ALICHOKISEMA DAVIDO KUHUSU COLLABLE YAKE NA ALI KIBA SOMA HAPA
LAYIII
Davido
ni msanii wa Nigeria ambaye ujazo wa jina lake ulizidi kuongezeka
Tanzania baada ya kufanya ‘number one rmx’ na Diamond Platnumz, wawili
hawa walitaja kuwa kwenye beef baada ya Davido kuandika sentensi tata
baada ya Tanzania kutangazwa mshindi wa shindano la BBA 2014.
No comments:
Post a Comment