Leo March 2 2016 wabunge wawili wa chadema, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara Pamoja na Diwani wa Kata ya Saranga, Ephrein Kinyafu. Wamefikishwa mahakamani
kwa ajili ya kujibu mashitaka ya kumjeruhi katibu tawala Mkoa wa Dar es
salaam wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam
ulipoahirishwa. Watuhumiwa wote
Wakati baadhi ya wabunge wa upinzani wakishikiliwa na polisi ama
kutafutwa kutokana na chaguzi kile kinachoelezwa ni vurugu kwenye
chaguzi za Meya na wenyeviti wa halmashauri zinazoendelea, wale
waliotolewa Bungeni kwa nguvu Januari 27, wote wametakiwa kufika Dar es
Salaam wahojiwe.
Mpaka sasa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, anashikiliwa na polisi kwa
kile kilichoelezwa ni vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi wa Meya wa
Dar es Salaam kuahirishwa Februari 27, mwaka huu.
Mbali na Mdee ambaye jana ilidaiwa kuwa polisi walifanya ukaguzi
nyumbani kwake pamoja na ofisini kwake huku kile wanachokitafuta kikiwa
hakijulikani, Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) na wa Ubungo,
Saed Kubenea, pia inadaiwa wanatafuwa kwa sababu ya vurugu hizo.
LAYIII
bonyeza picha kuiona video yake hapo mtu wangu
Msanii chipukizi wa bongo flaver kutoka tanzania anayetamba na kutikisa nchini marekani ameonyesha kipaji chake kingine kuwa ni bone la producer na hits zake zimekaa kwa maadhi ya kimataifa JAY METTY ni msanii anayechipukia na anaonyesha haswa zake nchini marekani huku akishirikiana na baadhi ya wasanii wa kubwa nchini humo kama kundi nzima la cash money na baadhi ya makundi ya sanaa nchini humo
CHUKUA MUDA WAKO KUSKILIZA AUDIO YAKE HAPA MTU WANGU
hivi karibuni JAY METTY alikuwa na ratiba ya kudondosha bonge la shoo nchini Tanzania jijini Dar es salaam lakini kulingana na ratiba na mambo yaliyo chini ya uwezo wake shoo imekwama na imeshindwa kuendelea. kwa mujibu wa msemaji wake mkuu JAY METTY atatoa taarifa mapema pindi mambo yatakapo kuwa yameenda sawa
Ungana na swaxbz.com ili uwe jirani na kila update zitakazo kuwa zinatufikia kila siku
Mkazi wa kitongoji cha Kazima – Kichangani Kata ya Kawajense,
Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Emmanuel Joseph (31) amemfanyia unyama
mtoto wake wa kumzaa, George Emmanuel (4) kwa kuvichoma kwa moto vidole
vyake vya mkono wa kushoto, akimtuhumu kukomba mboga yote ya majani
aina ya ‘chainizi’ yenye thamani ya Sh 500.
Inasemekana baba huyo amekuwa akiishi na watoto wake watatu baada ya
kuachana na mkewe wa ndoa, Semsni Jahala (28) Machi mwaka jana.
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwezi ujao anatarajiwa kukwea pipa
hadi nchini Nigeria kwa ajili ya kufanya kazi na mwanamuziki wa nchi
hiyo, Deborah Oluwaseyi ‘Seyi Shay’.
Msanii huyo anayetamba na kibao cha ‘Right Now’, aliwaambia waandishi
Mwana wa Sokwe anaendelea vyema baada ya kuzaliwa kupitia upasuaji katika hali isiyo ya kawaida.
Sokwe huyo anayetoka upande wa magharibi alizaliwa kupitia upasuaji
usio wa kawaida baada ya mamaake kuonyesha ishara za ugonjwa hatari wa
shinikizo la damu.
Alihitaji msaada wa kupumua,lakini sasa madaktari wanasema hali ya mama na mtoto iko shwari.
Majeraha aliyoyapata baada ya kujeruhiwa na viwembe.
Stori: Joseph Ngilisho, Ijumaa
Arusha: Ukatili wa watoto haukubaliki! Mama mzazi aliyetajwa kwa jina
moja la Anna, mkazi wa Oysterbay maeneo ya Unga-Limited jijini hapa
anadaiwa kumcharanga kwa viwembe mwanaye wa kumzaa mwenye umri wa miaka
kumi anayesoma shule ya msingi (jina la mtoto na shule yanahifadhiwa).
Tukio hilo la kusikitisha lilijiri mapema wiki hii nyumbani kwa mama
huyo maeneo ya Oysterbay hivyo kumlazimu Diwani wa Kata ya Themi,
Melance Kinabo kushirikiana na polisi kumkamata mzazi huyo kutokana na
kitendo alichomfanyia mwanaye na kumwachia majeraha makubwa.
Msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akipozi kimahaba na Medy Music.
Stori: Musa mateja, Ijumaa:
Dar es Salaam: Baada ya msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kumwagana na
aliyekuwa mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, hivi karibuni Ijumaa
lilinyetishiwa kuwa, amejiweka kwa dogo mmoja aliyefahamika kwa jina la
Medy Music ambaye wamekuwa wakipika na kupakua kwenye nyumba ya staa
huyo iliyopo Kijitonyama jijini Dar.
Mwigizaji wa bongomovie Ray ‘Vicent Kigosi’
ametajwa sana na headlines za Tanzania ndani ya siku 7 zilizopita
kuhusu weupe wa ngozi yake na kukawa na mistari kwamba amekua akitumia
mkorogo tofauti na zamani ndio maana rangi ya ngozi imebadilika, mengi
ameyaongea kwenye hii video hapa chini alipohojiwa na CloudsFM Leo Tena pia kuhusu movie yake mpya ‘Tajiri Mfupi‘
Moja ya stori kubwa za mastaa wiki hii ilikua ni taarifa za ujauzito wa Wema Sepetu
kuharibika, tumempata Daktari ambaye yuko tayari kuelezea ni vitu gani
vinaweza kusababisha ujauzito wa Mwanamke
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Man UnitedWayne Rooney wiki hii aliingia kwenye headlines baada ya klabu ya wachina ya Shanghai Shenhua kuomba kumsajili kutoka klabu yake ya Man United na kwenda kuanza maisha mapya ya soka nje ya Uingereza kwa mara ya kwanza.
Klabu ya Shanghai Shenhua ambayo ilianza kuiomba Man United kumsajili Wayne Rooney
kwa dau la pound milioni 27 mwishoni mwa mwaka 2015, kwa sasa
inamuhitaji na ilitaka kuwa inamlipa mshahara wa
Usiku wa February 20 2016 mwigizaji Lulu ilibidi aandike tu kwenye page yake ya Instagram kuhusu taarifa za yeye kufumaniwana Idris Sultan ambaye siku za karibuni amekua akijulikana kama boyfriend wa Wema Sepetu. Lulu aliandika >>>‘Huyo
ulodai kanifumania hana hata Taarifa….guys hizo drama zenu za kwenye
mitandao sio kila mtu ana entertain…..tushafanya drama sana b4 IG kwahyo
Kama mnatafutaga mtu kugombana au kugombanisha watu na kila mtu MLIPO
BONYEZA SASAHIVI NI RED BUTTON nyie mnafanya drama za mitandao watu
tumefanya za LIVE tumechoka na tumeamua
KUFANYA STAREHE SIYO ZAMBI ILA STAREHE INAHITAJI KIPIMO MAANA IKIPITA KIASI INAKUWA NA MADHARA YAKE CHUKUA NAFASI KUONA VIDEO HIO HAPO chini
Pale watu wanapotakiwa kwenda kanisani na misikitini kwa ajiri ya ibada ndo kwanza wanajirusha katika kumbi za starehe
Pale ambapo muda wa kumtukuza mungu umefika ndo kwanza watu tunajiachia club swimming pool na maeneo meni ya anasa
Muimbaji wa Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kama Ne-Yo, anatarajiwa kutumbuiza jijini Mwanza, May 21. Atatumbuiza kwenye tamasha kubwa la kila mwaka la Jembeka linaloandaliwa na kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini humo.
Hii
itakuwa mara ya tatu muimbaji huyo kuja Afrika Mashariki.
Ameshatembelea
STAA
wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara nyingine ameendelea
kuteka ‘headlines’ baada ya kuibuka na kudai kuwa alishawahi kumuokoa
staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego asipigwe. Akizungumza asubuhi hii
katika kipindi cha
Kwa kawaida maandalizi ya Michuano ya Kombe la Dunia
hufanyika miaka zaidi ya minne kabla ya nchi husika kuanza kupokea timu
katika miji yao. Imekuwa kawaida kwa kila nchi inayotarajia kuwa
mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia kutengeneza viwanja vipya na
vyenye hadhi kwa ajili ya michuano hiyo.
Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 mtandao wa sokka.com
umetoa list pichaz 12 za viwanja vinavyotajwa kuwa vitatumika katika
mihuano hiyo 2022. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 12 za
muonekano wa viwanja 12 vilivyotajwa na sokka.com
Leo Feb 17 2016 Watanzania mbalimbali waliungana pamoja na baadhi ya mastaa kwa lengo la kuuaga mwili wa marehemu John Woka katika Hospitali ya Muhimbili, Dar kisha kuusafirisha kwenda kwao Tanga.