Anaitwa Liu Lingchao nimchina ambaye amekuwa akitembea kwa zaidi ya
miaka mitano sasa akiibeba nyumba yake mabegani na kuzunguka nayo kutoka
sehemu moja kwenda nyingine.
KILA PICHA UKIBONYEZA NIMEKUWEKEA LINK YA VIDEO YAKE
MWANANACHI
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa
jana hakuhudhuria mkutano wa kampeni za ubunge mjini Arusha kwa maelezo
kuwa anajiandaa kutoa tamko kuhusu hali ya kisiasa visiwani Zanzibar.
Maelfu ya wafuasi wa Chadema jana walifurika kwenye Uwanja wa
Ngarenaro mjini hapa kuhudhuria kampeni za ubunge wa Jimbo la Arusha
Mjini ambao uliahirishwa kutokana na kifo cha mgombea kutoka chama cha
ACT Wazalendo, lakini wakakumbana na tangazo kuwa Lowassa hataweza
kuhutubia na badala yake atakuja siku ya kufunga kampeni hizo.
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Mpenzi mfuatiliaji wangu, wiki iliyopita tuliona jinsi ambavyo
mapambano kati ya Al-Shabaab na majeshi ya Serikali ya Somalia
yakisaidiwa na yale ya kigeni yalivyokuwa yakipambana. Licha ya vipigo
vikali kutoka kwa majeshi ya Afrika, wapiganaji hao walishambulia Kambi
ya Wakimbizi ya Daadab iliyopo kwenye mpaka wa Somalia na Kenya ambayo
inahesabiwa kuwa moja ya kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani. SASA
ENDELEA…
MWANADADA aliyefahamika
kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi
karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na
shosti wake aitwaye Mama Sofia, kisa kikidaiwa ni mume wa mtu.
BONYEZA PICHA KUONA TUKIO NZIMA
Mbuva, akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa mafuta ya moto.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo inadaiwa mama
Sofia alimfanyia mwenzake unyama huo akimtuhumu kutembea na bwana
wake.Akisimulia ilivyokuwa, Mbuva
LAYIIII
BONYEZAPICHA YOYOTE ITAKUPELEKA MOJA KWA MOJA KATIKA TUKIO NZIMA
Emmanuel Mbasha akiwaongoza waimbaji wengine wakitumbuza kwenye sherehe yake hiyo.
Musa MatejaASANTE
Mungu! Mume wa muimba Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameangusha
bonge la pati nyumbani kwake Tabata Kimanga Mwisho, jijini Dar, Jumapili
iliyopita kama shukrani kwa Mungu kwa kumfanikisha kushinda kesi ya
ubakaji iliyokuwa ikimkabili.
Hatimaye mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu fainali za michuano ya Kombe la Dunia2018 zitakazofanyikaUrusikati ya timu ya taifa yaTanzania Taifa Starsdhidi ya timu ya taifa yaAlgeria MbwehawaJangwani ndio umechezwa leo November
LAYIII
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa wale wote ambao wananipa support katika mwendelezo wa blog yangu ya www.swaxbz.com na kwa wale wote walio subscribe katika youtube na katika blog hii naomba sapoti zenu zaidi na zaidi kama hujajisajili na blog hiii jisajiri ili niwe nakuunganisha na habari hot kabisa pia kama hujajiunga nami katika youtube jiunge sasa bonyeza picha hii utaenda moja kwa moja katika page yangu ya youtube
MDADA AVUNJA RECORD YA MWAKA KWA KUCHEZA WIMBO WA SKELEW WA DAVIDO BONYEZA PICHA KUIONA VIDEO YAKE
LAYIII Si mara zote uhusiano wa ndoa ni matokeo ya upendo kama inavyotarajiwa. Yapo mahusiano mengi tu ya ndoa ambayo kimsingi ni arrangements za watu kujipatia mahitaji mengine kabisa yasiyohusiana na mapenzi. Ndoa zimeanza kuwa 'fursa' za kujinufaisha kibinafsi na zinameanza kupoteza dhana halisi ya mahusiano. Ndoa zimeanza kuchukuliwa kirahisi kama ubunge na udiwani unaopatikana hata kama huwapendi wapiga kura. BONYEZA PICHA HII KUONA WANAFUNZI WALIOKAMATWA WAKIFANYA MAPENZI DARASANI 18+ NA ADHABU WALIO CHUKULIWA KAMA FUNDISHO KWA WENGINE
BREAKING NEWS - Police Confirms The Dna "TUPAC IS ALIVE" 2015 Video Proof
Today: May 21 2015 we can confirm that Mr. Tupac Amaru Shakur lives. According to the Police officer mr. Beck. "Lately we used to check the DNA test and we discovered that Mr. Shakur lives and as you can see in the video he admits his existen
LAYIII Ni habari ya muda lakini ni ya kwanza kwako wewe msomaji wa swaxbz.com .Napenda kukumbusha kuwa mwenyezi Mungu yupo na wao wanao mwabudu yawapasa kumwabudu kwa roho na kweli.
Huwezi kuamini mtoto wa miaka 3 huko Nigeia kuota matiti,unaweza kusema kuwa hili swala limesababishwa na hali ya maumbile ya mtoto.Kusema kweli sisi hatufahamu hili swala limetokeaje kwa mtoto huyu mzuri
layiii
bonyeza picha itakupeleka moja kwa moja katika video ya makabidhiano huko ikulu
Rais Dkt John Pombe Magufuli
akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete aliyefika jana Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi
Ofisi ya Rais.
Wanajeshi wa
Marekani wametekeleza shambulio la kutoka angani lililomlenga
mwanamgambo wa Islamic State kutoka Uingereza ajulikanaye kama "Jihadi
John", Pentagon amesema.
Mohammed Emwazi, Mwingereza aliyezaliwa
Kuwaiti, alilengwa kwenye shambulio hilo lililotekelezwa karibu na mji
wa Raqqa, nchini Syria.
LAYIII
Kama ni mpenzi wa video za ajabu ajabu basi video hii inakuhusu mwangalie mwanamke aliyeendesha baiskeli yake kwa kidole cha mguu wake bila kudondoka mtu wangu
kama unapendelea kucheka unaweza chukua muda wako pia kuche na hili hapa alilofanya huyu kaka la kujifanya kipofu
Richard Bukos CHA KUFIA! Msanii wa muziki wa Injili Bongo,
Emmanuel Mbasha, Alhamisi iliyopita alinaswa kwenye maongezi
yaliyoambatana na pozi lenye maswali kwa kuonekana akichukua namba
fastafasta kwa mrembo ‘kifaa’.
Good Morning mtu wangu asubuhi yako inaendaje? Inawezekana uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita, pengine ulikuwa busy na hukuzipata zote kwenye kuperuzi na kudadisredioni ila nilizozirekodi zote ziko hapa.
Wajawazito wafichua madudu ya hospitali ya mkoa wa Arusha,Mt. Meru
baada ya kukosa vipimo muhimu kama Ultra-sound na hivyo kulazimika
kwenda hospitali binafsi ili kupata huduma hiyo, vita
Hii ngoma audio yake ilifanyika hapahapa Tanzania mwishoni mwa mwezi April 2015 wakati ambao rapper AKAalitua baada ya kupata mwaliko wa party ya Zari All White iliyoandaliwa na mastaa wawili wapenzi, Diamond Platnumz na Zarina Hassan a.k.a Zari the Boss Lady.
LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUONA HOT VIDEO HAPO CHINI
Hii stori imegusa kwenye vichwa vya habari za Magazeti ya Tanzania November 11 2015, lakini reporter wa millardayo.com
amempata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, na kasimulia stori
ilivyokuwa mwanzo mwisho mpaka wakapata taarifa kuhusu mpango wa ndoa