LAYIII
Dubai ni moja ya sehemu ukienda kwa
mara ya kwanza utajikuta unashangaa tu tena kama wewe ni mpenzi wa
magari makali na maisha mengine ya kifahari ndio kabisa maana kuanzia
watu binafsi mpaka Jeshi la Polisi wanayo magari ya kifahari kama Ferrari, Bugatti na Lamborghini ambayo wengi wetu tumezoea kuyaona kwenye video za mastaa wa dunia kama kina Nicki Minaj, Chris Brown na wengine.
Record
label ni kampuni inayosimamia wasanii ama brand, kuratibu utengenezaji
wa nyimbo, video, usambazaji, masoko, promotion na mambo mengine. Record
label pia hutafuta wasanii wapya kwa nia ya kuendeleza vipaji vyao.
Nchini Tanzania tumeanza kuona record label mbalimbali ambazo zinafanya
vizuri kwa kiasi chake, japo bado hatujafika kule ambako tunatarajia
record label zetu zifike. Hapa tumeandaa record label kadhaa ambazo kwa
sasa zinafanya poa.