LIST YA WACHEZAJI BORA DUNIANI KUANZIA MWAKA 20006 HADI 2015
2015 Lionel Messi ni mmoja wa wachezaji walio juu duniani.
alizaliwa Argentina, kwa sasa anachezea club ya Barcelona katika ligi za
hispania. Pia anajulikana kama Leo, La Pulga Atomica (The Atomic Flea)
alizaliwa 24 June 1987,huko Rosario, Argentina
Wazazi wake ni Jorge Horacio Messi ( was a factory worker) na
Celia MarÃa Cuccittini (was a
part-time cleaner). Na alikuwa na wadogo zake
wawili Rodrigo and MatÃas dada zake Maria Sol.
Height: 1.69 m (5 ft 6+1⁄2 in)
Weight: 67kg
2014Cristiano Ronaldo ni mchezaji bingwa wa soka kutoka Ureno, anajulikana
kwa flicks zake dhana na stepovers. Jina lake kamili ni Cristiano Ronaldo dos
Santos Aveiro alizaliwa Feb 5, 1985, huko Funchal, Madeira, Portugal
Wazazi wake ni Maria Dolores dos Santos Aveiro na Jose Diniz Aveiro. Ana kaka ,
Hugo na dada wawili, Elma na Liliana Catia.
Height: 6' 0½" (1.84 m)
Weight:
2013 Cristiano Ronaldo ni mchezaji bingwa wa soka kutoka Ureno, anajulikana kwa
flicks zake dhana na stepovers. Jina lake kamili ni Cristiano Ronaldo dos Santos
Aveiro alizaliwa Feb 5, 1985, huko Funchal, Madeira, Portugal
Wazazi wake ni Maria Dolores dos Santos Aveiro na Jose Diniz Aveiro. Ana kaka ,
Hugo na dada wawili, Elma na Liliana Catia.
Height: 6' 0½" (1.84 m)
Weight:
2012
Lionel Messi ni mmoja wa wachezaji walio juu duniani. alizaliwa Argentina, kwa
sasa anachezea club ya Barcelona katika ligi za hispania. Pia anajulikana kama Leo,
La Pulga Atomica (The Atomic Flea) alizaliwa 24 June 1987,huko Rosario,
Argentina
Wazazi wake ni Jorge Horacio Messi ( was a factory worker) na
Celia MarÃa Cuccittini (was a part-time cleaner). Na alikuwa na wadogo zake
wawili Rodrigo and MatÃas dada zake Maria Sol.
No comments:
Post a Comment