Thursday, 23 July 2015

HABARI ZA KUSHTUA NI KWAMBA TUPAC YUPO HAI NA POLICE WAMEPIMA DNA ZIMECORFIRM {NAKUWEKEA KAMA ILIVO COPY PASTE}

LAYIII

BREAKING NEWS - Police Confirms The Dna "TUPAC IS ALIVE" 2015 Video Proof


BONYEZA PCHA HAPO KUUSHUDIA UKWELI

Today: May 21 2015 we can confirm that Mr. Tupac Amaru Shakur lives. According to the Police officer mr. Beck. "Lately we used to check the DNA test and we discovered that Mr. Shakur lives and as you can see in the video he admits his existen

ALICHOKISEMA DAVIDO KUHUSU COLLABLE YAKE NA ALI KIBA SOMA HAPA

LAYIII

Davido ni msanii wa Nigeria ambaye ujazo wa jina lake ulizidi kuongezeka Tanzania baada ya kufanya ‘number one rmx’ na Diamond Platnumz, wawili hawa walitaja kuwa kwenye beef baada ya Davido kuandika sentensi tata baada ya Tanzania kutangazwa mshindi wa shindano la BBA 2014.


ACHOMWA MOTO BILA HURUMA.........MADHARA YA KUTUMIA MADAWA YA KUONGEZA MAKALIO

LAYIII
 Kweli dunia haina ‪#‎huruma‬, ‪#‎dada‬ huyu ateketea kwa moto kisa ‪#‎MCHEPUKO‬ alipewa ofa nyingi sana na mchepuko wake alipo kutwa na mchepuko mwingine joto likaanzia hapo

Vtwoc Da Costa's photo. 

LOWASA WEMA TUMBO JOTO

LAYIII
DU! Kazi kwelikweli! Habari ya mjini kwa sasa ni mtoto mzuri Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lakini nyuma yake kuna habari zinazodai kuwa mrembo huyo ameingiwa na hofu ya 

MAYASA MARIWATA
DU! Kazi kwelikweli! Habari ya mjini kwa sasa ni mtoto mzuri Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kuwania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lakini nyuma yake kuna habari zinazodai kuwa mrembo huyo ameingiwa na hofu ya kukatwa jina kama ilivyotokea kwa Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliyekuwa mmoja wa watia nia ya kugombea urais, Amani lina mkanda kamili.

HAHAHAHA JAMANI MBAVU ZANGUUUU EMBU CHEKA NA WEWE HUYU YESU MTUNA MAAJABU YAKE

LAYIII
Jamaa aliyejifanya yesu na maajabu yake embu mcheki hapa mtu wangu kweli watu na maajabu yao  utapasuka na cheko



Wednesday, 22 July 2015

VISOME VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YOTE YA LEO HAPA

LAYIII
DSC09931
Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi July 23 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko hapa.

Haya ndio maamuzi ambayo Rafael Van der Vaart anajutia kwenye maisha yake ya soka…

layiiii

rafael-van-der-vaa_1996045c
Kiungo wa kimataifa wa kiholanzi Rafael van der vaart ambaye amewahi kuitumikia Tottenham Hotspurs  kuanzia 2010-2012 akitokea katika klabu ya Real Madrid ya Hispania uhamisho ulioshangaza wengi kwa kiungo huyo kujiunga White Hart Lane.

MTOTO WA MIAKA MITATU AOTA MATITI HUKO NIGERIA.........NI LONG TIME BUT CURRENT FOR NEW READER

LAYIII
Ni habari ya muda lakini ni ya kwanza kwako wewe msomaji wa swaxbz.com .Napenda kukumbusha kuwa mwenyezi Mungu yupo na wao wanao mwabudu yawapasa kumwabudu kwa roho na kweli.

HUWEZI KUAMINI...!!!MTOTO WA MIAKA 3 AOTA MATITI MAKUBWA KAMA MSICHANA WA MIAKA 18..MTAZAME HAPA HAPA 

Huwezi kuamini mtoto wa miaka 3 huko Nigeia kuota matiti,unaweza kusema kuwa hili swala limesababishwa na hali ya maumbile ya mtoto.Kusema kweli sisi hatufahamu hili swala limetokeaje kwa mtoto huyu mzuri
TAZAMA PICHA HALISI HAPO CHINI...!!!!

LOWASSA TENA: NI UJUMBE KWA WAPIGA KURA WOTE NA WANAOJIANDIKISHA

LAYIII

LOWASA KAANDIKA UJUMBE TATA KATIKA PAGE YAKE YA INSTOGRAM

LAYIII
Kwanza kabisa napenda kuwapa taarifa kuwa inasemekana imekuwa cornformed lowasa kupeperusha bendera ya ukawa
huu ndo ujumbe wa lowasa katika page yake ya instogram.



 

KUMBE NANANA YA DIAMOND ILIKUWA IFANYWE NA LUDUCRISE

LAYIIII
“Nana” ya Diamond platnumz ni moja ya nyimbo kubwa sana Afrika kwa sasa, Bado inaendelea kukimbiza katika chat mbalimbali za television kubwa kama Trace.Kumbe nyimbo hii ilitakiwa afanye na Ludacris.
Akiongea katika kipindi cha mambo mseto kinachoongozwa na William Mtuva Diamond amesema kuwa nyimbo ya Nana ilitakiwa afanye na Ludacris lakini Midundo ambayo ilitumika ilionekana kuwa Luda asingeweza kufeet katika ngoma, ikabidi asimame Flavour.

CHADEMA KUMTAJA MGOMBEA URAIS LEO

LAYIII
Pirika pirika ni nyingi asubuhi na inawezekana uchambuzi wa Magazeti redioni @Clouds.fm umekupita, nimefanya juhudi ya kukurekodia stori zote za magazeti zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…

CHADEMA na mgombea Urais leo, Odinga aivulia kofia Zanzibar na Madereva kulipa fine kielektroniki. (Audio)

xxxx
Pirika pirika ni nyingi asubuhi na inawezekana uchambuzi wa Magazeti redioni @Clouds.fm umekupita, nimefanya juhudi ya kukurekodia stori zote za magazeti zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa…
James Lembeli atangaza sababu zilizomtoa CCM mizengwe na rushwa kuwa sababu kuu zilizomtoa kwenye Chama hicho na kuhamia CHADEMA.

Tuesday, 21 July 2015

ALIYEGEUKA NUSU NYOKA VIDEO YAKE HAPA ENZI ZA UTOTO WAKE

LAYIII
Kama ulifatilia ile post ya juzi nilikuwekea picha za mwanamke aliye kuwa nusu nyoka sasa camera yetu imezipata video zao zote zifate hapo chini ndugu yangu

picha nyingine hapa alifichwa sana ili watu wasijue kama yupo huyu hapa mcheki katika video hiii

NIMEKUWEKEA VIDEO UONE BINADAMU ANAVYOUMBWA .........HAYA NDO MAAJABU YA MWENYEZI MUNGU

LAYIII
Ikiwa ni siku chache wanasayansi walivyokuwa wakijaribu  kumtengeneza binadamuna juhudi zote kukwama nimeamua kukuletea video ujionee jinsi binadamu anavyoumbwa utaona ukuu wa mungu ulivyo jamani mwacheni mungu aitwe mungu yeye ndio muweza



DIAMOND AMJIBU JOKATE AMSHANGAA JOKATE KUTOA PONGEZI KWAKE

LAYIII

Diamond Amjibu Jokate, Amshangaa Kwakutoa Pongezi

Diamond Amjibu Jokate, Amshangaa Kwakutoa Pongezi

 
Kutangaza hapa piga : 0766900009
UNGEPENDA KUJUA MWANAMKE ALIYEGEUKA NYOKA BASI FATA LINK CHINI
Tembelea :http://www.swaxbz.com/2015/07/mwanamke-ageuka-nyoka-mtu-jamaniii-ndo.html
Mkali wa ngoma ya Nana,ambaye amenyakua tuzo ya MTV MAMA kama Mtumbuizaji Bora wa Afrika,Diamond Platnamz amemjibu mwanamitindo Jokate Mwegelo baada kuandika ‘status’ kwenye akaunti ya Instagram yake na kumpongeza msanii huyo kunyakua tuzo na kusema mbona hakumsapoti kwa kumpost kwenye akaunti yake kabla ya kutwaa tuzo hiyo.

SASA NI ZAMU YA IRENE UWOYA

LAYIII
Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015 kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge viti maalumu mkoani Tabora.

.
.
Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015 kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya naye amechukua fomu

Donald kaisambaza hii na Diamond Platnumz leo

LAYIII
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Time hii nakukaribisha kuisikiliza hii single mpya aliyoshirikishwa na msanii kutoka South Africa Donald wimbo unaitwa ‘Wangu’.
.
.
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Time hii nakukaribisha kuisikiliza hii single mpya aliyoshirikishwa na msanii kutoka South Africa Donald wimbo unaitwa ‘Wangu’.

Nay wa Mitego kamvalisha pete Shamsa?, Rabbit katua kufanya video, Crazy GK kauzungumzia muziki wa TZ..#255 (Audio)

LAYIII
sham
Rabbit msanii kutoka pande za Kenya amedondoka Bongo kufanya video na G Nako, Joh Makini,Rich Mavoko..amesema amekuja kufanya kazi na Director wa huku..anataka kujaribu kufanya kazi na watu mbalimbali.
rabit
Rabbit
Pia mkongwe kutoka ECT, Crazy GK amesema kitu kinachomis kwenye muziki wa Tanzania ujuzi wa muziki…wengi wanajaribu bado hawana ujuzi wa kutosha kwenye muziki..

HIZI NDIO LAWAMA ZA MOURINHO KWA FC PORTO

LAYIII
Iker Casillas amelelewa na Klabu ya Real Madrid ya Hispania kwa miaka 25, ndani ya kipindi hicho ameichezea Klabu hiyo kwa miaka 16, lakini mambo yakabadilika baadae ambapo mwezi huu alitangaza kuhamia Klabu ya FC Porto ya Ureno kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi.

Mourinho analaumu FC Porto kumsajili Casillas pamoja na mshahara wake?

jose-mourinho-chelsea_e5smuyx0q03h1346wwab0ldj5
Iker Casillas amelelewa na Klabu ya Real Madrid ya Hispania kwa miaka 25, ndani ya kipindi hicho ameichezea Klabu hiyo kwa miaka 16, lakini

Floyd Mayweather KUKUTANA NA HUYU JAMAA ULINGONI

LAYIII

Andre
Andre Berto
Jina la Floyd Mayweather ni moja ya majina ya mastaa wachache waliochukua headlines nyingi zaidi mwaka 2015, mwaka uko katikati na bado anaendelea kuchukua nafasi hiyohiyo ya juu… mara nyingi kuna stori ya yeye kustaafu mchezo wa Ngumi, mpango wake uko palepale ila leo tutamjua mpinzani wake mwingine.
FMAY
Floyd Mayweather
Pambano lake linalofuatia litakuwepo September 12 2015, na tayari majibu yako on air kwamba atakayepambana nae ni Andre Berto, Bondia ambaye ana rekodi ya kushinda Mapambano 33 na amepigwa kwenye Mapambano matatu.
Floyd Mayweather ameshinda jumla ya mapambano 48, hajapigwa hata pambano moja… Berto ataweza kuianguisha record ya huyu jamaa?
may

advertise here