Photos: World’s Longest Car|Longest Limousine -The American Dream
The American Dream Limo is owned by car collector and designer Jay
Ohrberg of Burbank,California,USA.It is considered as the world longest
Car.
Jay Ohrberg designes this monster limo himself and now hires it out
through his hire car company.This incredible limo is currently in the
Guinness Book of World Records as the longest car
Like page yetu hapa SWAXBZ usipitwe na habari zetu kila siku
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya soka barani Ulaya huenda
utakuwa umekutana na taarifa za kusikitisha kwa taifa la Cameroon, usiku
wa May 6 2016 Cameroon na Afrika kwa ujumla ilipata taarifa za
kushtusha, baada ya kupokea taarifa za kifo cha kiungo wa kimataifa wa
Cameroon aliyekuwa anaicheze Dinamo Bucuresti Patrick Ekeng.
Timu ya taifa ya Argentina bado inaongoza orodha ya kila mwezi ya FIFA ya timu bora duniani ambayo imetolewa Ijumaa.
Kwenye
orodha hiyo timu ya taifa ya Ubelgiji iko kwenye nafasi ya pili
ikifwatiwa na Chile.Ujerumani ni ya 5,ikifwatiwa na Uhispania na Brazil
inachukua nafasi ya saba.
Timu ya bara la Afrika inayochukua
nafasi nzuri kwenye orodha hiyo ya FIFA ni Algeria iliopo
Like page yetu ya facebook hapa SWAXBZ usipitwe na habari kila siku
kiwa zimepita siku kadhaa toka msanii Shilole afunguke kwenye kipindi
cha 5Selekt kinachorushwa kwenye ting'a namba moja kwa vijana EATV kuwa
hakuna msanii wa bongo fleva mzuri zaidi yake, mashabiki
Bonyeza picha hii kuona baadhi ya clips za shilole
wameamua kutoa ya mioyoni.
Mashabiki wamemchana Shilole na kusema kuwa yeye si mwanamke mzuri
katika wasanii wanaofanya bongo fleva huku wakisema kuwa uzuri wake
hausofei kabisa kwa msanii Vanessa Mdee.
Baadhi ya mashabiki walikuwa wakimpa madongo kuwa mwanamke mzuri hawezi
kujianika kama yeye, huku wengine wakisema kuwa mwanamke mzuri hawezi
kuwa yeye kutokana na tabia yake ya kutojiheshimu na wengine wakisema
kuwa yeye hana lolote na wa kawaida kabisa.
like page yetu facebook hapa SWAXBZ ili usipitwe na kila story inayotufikia
Karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri ambapo tunajadili
changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye
maisha.
Leo tutajadili changamoto ya ukosekanaji wa mitaji na jinsi ya kuipata.
Kabla hatujaanza kujadili changamoto hii naomba niweke maoni ya wasomaji
waliotuandikia kuhusu hili;
Mimi ni graduate wa diploma ya uhandisi magari, kila nikifikiria kuanza
kuijajiri nashindwa kutokana na kipato cha kuanzia biashara.. je
nifanyeje niweze kupata kipato cha kujiajiri?
SWAXBZ Msichana asiye na mikono ashinda shindano la muandiko bora Marekani Bonyeza picha hii ili habari yoyote isikupite bofya hapa
Msichana wa miaka saba aliyezaliwa bila mikono ameshinda shindano la muandiko mzuri nchini Marekani.
Anaya Ellick kutoka Chesapeake,Virginia hatumii viungo vya kumsaidia wakati anapoandika.
Wakati anapoandika yeye husimama huku akishikilia kalamu yake katika mikono.
Mwalimu wake mkuu Tracy Cox kutoka shule ya Greenbrier Christian amemtaja kuwa mtu wa mfano mwema.
Baada ya jana serikali kupitia Wizara ya
Habari kutoa agizo la kumfungia Snura kutojihusisha na shughuli za
muziki kutoka wimbo wake na kutojisajili Baraza la Sanaa Taifa (BASATA),
leo mwanamuziki huyo na meneja wake HK wameomba radhi kwa umma katika
Ukumbi wa Habari Maelezo, jijini Dar.
n Dawa inayotumika kwa matibabu ya kawaida huenda ikategua kitendawili cha kurefusha maisha na kuzuia uzee. Hii
ni kwa mujibu wa utafiti mpya, ambao ulibainisha kwamba viwango vya
chini vya dawa aina ya Lithium vilisaidia kurefusha maisha ya nzi
waliowekwa kwenye
Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu kwenye maisha yake kwenye
kuchagua kuwasiliana na hasimu wa mpenzi wake ambaye ni Drake au kukata
mawasiliano naye kabisa ili kumfurahisha Meek Mill ambaye ni boy friend
wake.
Kwa mujibu wa Hollywood Life Nicki Minaj amemchagua Meek Mill na amekata
mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye wapo pamoja kwenye lebel moja
ya Young Money.
Wawili hawana mawasiliano toka June 2015 beef kati ya Meek na Drake
lilipoanza. Pia mpaka sasa
SWAXBZ
Mtangazaji
wa Clouds FM, Diva amesema nyimbo zake pamoja na za mtangazaji
mwenzake, Adam Mchomvu zinabaniwa na redio zingine, kitu ambacho anaona
si sawa.
Anasema redio za mikoani ndizo zimekuwa zikiwapa support bila kujali
kuwa wanatoka Clouds lakini redio karibu zote za Dar zimekuwa zikibania
nyimbo zao.
Diva ambaye anaandaa album yake, The Life of The Diva, amesema kuwa hicho ni kitu ambacho angependa kuona kinafutika.
Mamaake aliyekuwa mwanamuziki wa mtindo wa Rap Tupac Shakur ,Afeni Shakur amefariki akiwa na umri wa miaka 69.
Kaunti ya California imethibitisha kifo chake kupitia ujumbe wa Twitter.Hakuna maelezo zaidi yaliotolewa.
Alice
Faye Williams,alibadilisha jina lake na kuitwa Shakur akiwa mtu mzima
alipokuwa mwanaharakati wa kisiasa na kujiunga na vuguvugu la Black
Panther.
Alikuwa na mimba ya Tupac mwaka 1971 alipokamatwa na
kufungwa jela pamoja na wanachama
Uzinduzi wa basi la wanawake pekee
katika mji mmoja wa China umewakasirisha wanaume wa taifa hilo na kuzua
mjadala mkali katika mitandao ya kijamii.
Huduma hiyo mpya
itatolewa wakati wa asubuhi na wakati wa shughuli nyingi katika mji wa
mashariki wa Zhengzhou katika juhudi za kupunguza visa vya wanawake
kusumbuliwa na wanaume kulingana na gazeti la Dahe daily.
Kampuni
hiyo ya basi itawalinda wanawake dhidi ya kunyanyaswa wakati wanapovaa
nguo nyepesi
Maelfu ya waombolezaji walijitokeza
kuadhimisha misa ya wafu kwa heshima ya mwanamuziki nyota wa muziki wa
Soukus na Rhumba raia wa Jamhuri ya Congo Papa Wemba.
Waomboloezaji
walipiga foleni ilikupata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa
msanii huyo nguli aliyeaga dunia juma lililopita alipokuwa akiwatumbuiza
mashabiki wake huko Abidjan Ivory Coast.
Mwili wake umewekwa katika majengo ya bunge mjini Kinshasa.
Hakimu mmoja nchini Brazili amefunga
mawasiliano ya mtandano wa simu kwa njia ya whatsapp kwa saa 72.Hakimu
huyo Marcel Montalvao amesema kampuni inayomiliki mtandao huo imeshindwa
kusaidia kutoa taarifa katika kesi ya uhalifu.
Mwezi
Machi,Montalvao aliamuru kukamatwa kwa afisa mwandamizi wa Facebook
katika nchi za Kilatini bwana Diego Dzoran baada ya kukataa kutoa
ushirikiano katika uchunguzi dhidi ya dawa za
Wakati ngoma za ‘Bado’ ya Harmonize ft Diamond inaendelea kufanya vizuri na ‘Kwetu’ ya Raymond inaendelea kufanya vizuri, leo Mei 2 2016 Harmonize na Raymondwameingia kwenye headlines baada ya ngoma yao waliofanya pamoja ya ‘Penzi’ kuvuja, millardayo.com imeinasa na kukusogezea track hiyo
LAYIII Watafiti wa University of Pittsburgh School of Medicine walifanya
utafiti kuhusu madhara ya matumizi ya mitandao ya kijamii katika mood
ya watumiaji.
Utafiti huo ulibaini kuwa kadri vijana wanavyotumia mitandao hiyo zaidi,
ndivyo wanavyopata tatizo la sonona ambalo kitaalam linajulikana kama
depression, au kukosa uchangamfu na furaha.
“Kwasababu mitandao ya kijamii imekuwa kitu kilichojiweka kwenye
mawasiliano ya binadamu, ni muhimu kwa wauguzi kuongea na vijana kuhusu
kutambua uwiano unaotakiwa kuwepo na kuhimiza matumizi chanya wakati
wakijiondoa kwenye matumizi yenye matatizo,” alisema Brian A. Primack,
M.D., Ph.D., ambaye ni mwandishi mkuu wa utafiti huo.