI ZIPO HAPA…
LAYIII
Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa couple zenye nguvu zaidi, wasanii hao maarufu wamepigwa picha wakiwa na mtoto wao wa miaka 3 Blue Ivy katika boti ya kifahari ambayo inaitwa Galactica Star, gharama ya kukodi boti hiyo kwa wiki ni dola 900000 za kimarekani ambazo
HADI KUFIKIA JUNE 2013 HAYA NDIO YALIKUWA MAAJABU 10 YA DUBAI (+PICHAZ)
LAYIII
Miongoni mwa sehemu nzuri na zakuvutia kutembelea katika hii Dunia basi Dubai haiwezi kukosa, Dubai
unatajwa kuwa mji wa kitalii na kibiashara, wengine wanautaja kama pepo
ya watalii. Mji huo umejengeka kwa majengo yenye ramani za kuvutia.
September 17 nakusogezea
MAGUFULI NA M4C, ZITTO NA JK, CCM NA UCHAGUZI MKUU, MAJARIBIO YA FAINI TZ LEO? >>> STORI KUBWA (AUDIO).
layiii
Alhamisi ya tarehe 17 September 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM, na kwenye stori zilizoweka headlines zipo hizi ambazo zimesikika kwenye #PowerBreakfast…
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Magufuli asema “M4C” inamaanisha “Magufuli 4
Wednesday, 16 September 2015
NINAYO TAYARI ORODHA KAMILI YA WALE WOTE WANAOWANIA TUZO ZA ANNUAL BET HIP HOP AWARDS 2015!
LAYIII
Kila mwaka kituo kikubwa cha burudani Marekani BET huandaa tuzo za kipekee kabisa ‘Annual BET Hip Hop Awards’
kwa ajili ya kuwapongeza wale wote walioweza kufanya vizuri zaidi kwa
mwaka kwenye muziki wa Hip Hop.. Tuzo hizo zimerudi tena kwa mwaka wa
2015 zikiwa
GOOD NEWZ DIAMOND TUZO NYINGINE
LAYIII
Entertainment
#Goodnews Diamond Platnumz apokea ushindi wa tuzo nyingine mbili…!!
Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwa mtu wetu Diamond Platnumz kwani amekuwa wa kupokea na kutajwa kwenye tuzo nyingi sana kwa mwaka huu wa 2015 na siku chache zilizopita Diamond Platumz alitajwa kuwania tuzo nyingine tena za kimatatifa MTV EMA 2015 jijini Milan Italy.
AJIKUTA MIKONONI MWA POLICE BAADA YA KUONYESHA UBUNIFU WAKE
LAYIII
Ahmed Mohamed
ni kijana wa miaka 14, alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kufanya
ubunifu ambao yeye alidhani itakuwa ni kitu kizuri kuwafurahisha Walimu
wake, lakini baada ya kuwaonesha tu ubunifu wake, ikapigwa simu Kituo
cha Polisi na wakamkamata !!
TEKNOLOJIA INATUPELEKA HUKU SASAHIVI, SMARTPHONE INAJAA CHAJI KWA DAKIKA 35 MTU WANGU… (PICHAZ & VIDEO)
LAYIII
Watumiaji wa smartphones wakae tayari
kuipokea hii good news mtu wangu, kuwa na smarthphone ni raha kwa sababu
una uhakika wa kufanya mambo yako mengi sana kwa kupitia simu ya
mkononi tu, ishu ni pale ambapo simu hizo zinamaliza chaji haraka na
kujaa zinachukua muda pia
Tuesday, 15 September 2015
AUNT EZEKIEL KAYAZUNGUMZA HAYA KUHUSU KUONDOKA UKAWA KUHAMIA CCM….(AUDIO)
layiii
Ni stori inayoendelea kuchukua healines
kwenye mitandao mbalimbali kuhusu Aunt Ezekiel na Vicent Kigosi, sasa
leo Sept 15, 2015 ripota wa millardayo.com alikutana na Aunt Ezekiel na
kueleza sababu zilivyomfanya yeye kuhama UKAWA na kuhamia chama cha
Mapinduzu.
SABABU YA LILY WAYNE NA CHRISTINA MILIAN KUACHANA HII HAPA…
LAYIII
Baada ya kuachana na mchumba wake miaka miwili iliyopita mwimbaji wa R&B Christina Milian alianza kuonekana sana na rapper Lil Wayne baada
ya kujiunga na lebo ya msanii huyo, muda mfupi
PSQUARE WAWEKA HEADLINES KWA KUBUKA NA MJENGO MWINGINE HUKO ATLANTA….
LAYIII
Mapacha wawili kutoka kundi la Psquare wamerudi tena kwenye headlines baada ya kununua nyumba katika moja ya ya majengo huko Atlanta.
Mapacha wawili kutoka kundi la Psquare wamerudi tena kwenye headlines baada ya kununua nyumba katika moja ya ya majengo huko Atlanta.
JINSI AZAM FC NA MTIBWA SUGAR WALIVYOTIMIZA VIGEZO VYA KUPATA LESENI YA KLABU KWA 95% (+AUDIO)
LAYIII
Klabu za Ligi Kuu soka Tanzania bara bado hazijakidhi vigezo vya kupata leseni ya kudumu ya vilabu, kupitia kwa mkuu wa idara ya habari wa shirikisho hilo Baraka Kizuguto amethibitisha vilabu vingi kushindwa kupata leseni za vilabu isipokuwa klabu ya Azam FC na Mtibwa Sugar.
MAJIBU YA MOURINHO KUHUSU MFULULIZO WA MATOKEO MABOVU NA KUELEKEA MECHI DHIDI YA KLABU YA MACCABI TEL AVIV..
layiii
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho
ambaye ni mtaalam wa kucheza na saikolojia za makocha na wachezaji wa
timu pinzani ili aweze kushinda, kwa sasa yupo katika wakati mgumu na
klabu yake ya Chelsea kwani bado haijafanya vizuri katika michezo ya Ligi Kuu.
HABARI ZA KUSHTUA DJ FETTY ATANGAZA KUACHA KAZI YA UTANGAZAJI
LAYIII
Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty,
moja ya Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana TZ na East
Africa kutokana na kazi ya Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia
kwenye muziki wa Bongo Fleva kama Mtangazaji wa show ya Entertainment, XXL ya Clouds FM.
Subscribe to:
Posts (Atom)