Tuesday, 14 July 2015
CHEKI MAPOKEZI YA YA MAGUFULI MTUWA NGU UTAPENDA
LAYIII
Jina la Waziri Wa Ujenzi Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli lilipata Headlines zenye uzito zaidi baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM kumtangaza kwamba ndiye Mgombea Urais aliyepitishwa na Chama hicho kwenye Uchaguzi unaofanyika October 2015.

Yeye pamoja na Mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan
tayari wamefika Dar es Salaam na leo July 14 2015 ilikuwa siku rasmi
ambayo ilitangazwa kwa ajili ya kuwatambulisha Wagom
PESA SI FURAHA ....FURAHA UWE NA KITU CHA ZIADA MAJIBU YA BILIONEA WA FACEBOOK HAPA
LAYIII
Hakuna mtu hapendi kuwa na furaha mtu wangu, wapo wanaodhani kuwa ili uwe na furaha ni lazima uwe na pesa.. Mark Zuckerberg ni Mwanzilishi na Boss wa Facebook, yeye amesema kitu ambacho kinampa furaha mbali ya kuwa jamaa ni mtu na pesa zake nyingi tu.

HATA UWE NA ULINZI KIASI GANI MWIZI MJANJA TU CHEKI ALIKOPITIA MUUZA UNGA
LAYIII
Joaquin “El Chapo” Guzman
ndio jina la mfanyabiashara wa Mexico ambalo limechukua headlines kubwa
kwa siku kama tatu hivi mfululizo, jamaa ni mfanyabiashara mkubwa wa
dawa Kulevya, kile kitendo cha kutoroka kwenye Gereza lenye ulinzi
mkubwa kimefanya kila mtu ashtuke
Monday, 13 July 2015
MICHUANO YA KAGAME KUTIMUA VUMBI
LAYIII
Kundi A itajumuisha timu za Yanga yaTanzania, Gor Mahia ya Kenya, Kmkm Zanzibar, Telecom ya Djibout na Khartoum- Sudani Kaskazini.
Kundi B - APR Rwanda, Al Shandy ya Sudan, LLB FC Burundi naHeegan Somalia.
Wakati kundi C - Azam ya Tanzania, Malakia ya Sudan Kusini, Adama ya Ethiopia na KCCA ya Uganda.
Hata hivyo mgawanyo wa zawadi kwa kila mshindi ni kwamba mshindi wa kwanza atajinyakulia dola elfu 30, wa pili dola elfu 20 na wa tatu dola elfu 10.
Michuano ya klabu bingwa Afrika
Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es
Salaam Tanzania huku jumla ya vilabu 13 vikishiriki.
Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kutoa kiasi cha dola elfu 60 za marekani kama zawadi kwa washindi.Kundi A itajumuisha timu za Yanga yaTanzania, Gor Mahia ya Kenya, Kmkm Zanzibar, Telecom ya Djibout na Khartoum- Sudani Kaskazini.
Kundi B - APR Rwanda, Al Shandy ya Sudan, LLB FC Burundi naHeegan Somalia.
Wakati kundi C - Azam ya Tanzania, Malakia ya Sudan Kusini, Adama ya Ethiopia na KCCA ya Uganda.
Hata hivyo mgawanyo wa zawadi kwa kila mshindi ni kwamba mshindi wa kwanza atajinyakulia dola elfu 30, wa pili dola elfu 20 na wa tatu dola elfu 10.
MJUE MAGUFULI MGOMBEA URAIS CCM HAPA
LAYIII
- Alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, wakati huo ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera (sasa mkoa wa Geita).
- Mwaka 2006 – 2009, Shahada ya Uzamivu ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
-
Mwaka 1991 – 1994, Shahada ya Uzamili ya Kemia katika Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam na baadaye Chuo Kikuu cha Salford, Uingereza.
- Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.
- Alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, wakati huo ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera (sasa mkoa wa Geita).
- Mwaka 2006 – 2009, Shahada ya Uzamivu ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
- Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.
SENTENSI 3 ZA DR SLAA KUHUSU CCM NA UBORA WAKE
LAYIII
Kwenye
mkusanyiko wa stori za mitandao ndani ya siku tano zilizopita kutoka
kwa walichoandika watu mbalimbali maarufu wa Tanzania, zipo pia hizi
tweets za katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa.
Ameandika >>> ‘Siku ambayo Watanzania watatambua kwamba walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo, na kujua kwamba kikwazo ni CCM na kukiondoa haiko mbali, hakuna msafi CCM, wala hii si habari mpya… ubora wa CCM ulizikwa na Azimio la Zanzibar 1994, kwa mara nyingine tena tunapaswa kuamua‘
‘Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi‘ – Dr. Slaa.

UKIKOSEA TU MAITI ......... CHEKI BARABARA HIZI MTU WANGU
LAYIIII
Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani.

HII NDO PESA ALIYO LIPWA DIAMOND BAADA YA NYIMBO ZAKE KUCHEZWA KTK TV ZA MAREKANI
LAYIII
Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani.
Ni
utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani
Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao
Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani.
LOWASSA GUMZO KILA KONA, KAGUFU HAIJAWAI TOKEA
LAYIII
Mwandishi Wetu
NIJohn Pombe Joseph Magufuli ambaye amepita kwa kishindo na ‘usimpimie’ kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan, lakini yaliyojiri katika mchakato wa kumpata mgombea huyo, hayajawahi kutokea, Ijumaa Wikienda limechimba na kuchimbua.
Mwandishi Wetu
NIJohn Pombe Joseph Magufuli ambaye amepita kwa kishindo na ‘usimpimie’ kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan,

kwa nini hip hop bongo haitusui majibu ya izzo b na majibu yake hapaa
layiii
Inawezekana ukawa na maswali kwamba kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu zinazopelekea kwa kukwama.

Inawezekana ukawa na maswali kwamba
kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel
Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu
Hawa ndio wagombea wa urais wa klabu ya Fc Barcelona
layiii
Mbio za kuelekea uchaguzi mkuu katika
klabu ya Fc Barcelona bado zinaendelea na wagombea wanne kati ya saba
wametimiza vigezo vya kuendelea hatua inayofuata ya kuwania fursa ya
kuwa raisi wa klabu hiyo kwa miaka sita.
Miongoni mwa vigezo wa kuendelea na
hatua inayofuata katika mbio hizo za uraisi ni lazima mgombea apate
saini za mashabiki wa klabu hiyo kuanzia 2534 na kuendelea.
Sunday, 12 July 2015
EBANAA EEE CHEKI JAMAA ANAVO MLEA MTOTO KISTYLE UTAPENDA
LAYIII
SHARE NAMI KWA WENGINE KAMA UMEIPENDA HIII
Kwanza huyu jamaa alianza na style ya kawaida tu ya kumbeba mtoto nahisi na wewe utakua unaijua, me najua hii style mar nyingi hutumika kama mtoto analia au una kazi flan hivi unafany ndio unambeba kwa style hii. Kumbe Kwa Kidhungu inaitwa ‘Standard Shoulder Hold’ and ‘Reverse Standard Shoulder Hold.’…………… Me Nilikua cjui

Lakini sasa baada ya hapo akaleta style zingine za ajabu ajabu ambazo for really its very fuuny
ONA KIPOFU ALIVYO PATA PESA YA KWENDA STUDIO KUTOKA KWA WAPITANZIA
LAYIII
Eddie alikua kipofu kabisa wakati akiwa na miaka 11 na kazi yake ya kujipatia kipato ikawa na kucheza gitaa katka mitaa ya Florida UAS… I mean USA..
So eddie amekua anabarikiwa sana, sana sana, yaaani sana na watu kumchangia kwa miaka mingi sana, tena sana…….. lakini sasa unajua hizi ela anazopata huyu jamaa anazifanyia nini, wala ja

KWA NDUGU ZANGU WALEMAVU TEKNOLOJIA HII NI MSAADA SANA KWAO
LAYIII
kitu cha kupanda ngazi kwako kinaweza ni kitu rahisi sana ila kwa
kweli inaweza kuwa ni kitu kigumu kwa wale walemavu ambao hawawezi
kupanda hizo ngazi, ila sasa kiti cha Scalevo
Kwanza muonekano wake ni Simple Tu
MAN U NI MWENDO WA KUSAJIRI VIUNGO VIPYA TU CHEKI GINGI HILI
LAYIII
Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Torino, Matteo Darmian baada ya kufuzu vipimo vya afya.
Mchezaji huyo ambaye ameichezea klabu yake mechi 146 na kuifungia mabao matano wakati akiwa na timu hiyo na sasa amekubali Mkataba wa miaka minne Old Trafford.

Mkali mwingine aliyesajiliwa na Manchester United huyu hapa…
Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Torino, Matteo Darmian baada ya kufuzu vipimo vya afya.
MOJA BORA YAPATIKANA CCM
LAYIII
Yaone matokeo hapa sasa
July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais 2015, ninayo Ripoti nyingine kutoka Dodoma sasahivi!!

Kwenye watatu waliopitishwa kwenye Urais CCM matokeo ya mwisho ni haya hapa… #CCMDodoma
July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri
kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais
2015, ninayo Ripoti nyingine kutoka Dodoma sasahivi!!
Kura zimepigwa na Wajumbe wa Halmashauri
Kuu CCM na matokeo yako hivi >>> John Pombe Magufuli 87%,
Balozi Amina Ali 10% na Asha-Rose Migiro 3%.
UCHAGUZI WAHAIRISHWA
LAYIII
Hii ilikuwa ni mara ya tatu kwa uchaguzi huo kuahirishwa baada ya tume ya uchaguzi kuahirisha uchaguzi kwa majuma matatu kutokea tarehe 26 Juni hadi tarehe 15 Julai

Uchaguzi huo umekumbwa na utata baada ya makundi ya upinzani kuandamana na kupinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.
Hii ilikuwa ni mara ya tatu kwa uchaguzi huo kuahirishwa baada ya tume ya uchaguzi kuahirisha uchaguzi kwa majuma matatu kutokea tarehe 26 Juni hadi tarehe 15 Julai
Burundi:Uchaguzi waahirishwa tena
Uchaguzi wa Burundi umeahirishwa tena.
Msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza amesema uchaguzi utafanyika tarehe 21 Julai.Uchaguzi huo umekumbwa na utata baada ya makundi ya upinzani kuandamana na kupinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.
Subscribe to:
Posts (Atom)