Monday, 26 October 2015

MATOKEO YA KURA ZA URAIS KUTOKA MAJIMBO KUMI YA TANZANIA

LAYIII





MANENO YA KAMANDA KOVA JUU YA USAMBAZWAJI WA MATOKEO YA UCHAGUZI YASIYO HALAI

LAYIII
Tukiwa bado tunaendelea na Uchaguzi Mkuu kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojitokeza kama kuenea kwa taarifa za washindi wa wagombea kutoka sehemu mbalimbali, sasa kamanda wa polisi wa kanda maalum, Suleiman Kova amezungumza na waandishi wa habari kuhusus na matukio hayo

Thursday, 22 October 2015

NAPE APATA AJALI MBAYA LINDI

LAYIII

Muonekano wa gari ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, Toyota Land Cruiser baada ya kupata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam.

Tuesday, 20 October 2015

MASOGANGE LAIVU NA MIDUME MIWILI HOTELINI

layiii
MASOGANGE5
Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’.
Hamida Hassan na Gladness Mallya
AIBU jamani! Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti, Ijumaa Wikienda linaripoti.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo

Utapenda kuiona official video ya mdundo wa Drake; “Hotline Bling”! – (Video).

layiii
Drake kwenye headlines za burudani… baada ya kuachia single yake ya “Hotline Bling” wasanii wengi wa muziki Marekani wamekuwa wakionyesha support yao juu ya single hiyo kwa kufanya remix tofauti ya single hiyo.

Sunday, 11 October 2015

UBUNIFU HUU UNGEKUWA BONGO BASI TECHNOLOJIA YETU INGEKUWA HARAKA SANA

LAYIII


RedBull Racing of Homemade Vehicles, part 2, 2011


In my opinion, it was the best contender, and when he was racing down he was sitting at the office desk.
At the last weekend I took my portrait lens and went to an amateur racing which had been sponsored by the RedBull company. The post is continued with about twenty photos with comments.

Saturday, 10 October 2015

KWELI WATU WANATOKA MBALI ONA WANASOKA HAWA KABLA YA KUPATA MAFANIKIO

LAYIII
Katika maisha kuna mambo mengi ya kupitia hadi kufikia mafanikio mara nyingi au kwa asilimia kubwa wengi waliofanikiwa katika maisha walihangaika kufikia kilele hicho cha mafanikio kiasi hata cha kufikia kuwa mfano mzuri kwa vijana wanaohangaika kusaka mafanikio katika soka. October 11 naomba nikusogezee kazi za kwanza za mastaa hawa wa soka.

Friday, 9 October 2015

PICHA ZA MSHINDI NA ZOTE ZA FINALI YA BSS 2015 (PICHAZ+)

LAYIII


Mshindi wa BSS 2015, ni kayumba Juma
Yatosha
IMG_5165_800_600
Marry Katto ameaga mashindano ya BSS 2015

KAMA ULIPITWA NA ISSUE YA MREMA KUMPIGIA PROMO MAGUFURI CHEKI HAPA

LAYIII

Yatosha
VUNJO, KILIMANJARO

Yakiwa yamesalia majuma mawili  kuelekea uchaguzi mkuu mgombea ubunge wa jombo la vunjo kwa tiketi ya TLP mkoani Kilimanjaro Lyatonga Mrema amewaomba wananchi kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk John Magufuli kwa kile alichodai kuwa Magufuli ndiye mgombea urais mwenye vigezo na anafaa kuliongoza taifa la Tanzania.

PICHA KATIKA RED CARPET YA BONGOSTAR SEARCH TANZANIA

LAYIII
Ndani ya Ukumbi wa King Solomon Hall, Kinondoni Dar es Salaam kinachoendelea sasahivi ni Fainali ya Bongo Star Search Season 8… nimeanza kukusogezea hizi pichaz za kwanza kuanzia Red Carpet mpaka ndani.

Wednesday, 7 October 2015

KUTANA NA MAMA LOWASSA ALIVYOONGEA NA WANAWAKE ZANZIBAR

LAYIIII
Jana ilikua October 6 2015 ambapo bado sera zimeendelea kunadiwa kuisubiria siku kubwa ya kura ambayo ni October 25 2015 ambapo mmoja wa waliochukua headlines jana ni mke wa mgombea Urais wa UKAWA Mama Regina Lowassa

JIJI LIALOJENGWA MAREKANI HAIRUHUSIWI MTU YEYOTE KUISHI

LAYIII
Katika Jiji la New Mexico Marekani, sehemu kubwa sana ya eneo la Jiji hilo ni Jangwa na Milima mikubwa… ni eneo kame kabisa ambalo sio rahisi mtu akavutiwa kuishi.
Wataalam wa Masuala ya Teknolojia wamekuja na hii mpya mtu wangu, hapohapo New Mexico linajengwa Jiji la Kisasa.

KATIKA HEADLINE ZA SWAXBZ.COM HIKI NI KILICHONASHA KATIKA TALAKA YA FROLA MBASHA NA MUMWEWE

LAYIII

October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya

Monday, 5 October 2015

HEADLINE ZA MAGAZATI YA LEO Octoba 6, 2015

LAYIII

KILA WAKATI MAYWEATHER, JUSTIN BIEBER HUWAKOSI KATIKAHEADLINE ZA MAISHA YAO

LAYIII
Kila wakati bondia Floyd Mayweather humkosi kwenye headlines zinazohusu maisha yake ndani na nje ya kipaji chake…mara kwa mara amekuwa akizungumziwa kutokana na utajiri alionao huku akiwa na matumizi yaliyopitiliza ya pesa zake.
Safari hii ameonekana akila bata katika fukwe za Bora Bora pamoja na rafiki yake mkubwa mwanamuziki Justin Bieber.

UJIO MPYA WA VANESSAMDEE

LAYIII
Ni hits baada ya hits mtu wangu… msanii wa muziki wa Bongo Flava Vanessa Mdee anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani jumatatu hii, baada ya kuachia hit single yake ‘Nobody But Me’ aliomshirikisha rapper kutoka South Africa K.O, Vanessa Mdee amewatangazia mashabiki wake kupitia page yake ya Instagram ujio wa single yake mpya ‘Never Ever’ inayopatikana kwenye Album yake Money Mondays!

WAKATI TUKITARAJIA ROBERTO KUFANYA COLLABO BONGO......NEY WA MITEGO YAMEMKUTA MENGINE KWAKE

LAYIII
Tanzania ilipata ugeni wa msanii kutoka Zambia Roberto aliyeimba ngoma ya ‘Amarula’ ambaye alikuja na kupiga show Mwanza..msanii Galaxy kutoka Tanzania amemshawishi Roberto wapige naye collabo moja..Galaxy amesema amepata connection nzuri ya kuweza kukutana na msanii huyo lakini bado hawajafanya collabo, kwa sasa tayari wamepanga mikakati yao na anachosubiri ni yeye awe tayari.
galaxy
Galaxy
Ney wa Mitego alivamiwa na majambazi nyumbani kwake Mbezi ya Kimara..Anasema siku ya tukio yeye hakuwa nyumbani na majambazi hao walifika nyumbani kwake majira ya saa 4 usiku..walikuja

FAMILIA YA MAREHEMU MCHUNGAJI MTIKILA IMETOA MAJIBU KUHUSU KILICHOTOKEA KWENYE AJALI, KUAGA MWILI NA MAZISHI..

layiii
October 05 2015 ni siku ya pili inaisha tangu litokee tukio la ajali ya gari ndogo katika Kijiji cha Msolwa, Chalinze Mkoa wa Pwani ambapo ndani yake kulikuwa na watu watatu pamoja na Mwanasiasa Mkongwe Tanzania, Mchungaji Christopher Mtikila ambaye alifariki kutokana na ajali hiyo.

Sunday, 4 October 2015

KIKGUNGU HAYA NDIYO MAAMUZI YAKE

LAYIII
Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombare Mwiru leo ametangaza kujiondoa ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM na sasa atakuwa mwananchi huru.
Kingunge amezungumza leo mbele ya waandishi wa Habari akiwa nyumbani kwake Kijitonyama, Dar es salaam.

PICHA ZA AWALI NYUMBANI KWA MAREHEMU MTIKILA

LAYIII
Kwenye list ya Wanasiasa walioamua kuingia kwenye Mchakato wa Uchaguzi Mkuu Tanzania utakaofanyika October 2015, alikuwepo pia Mwanasiasa Mkongwe, Mchungaji Christopher Mtikila ambaye alitangaza kugombea nafasi ya Urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP).

Saturday, 3 October 2015

BREAKING: Mchungaji Christopher Mtikila wa DP amefariki.

LAYIII
Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha  DP Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo wakati akitokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.

Thursday, 1 October 2015

NAOMBA KUSHARE NA WEWE VIDEO HII MTU WANGU


ALIENS WATENGENEZA NDEGE KAMA SAHANI

LAYIII
Wiki iliyopita nilianza kuliangalia Eneo la Area 51 ambalo linahusishwa na hawa viumbe wa ajabu waishio angani wa Aliens. Eneo hili lipo katika Jimbo la Nevada nchini Marekani ambapo kama ilivyokuwa kwa Bermuda Triangle, nalo limejaa mauzauza ya kila aina. SASA ENDELEA…
Japo ni siri kubwa lakini inaaminika kuwa wapo Aliens wanaoishi eneo hilo ambalo lina ngome kubwa ya kijeshi ambayo mlango wake wa kuingilia umetengenezwa kamba pyramid (pembetatu) na ambao umechongwa kwa alama ya jicho moja. Kuhusu uwepo wa hawa Aliens eneo hili ndipo yanapoibuka maswali mengi hasa njia ya mawasiliano wanayotumia kwa maana ya lugha au ishara.

advertise here