Njama ya kutumia sigara kumuua Fidel
Castro ambayo ilitibuka inajulikana sana, lakini njama nyengine 637
dhidi ya maisha yake ni zipi?
Shirika la kijasusi nchini Marekani
CIA na watu waliotoroka Cuba wakati wa uongozi wa Castro walitumia nusu
ya karne moja kufanya njama za kumuua kiongozi ambaye taifa lake lina
athari
November 30 2016 Waziri mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Rais mstaafu Jakaya Kikwete waliungana na baadhi ya watanzania katika kutoa salamu zao za mwisho kwa aliyekuwa baba mzazi wa Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda mzee Xavery Pindaaliyepelekwa mkoani Katavi kwa ajili
Philippe Coutinho amepata majeraha mabaya wakati wa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Sunderland.
Uwanja wa Anfield ulizizima kwa ukimya wakati fundi huyo wa kibrazil
akiwa chini huku wakiwa na shauku ya kutaka kujua itachukua muda gani
nyota wao kurejea tena kwenye pitch.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli,
amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Raul Castro
kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba Mhe. Fidel Castro kilichotokea
tarehe 25 Novemba, 2016. Katika Salamu hizo Rais Magufuli amesema;
"Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Cuba Mhe. Fidel Castro. Kwa niaba ya Serikali, Wananchi wa
Tanzania na kwa niaba yangu mwenyewe natoa pole nyingi kwako, familia,
Serikali ya Cuba na wananchi wa Cuba kwa kumpoteza mtu muhimu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli amesema
kuwa Jengo la Makao Makuu ya TANESCO lililopo Ubungo litabomolewa wakati
wowote kuanzia sasa ili kupisha ujenzi wa Ubungo Interchange yenye
ghorofa 2 mpaka 3 hali itakayopunguza msongamano wa magari kwenye eneo
hilo.
Ndoto za Donald Trump aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Rais wa 45 wa
Marekani huenda zikayeyuka baada ya wajumbe sita wa Democratic
watakaopiga kura za majimbo kuanzisha kampeni maalumu ya kuwashawishi
wajumbe wengine kutomwidhinisha Rais huyo mteule.
Wajumbe hao ambao majina yao yalitangazwa jana wanaamini kuwa iwapo
watafanikiwa kuwashawishi wenzao wengine 37 kutoka Chama cha Republican
basi watakuwa wamefanikiwa
STAA wa Bongo fleva hapa nchini, Ommy Dimpoz anayetamba na ngoma yake ya
‘Kajiandae’, amefungukia bifu lake na msanii mwenzake, Diamond
Platinumz kuwa chanzo cha ugomvi wao ni Miss Tanzania wa mwaka 2006,
Wema Sepetu ‘Madam’.
Akizungumza leo Novemba 24, 206 wakati wa mahojiano kwenye kipindi cha
XXL cha Clouds FM, Dimpoz amesema mwanzoni walikuwa na urafiki mzuri na
Diamond na walikuwa wakishirikiana mambo mengi kuhusu muziki wao, lakini
baadaye hali ilikuwa tofauti baada, Diamond akaanza kumpoteza na
kukwepa kufanya naye baadhi ya mambo kwa pamoja.
Dimpoz amesema hayo baada ya Diamond kusema mambo kadhaa kuhusu yeye
wakati akifanya mahojiano jana kwenye kipindi hicho cha XXL.
Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili jana kwa mara ya kwanza
wamefanya upasuaji kwa kutumia darubini (microvascular surgery) wa
kuhamisha misuli na mishipa ya damu kutoka kwenye mguu kwenda sehemu
nyingine chini ya mguu (free gracilis muscle transfer).
Upasuaji huu wa aina yake na ambao mara nyingi huchukua muda wa saa sita
hadi saba una lengo la kujenga uwezo kwa watalaamu wa ndani ili
waendelee kutoa huduma za ubingwa wa hali ya juu kwa Watanzania wengi
zaidi na vilevile kupunguza kasi ya kupeleka wagonjwa nje.
Katika interview ndefu aliyofanyiwa Alhamis hii kwenye kipindi cha XXL
kupitia Clouds FM, Ommy Dimpoz amefunguka kwa kina visa na mkasa
vilivyopelekea akosane na swahiba wake wa zamani, Diamond Platnumz.
Ommy amelazimika kusimulia hayo baada ya Jumatano kupitia kipindi hicho
hicho, Diamond kuelezea uhusiano wao na jitihada ambazo Ommy amewahi
kuzifanya ili kuomba wayamalize.
Shirikisho la soka barani Africa (Caf) limetoa orodha ya majina ya
wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016, jina la
mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta halipo katika
orodha ya wachezaji hao waliofanikiwa kuingia tano bora.
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametangaza kwa mara ya kwanza kuwa lebo
yake imeingia partnership na lebo kubwa ya Muziki Duniani inayojulikana
Kama Universal Music, Lebo hiyo
Baada
ya kukaa kimya kwa muda kidogo, mwimbaji star kutoka lebel yenye mastaa
wakali sana Tanzania, WCB, Richard a.k.a Rich Mavoko a.k.a Tajiri wa
Vocals amekutana kwa mara ya kwanza kwenye collabo na Diamond Platnumz,
ndani ya brand new joint “Kokoro”.
Kutoka
ndani ya XXL leo November 22, 2016 U Heard imekuja na stori kuhusu
picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha watoto wa
mastaa wa Bongo Flava, Diamond Platnumz na Alikiba huku ikiwa imeandikwa
(Natamani mkikua mje kuoana ili baba zenu wapatane).
Kwa mujibu
wa Soudy Brown baada ya kuzagaa kwa picha hiyo, kuna tajiri fulani
jijini Dar es
Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu
aachane na mume wake, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi
kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa
picha alizoweka Instagram, uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena ukawa
ni mkubwa.
BONYEZA PICHA HAPA KUIONA VIDEO AKIWA DUBAI LIKE COMMENT VIDEO YA JUX NA VANESSA MDEE BOFYA PICHA HAPO CHINI
Jana Asubuhi iliandikwa Habari iliyokuwa imechapishwa kwenye gazeti la
Tanzania la kila siku ‘Mtanzania’ ambapo kichwa cha habari cha taarifa
hiyo kilikuwa kikisomeka ‘Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete azuiwa kusafiri
nje ya nchi uwanja wa ndege Dar es Salaam.’
Katika habari hiyo, gazeti hilo liliandika kuwa kutokana na taarifa
lililozipokea ni kuwa Rais Mstaafu
ALIYEWAHI kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Muda ya Yanga, Isaac Shekiondo ‘Clinton’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Taarifa ya familia imesema kwamba, marehemu amefariki baada ya kuugua
kwa muda na msiba upo nyumbani kwake, Ilala Mchikichini Kota.
Shekiondo alikuwa Makamu Mwenyekiti katika Kamati ya Muda ya Yanga chini
ya Mwenyekiti, Tarimba Abbas ‘Thabo Mbeki’ na enzi zake anakumbukwa
kutokana na ukarimu wake na uwajibikaji mzuri.
Pre mature ejaculation ni nini?
Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo
la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake.
Tatizo hili limekua likiwapata wanaume wengi na kujisikia aibu mbele za
wenzi wao pale wanaposhindwa kuendelea kabisa baada ya hali hii
kutokea.
Kimsingi mwanaume anatakiwa achukue dakika nne mpaka nane kabla ya
kutoa mbegu za kwanza lakini watafiti wanasema tatizo hili hugundukiwa
mtu anapotoa mbegu ndani ya dakika moja au kabla ya dakika moja.
Waziri wa muda mrefu na mbunge wa zamani wa Bunda, Steven Wasira
amewajibu wanaodai kwamba amelazimika kustaafu siasa baada ya mpinzani
wake, Ester Bulaya kuwashinda wapigakura wanne waliokuwa wakipinga
ushindi wake wa ubunge wa Bunda Mjini na kusema hajastaafu na uzee
haumzuii mtu kudai haki yake.
Upelelezi wa kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu kama Scorpion
anayetuhumiwa kumsababishia upofu wa kudumu Saidi Mrisho umekamilika na
hatimaye shauri hilo litasomwa Novemba 30 mwaka huu katika mahakama ya
manispaa ya Ilala.
Njwete anatarajiwa kusomewa mashtaka yake baada ya yale ya kwanza
kufutwa ambapo itakuwa ni mara ya kwanza kusikilizwa baada ya
kufunguliwa mashtaka mapya.
Huyu ndiye Scropion, kijana aliyejizolea umaarufu ambapo watu wengi
hupenda kumshuhudia kila aingiapo na kutoka mahakamani huku kila mmoja
akizungumza lake kwa kesi inayomkabili.
Alipoingia mahakamani leo, aliomba ufafanuzi wa wazi juu ya mashtaka
yanayomkabili ambapo upande wa jamhuri kupitia kwa wakili wake Chesensi
Gavyole walisema ushahidi umekamilika.
Kutokana na kuombwa ufafanuzi, Hakimu anayesimamia kesi hiyo Flora Haule
amesema baada ya upelelezi huo kukamilika kesi hiyo itasomwa Novemba 30
mwaka huu, hivyo mshtakiwa atapata ufafanuzi wa mashtaka yake .
Ikumbukwe kwamba Oktoba 19 mwaka huu, Salum Njwete maarufu kama Scropion
alifutiwa kesi na kisha kusomewa upya mashtaka yake kutokana na uamuzi
wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliyeomba kufanya hivyo baada ya hati ya
awali kuwa na mapungufu ya kisheria
VIDEO DAKIKA TANO KOFFI OLOMIDE ALIVYOMPIGA DANSA WAKE
Wanaume wengi sana hua tunadanganywa na wenza wetu kua tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli hua hakuna kitu
Hua wanafanya kwa nia njema tu kwani wanaume hua tunajiskia amani sana
kuambiwa umemfikisha mtoto wa kike kwani ni jambo la kishujaa kama
trumph uchaguzi us
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema hataki kulipwa mshahara wa
rais wa $400,000 atakapochukua hatamu Januari mwakani. Badala yake
atakuwa akilipwa dola moja ya Marekani ($1) pekee kila mwaka sawa na
shilingi 2000 ya kitanzania.
Watazamaji wa anga wanajiandaa kuuona mwezi mkubwa zaidi wakati ambapo utakaribia dunia tangu 1948.
Uingereza itakuwa na fursa nzuri kuuona mwezi huo siku ya Jumatatu
jioni,licha ya kuwa utakaribia dunia mwendo wa saa tano na dakika 21
muda wa GMT ambapo utakuwa umbali wa kilomita
Waziri mkuu nchini Jamhuri ya
Demokrasi ya Congo Augustin Matata Ponyo, amejiuzulu na kutoa fursa ya
kuteuliwa mrithi wake kuongoza serikali ya mpito.
Kujiuzulu kwa
bwana Ponyo ni sehemu ya makubaliano yaliyotiwa sahihi mwezi uliopita
kati ya serikali ya Rais Joseph Kabila na baadhi ya vyama vya upinzani
ya kuhairisha uchaguzi wa urais hadi mwezi Aprili mwaka 2018.
Hivi Ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti
wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya NINI AU NI utamu wao kama Mwana FA
alivyoimba
Mhubiri mashuhuri raia wa Nigeria TB Joshua amevunja kimya baada ya
utabiri wake kuwa mgombea urais nchini Marekani Hillary Clinton
angeshinda, kugonga mwamba.
Mhubiri huyo alikejeliwa kwenye mitandao ya kijamii wakati ujumbe wa
utabiri wake, kufutwa na baadaye kurejeshwa katika akaunti yake ya
Facebook kufuatia ushindi wa Donald Trump.
Hata hivyo, wafuasia wake wamekuwa wakimtetea wakisema kuwa utabiri wake
ulitimia kwa sababu
Ma-video queen wasumbufu Bongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ na Gift
Stanford ‘Gigy Money’ wapo kwenye vita baridi (vita ya maneno) kufuatia
Gigy kumchamba mwenzake kutokana na yale
2015 Lionel Messi ni mmoja wa wachezaji walio juu duniani.
alizaliwa Argentina, kwa sasa anachezea club ya Barcelona katika ligi za
hispania. Pia anajulikana kama Leo, La Pulga Atomica (The Atomic Flea)
alizaliwa 24 June 1987,huko Rosario, Argentina
Wazazi wake ni Jorge Horacio Messi ( was a factory worker) na
Celia MarĂa Cuccittini (was a