KATIKA HEADLINE ZA SWAXBZ.COM HIKI NI KILICHONASHA KATIKA TALAKA YA FROLA MBASHA NA MUMWEWE
LAYIII
October 6 2015waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa yote yapo kwenye hii video hapa chini.
No comments:
Post a Comment