Wednesday, 11 November 2015

PIPO

Hii ngoma audio yake ilifanyika hapahapa Tanzania mwishoni mwa mwezi April 2015 wakati ambao rapper AKA alitua baada ya kupata mwaliko wa party ya Zari All White iliyoandaliwa na mastaa wawili wapenzi, Diamond Platnumz na Zarina Hassan a.k.a Zari the Boss Lady.
Wazo la collabo ya rappers wawili likaibuka, wakakutana member wa kundi la Weusi, Joh Makini na rapper AKA kutoka South Africa… Producer Nahreel akaikamilisha kazi yote ya audio, mipango ya video ikafanyika kupitia mikono ya Director Justin Campos.

No comments:

Post a Comment

advertise here