Wednesday, 24 February 2016

KAMCHOMA MWANAYE KISA KAKOMBA MBOGA

LAYIII

Mkazi wa kitongoji cha Kazima – Kichangani Kata ya Kawajense, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Emmanuel Joseph (31) amemfanyia unyama mtoto wake wa kumzaa, George Emmanuel (4) kwa kuvichoma kwa moto vidole vyake vya mkono wa kushoto, akimtuhumu kukomba mboga yote ya majani aina ya ‘chainizi’ yenye thamani ya Sh 500.
Inasemekana baba huyo amekuwa akiishi na watoto wake watatu baada ya kuachana na mkewe wa ndoa, Semsni Jahala (28) Machi mwaka jana.

Tuesday, 23 February 2016

ALIKIBA KWENDA NIGERIA MWEZI UJAO UBUYU WATEMA MAKUBWA

LAYIII





Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwezi ujao anatarajiwa kukwea pipa hadi nchini Nigeria kwa ajili ya kufanya kazi na mwanamuziki wa nchi hiyo, Deborah Oluwaseyi ‘Seyi Shay’.
Msanii huyo anayetamba na kibao cha ‘Right Now’, aliwaambia waandishi

MTOTO WA SOKWE ANAENDELEA VIZURI BAADA YA KUZALIWA KWA UPASUAJI

LAYIII



MA BIBI NA MABWANA NIMEKUSOGEZEA NGOMA MPYAA KABISA YA DRAKE NA RIHANNA HAPA


LAYIII



CHUKUA MUDA WAKO KUITIZAMA VIDEO YA HAWA VIJANA WETU

SAMSUNG WAMEZINGUA SIMU MPYA YA GALAX S7

LAYIII

Samsung Galaxy S7

Kampuni ya kutengeneza simu ya Samsung imezindua simu yake mpya ya kisasa aina ya Galaxy S7 na Galaxy S7 Edge.

Kampuni hiyo ya kutokea Korea Kusini imezindua simu hizo mbili ilikukabiliana na upinzani mkali kutoka kwa kampuni ya simu ya Apple.

Sunday, 21 February 2016

HUU NI ZAIDI YA UNYAMA MMAMA AMCHALANGA MWANAYE VIWEMBE

LAYIII
BONYEZA PICHA KUIONA VIDEO


mtoto viwembe1Majeraha aliyoyapata baada ya kujeruhiwa na viwembe.

Stori: Joseph Ngilisho, Ijumaa
Arusha: Ukatili wa watoto haukubaliki! Mama mzazi aliyetajwa kwa jina moja la Anna, mkazi wa Oysterbay maeneo ya Unga-Limited jijini hapa anadaiwa kumcharanga kwa viwembe mwanaye wa kumzaa mwenye umri wa miaka kumi anayesoma shule ya msingi (jina la mtoto na shule yanahifadhiwa).
Tukio hilo la kusikitisha lilijiri mapema wiki hii nyumbani kwa mama huyo maeneo ya Oysterbay hivyo kumlazimu Diwani wa Kata ya Themi, Melance Kinabo kushirikiana na polisi kumkamata mzazi huyo kutokana na kitendo alichomfanyia mwanaye na kumwachia majeraha makubwa.

SHILOLE ALEWESHA DOGO MAPENZI AMBEMENDA OVYO OVYO

LAYIII

IMG_9282Msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akipozi kimahaba na Medy Music.
Stori: Musa mateja, Ijumaa:
Dar es Salaam: Baada ya msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, hivi karibuni Ijumaa lilinyetishiwa kuwa, amejiweka kwa dogo mmoja aliyefahamika kwa jina la Medy Music ambaye wamekuwa wakipika na kupakua kwenye nyumba ya staa huyo iliyopo Kijitonyama jijini Dar.

KTK HEADLINE ZA MJINI NI WEUPE WA BINADAMU NA NGUVU YA MAJI MSIKILIZE RAY AKIZUNGUMZIA WEUPE WAKE HAPA

LAYIII
Mwigizaji wa bongomovie Ray ‘Vicent Kigosi’ ametajwa sana na headlines za Tanzania ndani ya siku 7 zilizopita kuhusu weupe wa ngozi yake na kukawa na mistari kwamba amekua akitumia mkorogo tofauti na zamani ndio maana rangi ya ngozi imebadilika, mengi ameyaongea kwenye hii video hapa chini alipohojiwa na CloudsFM Leo Tena pia kuhusu movie yake mpya ‘Tajiri Mfupi

SABABU ZA MIMBA KUHARIBIKA DAKTARI ATUPATIA SABABU

LAYIII
Moja ya stori kubwa za mastaa wiki hii ilikua ni taarifa za ujauzito wa Wema Sepetu kuharibika, tumempata Daktari ambaye yuko tayari kuelezea ni vitu gani vinaweza kusababisha ujauzito wa Mwanamke

WAYNE ROONEY AZIKATAA BILION 220 ZA WACHINA

LAYIII
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Man United Wayne Rooney wiki hii aliingia kwenye headlines baada ya klabu ya wachina ya Shanghai Shenhua kuomba kumsajili kutoka klabu yake ya Man United na kwenda kuanza maisha mapya ya soka nje ya Uingereza kwa mara ya kwanza.
Klabu ya Shanghai Shenhua ambayo ilianza kuiomba Man United kumsajili Wayne Rooney kwa dau la pound milioni 27 mwishoni mwa mwaka 2015, kwa sasa inamuhitaji na ilitaka kuwa inamlipa mshahara wa

HUKO INSTAGRAM HAYA NDIYO MANENO YA WEMA SEPETU NA LULU BAADA YA UJAUZITO WA WEMA SEPETU KUHARIBIKA

LAYIII
Usiku wa February 20 2016 mwigizaji Lulu ilibidi aandike tu kwenye page yake ya Instagram kuhusu taarifa za yeye kufumaniwa na Idris Sultan ambaye siku za karibuni amekua akijulikana kama boyfriend wa Wema Sepetu.
Lulu aliandika >>> Huyo ulodai kanifumania hana hata Taarifa….guys hizo drama zenu za kwenye mitandao sio kila mtu ana entertain…..tushafanya drama sana b4 IG kwahyo Kama mnatafutaga mtu kugombana au kugombanisha watu na kila mtu MLIPO BONYEZA SASAHIVI NI RED BUTTON nyie mnafanya drama za mitandao watu tumefanya za LIVE tumechoka na tumeamua

Saturday, 20 February 2016

MATUMIZI YA SIKUKUU YAZUA GUMZO

LAYIII


 KUFANYA STAREHE SIYO ZAMBI ILA STAREHE INAHITAJI KIPIMO MAANA IKIPITA KIASI INAKUWA NA MADHARA YAKE CHUKUA NAFASI KUONA VIDEO HIO HAPO chini
Pale watu wanapotakiwa kwenda kanisani na misikitini kwa ajiri ya ibada ndo kwanza wanajirusha katika kumbi za starehe
Pale ambapo muda wa kumtukuza mungu umefika ndo kwanza watu tunajiachia club swimming pool na maeneo meni ya anasa

UNAHABARI KUWA YULE MWANAMZIKI MKUBWA MAREKANI NEYO ATATUA MWANZA DROP HAPA UISOME

LAYIII
Hii ni kwa mujibu wa bongoswaggz.com
Muimbaji wa Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kama Ne-Yo, anatarajiwa kutumbuiza jijini Mwanza, May 21.
Atatumbuiza kwenye tamasha kubwa la kila mwaka la Jembeka linaloandaliwa na kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini humo.

Hii itakuwa mara ya tatu muimbaji huyo kuja Afrika Mashariki. Ameshatembelea

ETI RAY ALISHAWAHI KUMUOKOA NEY WA MITEGO ASIPIGWE

LAYIII
STAA wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara nyingine ameendelea kuteka ‘headlines’ baada ya kuibuka na kudai kuwa alishawahi kumuokoa staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego asipigwe.
Akizungumza asubuhi hii katika kipindi cha

CHUKUAMUDA WAKO KUTAZAMA VIWANJA KUMI VYENYE MVUTO KWA AJIRI YA KOMBE LA DUNIA 2022

LAYIII
Kwa kawaida maandalizi ya Michuano ya Kombe la Dunia hufanyika miaka zaidi ya minne kabla ya nchi husika kuanza kupokea timu katika miji yao. Imekuwa kawaida kwa kila nchi inayotarajia kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia kutengeneza viwanja vipya na vyenye hadhi kwa ajili ya michuano hiyo.
Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 mtandao wa sokka.com umetoa list pichaz 12 za viwanja vinavyotajwa kuwa vitatumika katika mihuano hiyo 2022. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 12 za muonekano wa viwanja 12 vilivyotajwa na sokka.com

Wednesday, 17 February 2016

VIDEO: MAREHEMU JOHN WOKA ALIVYOAGWA LEO DAR, FEB 17 2016

LAYIII


Leo Feb 17 2016 Watanzania mbalimbali waliungana pamoja na baadhi ya mastaa kwa lengo la kuuaga mwili wa marehemu John Woka katika Hospitali ya Muhimbili, Dar kisha kuusafirisha kwenda kwao Tanga.

VAN GAAL: ITABIDI TUSHINDE EUROPA LEAGUE

MANENO YA UCHUNGU ALIYOZUNGUMZA WEMA SEPETU JUU YA UJAUZITO WAKE

LAYIII
Baada ya kuwa na tetesi na Uvumi kila kona kuhusiana na Ujauzito wa Wema Sepetu kutokuwepo tena  mwenyewe leo amefunguka kupitia mtandao wa kijamii na kutoa uhakika.

Ameandika maneno haya; 

"Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.

Monday, 15 February 2016

YAJUWE MAAMUZI YA DK MAGUFULI KWA MIGILO NA WENGINEO

LAYIII
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk John Pombe Magufuli ametangaza kuwateuwa mabalozi wa tatu katika wizara ya mambo ya nje, ushirikiano wa Afrka Mashariki, kikanda na kimataifa. Rais Magufuli  pia alitangaza kuteua watu wengine katika nyadhifa tofauti. Hii ndi baru yenye mchanganuo wote.

Saturday, 13 February 2016

ZARI AKUTANA NA ISSUE YA KUWA NA MAKALIO FEKI

LAYIII

zariNasibu Abdul ‘Diamond’ na mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari’
Stori: Musa mateja, Ijumaa
Dar es Salaam
Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ukipenda muite mama Tiffah, amekwaa skendo ya kutumia makalio feki kila anapokuwa kwenye mtoko.

advertise here