LAYIII
Drop hapo chini kumskiliza masanja mkandamizaji
Drop hapo chini kumskiliza masanja mkandamizaji
List ya mastaa wa Bongo Tanzania ambao
walijitosa na kujipanga kwenye foleni ya kuusaka Ubunge iliongezeka
baada ya mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji nae kujitosa kwenye foleni hiyo.
Masanja alithibitisha kwamba kazi ya Ubunge anaiweza >>> “Orijino
Komedi ipo, mimi sio member wa kundi, mimi ni mwanzilishi.. siwezi
kuacha Komedi, mbona nilikuwa Mchungaji na sikuacha Komedi.. nitakuwa
Mbunge, Komedi na Church…” >> Hii ni siku chache zilizopita kwenye exclusive interview na millardayo.com pamoja na #Amplifaya.
Kura hazikutosha kwake, maana yake ni kwamba kwenye Kura za maoni upande wa makada wa CCM Ludewa, Masanja hajafanikiwa kupita… lakini aliahidi pia hata kama akishindwa bado ataendela kumpa support yule atakaepita.
Kwenye ukurasa wake wa Twitter, Masanja ameandika haya kukubali matokeo >>>> “Ludewa ….. Dah! Najipanga nitarudi tena. Sasa ni muda wa kumpigia kampeni aliyepita ili akatuwakilishe Bungeni. #HapaKaziTu” >>> @mkandamizaji
Jimbo la Ludewa liko kwenye list ya
Majimbo ambayo Uchaguzi wa Wabunge haukufanyika kutokana na sababu
mbalimbali ikiwemo kufariki kwa Wagombea Ubunge.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa
na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK
ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo
kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> YOUTUBE
Pitia video ya mwanamke aliye watega wanaume kisa kutikisa makalio yake mbele ya wanaume
No comments:
Post a Comment