LAYIII
source na Bongoswaggz
source na Bongoswaggz
Msanii
Jux ambaye kwa sasa yupo kimahusiano na Vanessa Mdee, amefunguka na
kuweka wazi sakata ambalo lilimkuta mpenzi wake wa zamani anayefahamika
kama Jackie Cliff na mahusiano yake na model huyo.
Kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na EATV Jux alikiri wazi kuwa alikuwa akitoka kimapenzi na Jackie Cliff na kusema alikuwa anampenda sana licha ya bidada huyo kumzidi umri.
Kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na EATV Jux alikiri wazi kuwa alikuwa akitoka kimapenzi na Jackie Cliff na kusema alikuwa anampenda sana licha ya bidada huyo kumzidi umri.