Tuesday, 11 August 2015
RAIS TP MAZEMBE KUWA RAIS WA CONGO
LAYIII

Rais wa klabu ya Tp Englebert Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya
Congo Moise Katumb
Moise
Katumbi, the governor of the Katanga region of the Democratic Republic
of Congo
and president
of the TP Mazembe Lubumbashi football club, arrives for their African Champions league
football match against Sewe Sport on March 23, 2014 at the Robert Champroux stadium in
Abidjan. AFP PHOTO / ISSOUF SANOGO

Monday, 10 August 2015
Sunday, 9 August 2015
KILICHOWAKUTA ARSENAL DHIDI YA WEST HAM HIKI HAPA
layiii
Ligi kuu ya Uingereza Baclays Premier imeendelea jumapili ya leo kwa mchezo uliowakutanisha mahasimu wa mji wa London – Arsenal dhidi ya West Ham United.

Mchezo huo uliomalizika hivi punde umemalizika kwa West Ham United kuwashangaza watu wengi kwa kuifunga Arsenal kwa magoli 2-0.

ZIJUE SABABU ZA MOURINHO KUMLAUMU DOCTOR WA CHELSE
LAYIII
Baada ya kutoka sare ya goli 2-2 dhidi ya Swansea City katika mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza, kocha wa Chelsea Jose Mourinho baada ya matokeo hayo hakupeleka lawama zake kwa muamuzi Michael Oliver ambae alimuonyesha kadi nyekundu golikipa wa Chelsea Thibaut Courtois na kutoa penati kwa Swansea.
HUYU NDO MWAFRIKA PEKEE ALIYE WAHI KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MIGUU DUNIANI
LAYIII

Na wengine kama Pele na Zidane wao wameamua kabisa kutokuwa makocha, tukirudi Afrika hapa nakusogezea historia ya mwanasoka pekee kutoka Afrika aliewahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia (Ballon d’or) 1995 George Ousman Weah kutokea Liberia huyu jamaa amemud
Ni kawaida kwa binadamu kufanya au
kujifunza kitu zaidi ya kimoja lakini huwa ni watu wachache sana
wanaoweza kuvimudu vyote kwa ufasaha, kwa rekodi tu wachezaji wote
wanaotajwa kuwa bora duniani hawajawahi kuwa makocha wazuri licha ya
kuweza kucheza mpira kwa ufasaha mfano kama Diego Maradona na hata Lionel Messi anatajwa hatokuja kuwa kocha mzuri kama akitaka kuja kuwa kocha.
Na wengine kama Pele na Zidane wao wameamua kabisa kutokuwa makocha, tukirudi Afrika hapa nakusogezea historia ya mwanasoka pekee kutoka Afrika aliewahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia (Ballon d’or) 1995 George Ousman Weah kutokea Liberia huyu jamaa amemud
LIPUMBA ajificha Burundi........JK,LOWASSA,MAGUFULI,MBOWE kukutana..#StoriKubwa AUGUST 9
LAYIII

MWANANCHI
Rais Jakaya Kikwete amesema sasa atazungumza lugha moja na wakwe zake baada ya kukamilika Barabara ya Ndundu-Somanga kwa kiwango cha lami.
Rais Kikwete alisema hayo juzi jioni kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo iliyofanyika Kijiji cha Marendego Mpakani na kuhudhuriwa na wananchi wa mikoa ya Lindi, Pwani pamoja na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali akiwamo Balozi wa Kuwait nchini, Jassem Ibrahim AL-

ILE COLLABLE ILIYOKUWA IKISUBILIWA KWA HAMU YA DIAMOND & ALI KIBA YATABILIWA KUVUNJA RECORD
LAYIII
UNGANA NAMI KILA SIKU KUPATA HABARI ZINAZONIFIKIA
MTOTO ALIYEVUNJA RECORD KWA KUIMBA RAGGER TONE HUKO AFRIKA YA KUSINI HUYU HAPA......... ONA VIPAJI VYA WATOTO CHIPUKIZI HAPA
LAYIII
Kitoto kidogo cha miaka minne kimewaacha hoi maelfu ya watu kiliposikilizwa kikiimba tone za raga tena kwa mbwembwe za ukweli
Kitoto kidogo cha miaka minne kimewaacha hoi maelfu ya watu kiliposikilizwa kikiimba tone za raga tena kwa mbwembwe za ukweli
Saturday, 8 August 2015
KATIKA UFUNGUZI WA LIGI KUU YA UINGEREZA HIZI NDO PICHA KALI MTU WANGU
LAYIII
Baada ya muda mrefu wa mapumziko kwa
Ligi mbalimbali Duniani, sasa tunarudi tena kwa mwanzo wa msimu mpya wa
Ligi Kuu Uingereza ambao umeanza August 8 kwa michezo kadhaa kupigwa
katika viwanja mbalimbali Uingereza, sas mtu wangu wa nguvu nakusogezea
picha 10 zinazotajwa kuwa kali katika ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza.
Hizi ndizo picha 10 bora za mwanzo wa msimu kwa mujibu wa mtandao wa talksport.com
Full time ya Chelsea vs Swansea City na matokeo mengine ya EPL nimeweka hapa
layiii
Baada ya Manchester United na Tottenham Hotspur kufungua dimba la mechi za ligi kuu ya Barclays Premier League – Mabingwa watetezi wa kombe hilo Chelsea nao jioni hii walianza utetezi wa kombe hilo kwa kucheza dhidi ya Swansea.

Mchezo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa sare ya 2-2.

Friday, 7 August 2015
Thursday, 6 August 2015
HAWA NDIO WATU WABISHI NCHINI CHINA MTU WANGU
LAYIII
p>Ukijua sheria na haki yako ni rahisi kudai na kusimamia msimamo wako kiuhalali kabisa. Hali ndivyo ilivyo kwa wamiliki wa nyumba nyingi huko China ambao wengi ni wabishi hasa nyumba zao zinapotakiwa kubomolewa kupisha miradi mbalimbali.
Je hapa kwetu watu wanajua sheria na taratibu zao? Picha hapo chini zinaonyesha nchi ya kikomnisti ya China. Je nchi za kidemokrasia kama tunavyojiita unaweza kufanya hivi?p>Ukijua sheria na haki yako ni rahisi kudai na kusimamia msimamo wako kiuhalali kabisa. Hali ndivyo ilivyo kwa wamiliki wa nyumba nyingi huko China ambao wengi ni wabishi hasa nyumba zao zinapotakiwa kubomolewa kupisha miradi mbalimbali.
Mmiliki wa jengo hilo Luo Baogen, 67, akiwa na mkewe mwenye miaka 65 wamekuwa wakipambana kwa miaka minne ili waweze kupata dola za kimarekani 41,300 kutoka serikali kufidia jengo hilo ili waweze kuondoka hapo. Hali hiyo inaitwa nyumba misumari kwakuwa inakuwa ngumu
MTOTO WA DIAMOND PLATNUMUZ AANZA MAISHA YA KISTAA AKIWA HAJAFIKISHA HATA SIKU MBILI TOKA AZALIWE
LAYIII

Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.
Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.
Wazazi wake mwenyewe wanamuita ‘The Next Most Famous Daughter in Africa.’ Kwa ukubwa wa Diamond Platnumz na mama yake Zari Ttale, hakuna ubishi kuwa Tiffah ana kila sifa ya kuja kuwa ‘binti maarufu zaidi barani Afrika.
Ikiwa ni saa chache tu tangu kuzaliwa kwake, akaunti yake ya Instagram iliyofunguliwa imefikisha followers zaidi ya 16,000.
Picha yake ya kwanza kuwekwa kwenye akaunti hiyo ina zaidi ya comments 860.
WASANII WASUSA MWALIKOWA TCRA
LAYIII
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) leo Aug 06 waliwaalika wanamuziki wa Tanzania kwa ajili ya semina ya namna ya kuziweka salama akaunti zao za mitandao ya Kijamii baada ya
malalamiko yaliyoripotiwa na baadhi ya wasanii kuhusu
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) leo Aug 06 waliwaalika wanamuziki wa Tanzania kwa ajili ya semina ya namna ya kuziweka salama akaunti zao za mitandao ya Kijamii baada ya
Maneno ya TCRA baada ya mahudhurio machache ya wasanii Aug 06 DSM.
malalamiko yaliyoripotiwa na baadhi ya wasanii kuhusu
Wednesday, 5 August 2015
TWEET ZINAZOSEMEKANA KUWA NI ZA YULE ALIYEKUWA GAVANA MKUBWA WA FEDHA (BALALI) ZAONEKANA ( NOT CONFIRMED)
LAYIII
Tukiwa katika vugu vugu la uchaguzi mkuu huku tukiahidiwa na mweshimiwa lowassa kuwa akipata fursa atatuletea yule aliye kuwa gavanna wa fedha tanzania leo nimekuletea baadhi ya tweet zinazosemekana kuwa ni za mheshimiwa balali
Zipo baadhi ya tweet zinazo wataja baadhi ya viongozi wakubwa serikalini kuhusiana na sakata la escrow lakini kulingana na swala zima la uhakika nimeziweka kapuni ikifikia wakatizitatoka tu hewani

Tuesday, 4 August 2015
BEKI HUYU MBIONI KUINGIA MAN U ..NI BAADA YA KUPOTEZA MATUMAINI YA KUMPATA RAMOS
LAYIII
Klabu ya Manchester United imekuwa ikimuwania beki wa Real Madrid ya Hispania Sergio Ramos kwa muda mrefu licha ya kuwa Real Madrid walikataa kumuuza beki huyo kwenda Manchester United kwani bado walikuwa wanahitaji huduma yake. Man United walikuwa na matumaini ya kumsajili Ramos baada ya yeye kukiri kutokuwa na furaha Real Madrid.
Baada ya Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez kutangaza kuwa wamefikia makubaliano ya kuongeza mkataba na Ramos, Man United wamebadili mawazo yao na kukubali yaishe
THAMANI YA VIPODOZI VILIVYOTEKETEZWA NA TFDA KWA MWAKA 2014/2015 HII HAPA
LAYIII

Mmlaka ya chakula na Dawa TFDA
imeatoa ripoti ya mwaka wa fedha kuhusu bidhaa mbalimbali zilizokamatwa
na kuteketezwa kwa mujibu wa sheria na hatua zilizochukuliwa.
Mkurugenzi wa TFDA Hitti Sillo
amesema katika mwaka wa fedha wamekamata na kuteketeza vipodozi
ambavyo vimepigwa marufuku tani 16.61 ambazo thamani yake ni shilingi
milioni 44.2
Subscribe to:
Posts (Atom)