Wednesday 5 August 2015

TWEET ZINAZOSEMEKANA KUWA NI ZA YULE ALIYEKUWA GAVANA MKUBWA WA FEDHA (BALALI) ZAONEKANA ( NOT CONFIRMED)

LAYIII
Tukiwa katika vugu vugu la uchaguzi mkuu huku tukiahidiwa na mweshimiwa lowassa kuwa akipata fursa atatuletea yule aliye kuwa gavanna wa fedha tanzania leo nimekuletea baadhi ya tweet zinazosemekana kuwa ni za mheshimiwa balali
 Zipo baadhi ya tweet zinazo wataja baadhi ya viongozi wakubwa serikalini kuhusiana na sakata la escrow lakini kulingana na swala zima la uhakika nimeziweka kapuni ikifikia wakatizitatoka tu hewani




 Baada ya maneno mengi kusemwa Balali amekufa aliamua kutoa tweet hiyo hapo juu


Ifahamike kuwa tweet hizi zinamkanganyiko haijajulikana wazi kuwa ni zinamhusu balali kweli au zimetengenezwakumbuka haya yote lazima yatokee tukiwa katika vugu vugu la uchaguzi



No comments:

Post a Comment

advertise here