Hawa Ni Watoto Wa Kike Kutoka Rwandan Army!! Ohh Mama Mia!!
Watu wengi wameshazoea kwamba wanajeshi lazima uwe na sura ngu… hivi,
hakuna watoto wakali na nini! lakini kwa jeshi la Rwanda ni tofauti
aisee watoto wakali kinoma, imeletea mijadala kibao
Kwenye Press conference hapa Durban South Africa
Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa
Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali w
Ni july 17 ambapo Diamond Platnumz,
Neyo, Jhene, Bucie, P Square na wasanii wengine waliungana na MTV Base
kwenye mkutano wa waandishi wa habari kutoka media mbalimbali
uliofanyika Durban Afrika Kusini.
Good morning mtu wa nguvu.. swaxbz.com huwa inakuwekea stori za Magazetini kila siku asubuhi.
Ninayo tayari hii post ya Magazeti ya Tanzania leo July 18 2015,
story zote kubwakubwa >>> Udaku, Hardnews na Michezo
<<< zote ninazo hapa.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
akiwa kwenye gari la wazi pamoja na mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu
Hassan kwenye mitaa ya Michenzani Zanzibar.
Mhe. Magufuli aliwasili Zanzibar kwa lengo la kutambulishwa
kwa wanachama wa CCM Zanzibar akiongozana na mgo
Makala na Sifael Paul
MPENZI msomaji ungana nami katika simulizi hii mpya ya kweli inayohusu
viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu,
Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Inahisiwa kuwa
visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana. Viumbe
hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Wana muonekano kama
binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na binadamu. Viumbe hao
waliogundulika karne kadhaa zilizizopita
LAYIII
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA lina mpango wa kuzifanyia
marekebisho kanuni zake ili kuzibana nchi zinazowania kuandaa Kombe la
Dunia, zisitumie mwanya wa misaada ya kifedha kwa nchi nyingine kama
rushwa.
Kipengele kile kinachoziruhusu nchi zinazoshindania nafasi ya kuandaa
Kombe la Dunia kusambaza pesa katika nchi nyingine huenda kikafutwa.
LAYIII
Wafanyakazi wa uwokoaji Nigeria wanasema katika eno la kaskazini
mashariki mwa nchi hiyo katika mji wa Gombe watu arobaini wameuawa na
wengine wengi kujeruhiwa baada ya milipuko kutokea kwenye soko katika
eneo hilo.
Mlipuko wa kwanza umetokea nje ya kwenye maegesho nje ya duka la
viatu, na kufuatiwa na mlipuko mwingine muda mfupi baadae. Mmoja ya
wafanyakazi wa uokoaji miongoni mwa waliouwa ni wanawake na watoto.
LAYIII Erick Evarist MADAM
Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye
siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu. Akizungumza na Ijumaa hivi
karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti
Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo
LAYIII
SAUTI ZOTE NIMEKUWEKEA HAPA MTUWANGU WA UKWELI
Inawezekana ulikuwa mbali na redio yako na uchambuzi wa magazeti kupitia @Clouds.Fm umekupita, nimefanya juhudi za kukurekodia zile zote kubwa zilizosikika leo kwenye @Power breakfast….
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Magufuli jana apokelewa kwa kishindo Zanzibarnafukutu la kuchukua fomu za Ubunge zimeanza rasmi jana.
Mambo yalivyoharibika Rubani ilibidi aishushe ndege katikati ya barabara na magari yanapita.. Ona pichaz na video
Japo kumekuwa na stori nyingi zinazohusu
ajali za ndege, bado sifa ya kuwa usafiri salama namba moja duniani
haijaharibika, nimezipata hizi pichaz na video zinazoonesha Rubani
ambaye alijiongea na kuona bora aishushe
LAYIII
Mwanamuziki Dayna Nyange ametoa mtazamo wake wa namna gani wasanii wa nyumbani watawezakuvuka mipaka ya nje ya nchi.
Alipokuwa anafanyiwa mahojiano na mwandishi wa timesfm.co.tz Dayna
alifunguka kwamba ili wasanii waweze kutoboa ni lazima wawe na Wadau wa
nje (connection) kwani wengi wanafanya kazi nzuri lakini kutokuwa na
wadau ndio kikwazo.
“Msanii kama Vanessa Mdee leo hii anaanza kuvuka boda ni kwa sababu
ya connection ya watu wa nje alionao, kama aliweza kufanya kazi na watu
wa MTV sasa kwa nini asifike mbali ukizingatia anafanya kitu kizuri”,
alifafanua Dayna.
Dayna alieleza pia kuhusu ujio wa video ya wimbo wake wa Nitulize
aliomshirikisha Nay wa Mitego kwamba wataanza kuirekodi siku chache
zijazo kwani kuna vitu muhimu wanasubiri kutoka nje ya nchi.
Video hiyo inatarajiwa kurekodiwa hapahapa nyumbani Tanzania, huku
akisita kuweka wazi ni kampuni gani ambayo itatengeneza video hiyo na
kusema watu wasubiri Surprise.
Dayna mwanamuziki huyu mwenye asili ya huko mkoani Morogoro mwisho
alitoa taarifa kwa mashabiki wake wa Tanga wakae sawa kwani anatarajia
kuanza show zake mkoani humo kuanzia sikukuu ya Eid
LAYIII
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM
inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa
Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa
tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na
wabunge.
#newsflash CCM inamhitaji Lowassa ili Ishinde uchaguzi- Kingunge
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru amesema CCM
inamuhitaji Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye mchakato wa
Uchaguzi Mkuu na kukitaka chama hicho kujadili jambo hilo ili kuondoa
tofauti zilizojitokeza kabla ya kupiga kura za kumchagua Rais na
LAYIII
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA)
ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa
mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa
kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.
Tuzo za African Entertainment Awards (AEA)
ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa
mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa
kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.
Star wa muziki wa Bongo Flava Nasseb Abdul “Diamond Plutnums”, ametajwa kuwania tuzo za African Entertainment awards 2015.
Jean Baptiste Mugiraneza ni kiungo wa kimataifa wa Rwanda aliyesajiliwa na klabu ya Azam FC msimu huu akitokea klabu ya APR ya Rwanda kwa mkataba wa miaka miwili. Awali taarifa zilitoka kuwa kiungo huyo atarejea Rwanda kujumuika na kuitumikia timu yake ya APR katika mashindano ya kombe la Kagame yatakayoanza july 18 jumamosi hii.
Ila mambo yamekuwa tofauti baada ya klabu ya APR kumruhusu aichezee Azam FC katika mashindano ya kombe la Kagame. APR ambayo ipo kundi B n
Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fella aka Mkubwa Fella
alionesha mapema kabisa leo July 15 amechukua fomu ya kugombea udiwani
wa katika mtaa wa Kilungule, Wilaya ya Temeke Dar es Salaam.