Friday 9 October 2015

KAMA ULIPITWA NA ISSUE YA MREMA KUMPIGIA PROMO MAGUFURI CHEKI HAPA

LAYIII

Yatosha
VUNJO, KILIMANJARO

Yakiwa yamesalia majuma mawili  kuelekea uchaguzi mkuu mgombea ubunge wa jombo la vunjo kwa tiketi ya TLP mkoani Kilimanjaro Lyatonga Mrema amewaomba wananchi kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk John Magufuli kwa kile alichodai kuwa Magufuli ndiye mgombea urais mwenye vigezo na anafaa kuliongoza taifa la Tanzania.

Ameyasema hayo wakati Dk Magufuli alipotembelea katika jimbo hilo ikiwa ni mwendelezo wa kampeni za mgombea huyo mkoani humo.IMG-20151008-WA0025_800_600 IMG-20151008-WA0026_800_600 IMG-20151008-WA0027_800_600 IMG-20151008-WA0028_800_600 IMG-20151008-WA0029_800_600

No comments:

Post a Comment

advertise here