Friday, 29 April 2016
KIPYA CHAZUKA KUHUSIANA NA KIFO CHA PAPA WEMBA TIZAMA VIDEO HIII
LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJUA ZAIDI VIDEO IKO HAPO CHINI

Taarifa
ambazo zinazidi kuenea kwenye vyombo vya habari Congo na mitandao ya
kijamii hata hapa Tanzania ni msiba wa Papa Wemba lakini sasa mjadala
umehamia kwenye namna kifo chake kilivyotokea
Kipande
cha video kinachomuonesha jamaa akichukua mic halafu akairudisha kwenye
stage na baada ya Pamba Wemba Kuanguka inadaiwa jamaa yuleyule badala
MGOMBEA URAIS MAREKANI ASHINDWA KUTAMKA NENO TANZANIA
LAYIII
BONYEZA PICHA HII UJISAJIRI NA IQOPTION KUTENGENEZA PESA VILE UWEZAVYO

Badala ya kutamka vyema ‘Tanzania’ anasikika akitamka ‘Tan-zay-nia’.
BONYEZA PICHA HII UJISAJIRI NA IQOPTION KUTENGENEZA PESA VILE UWEZAVYO
Mgombea urais wa chama cha
Republican Donald Trump amekejeliwa mtandaoni baada ya kuonekana
akiboronga akitamka Tanzania wakati wa kutoa hotuba.
Bw Trump
alikuwa akizungumzia mashambulio ya kigaidi yaliyotekelezwa katika
mabalozi ya Marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998 wakati wa
kuzungumzia sera yake ya kigeni.Badala ya kutamka vyema ‘Tanzania’ anasikika akitamka ‘Tan-zay-nia’.
KUMBE ARSERNAL WENGER ALIPOTEZA TAJI LA LIGI NYUMBANI
LAYIIII

Baadhi ya mashabiki wamemtaka raia huyo wa Ufaransa kuondoka katika mechi za hivi karibuni.
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger
amesema kuwa timu yake ilipoteza harakati za kushinda ligi wakati wa
kucheza mechi za nyumbani dhidi ya timu zilizo chini ye jedwali.
Arsenal iliopo katika nafasi ya nne imeshinda mechi sita kati ya mechi 16 ilizocheza.Baadhi ya mashabiki wamemtaka raia huyo wa Ufaransa kuondoka katika mechi za hivi karibuni.
MBADALA WA SHIKA ADABU YAKO NA NAY WA MITEGO UMEACHILIWA
LAYIIII

Rapa elibariki Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’ amesema kuwa mwanzoni mwa mwezi ujao ataachia wimbo mpya ambao ni mbadala wa ‘shika adabu yako’ uliofungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).
Msanii huyo alisema kuwa anatarajia wimbo huo mpya ambao bado hajaupa jina utapendwa na mashabiki wa miziki wa kizazi kpya kutokana na mashairi yake kuyapangilia vyema.
“Mei 9 mwaka huu nitaachia wimbo na video ya wimbo wangu mpya ambao ninaamini kuwa ni mkali kuliko

Thursday, 28 April 2016
WEMA AFUNGUKA KUHUSU MAKALIO YAKE FEKI
LAYIII

Madai ya staa mkubwa Bongo aliye pia Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu kwamba wowowo lake linazidi kuwa kubwa kwa sababu anatumia dawa za Kichina yanazidi kushika kasi huku kwa mara ya kwanza mama yake mzazi, Mariam Sepetu akifunguka, Amani limechimba ukweli.
MADAI YALIPOANZA
Mashoga wanena, alianza na kuongeza unene, sasa kahamia kwenye makalio ili awe na wowowo.
Manenomaneno hayo yakazidi kushika kasi zaidi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kitu ambacho kinadaiwa kuikosesha amani familia ya staa huyo na hata yeye mwenyewe.

Kulikoni jijini Mwanza, Pati ya Instagram yazua mjadala.
Wa mtandaoni wao wanasema Wema anatumia dawa za Kichina kukuza ‘tela’ lake.
WEMA ALIPOTAFUTWA
Agoma kupokea simu.
Agoma kujibu ujumbe.
mamawema1Mama Wema
MAMA YAKE MZAZI SASA
“Nawashangaa wanaomsema vibaya mwanangu kuwa amejaladia (wowowo), wengine wanasema anatumia dawa za Kichani, hakuna ukweli wowote kwani Wema ni mwanangu, namjua alivyo. Hakuna kitu alicho-ongeza kwenye mwili wake.”

SHULE YADIDIMIA BAHARINI HUKO GHANA
LAYIII

Kulikuwa na wanafunzi 54 katika shule hii lakini sasa hawana madarasa.Hatma ya elimu yao haijulikani.
M'momonyoko unaosababishwa na bahari umeharibu vijiji katika ufukwe wa bahari ya Afrika Magharibi ,na
Nyumba nyingi katika pwani ya jimbo la Volta huko Ghana zimeharibiwa na mawimbi katika kipindi cha wiki moja iliopita.
Shule hii ilikuwa mbali na ufukwe wa bahari miaka michache iliopita lakini sasa imedidimia ardhini.Kulikuwa na wanafunzi 54 katika shule hii lakini sasa hawana madarasa.Hatma ya elimu yao haijulikani.
M'momonyoko unaosababishwa na bahari umeharibu vijiji katika ufukwe wa bahari ya Afrika Magharibi ,na
Wednesday, 27 April 2016
SNURA WIMBO WA CHURA UMENIRUDISHA KIMUZIKI
LAYIII

Msanii wa muziki na filamu Snura Mushi,amedai kuwa wimbo wake wa chura ni chaguo la Watanzania hivyo anaamini kwamba utaweza kumuinua baada ya kukaa kwa muda kidogo.
Akizungumza Stura alisema kuwa pamoja na kukaa kimya lakini bado kibao hicho ambacho tayari kipo kwenye video kimeshika nafasi ya juu kiasa kwamba mashabiki wake wamekuwa wakimtumia maoni ya kumpongeza.

MR BLUE NA ALIKIBA MBIONI KUACHIA MZIGO MKUBWA
LAYIII

Nota wa Bongo Fleva, Herry Samir ‘Mr Blue’ ambaye hivi karibuni
aliuaga ukapera kwa kuamua kufunga pingu za maisha na mzazi mwenzake,
Wayda, amedai anatarajia kuachia wimbo mpya ambao amemshirikisha Ali
Kiba.
Mr Blue amedai kwamba wimbo huo utajulikana kwa jina la ‘Mboga Saba’
Akizungumza na MTANZANIA, Mr Blue alisema kuwa wimbo huo upo tayari na anatarajia kuuachia wiki

Monday, 25 April 2016
RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA AME UNFOLLOW WATU WOTE TWITTER NA KUACHA WATU KUMI NA MOJA TU ... JPM YUMO
LAYIII

President Uhuru Kenyatta has unfollowed most of the people he had been following on Twitter leaving only 11, mainly famous Heads of State.
Kenyatta who has been the most popular Twitter personality in Kenya based on the number of followers, was following more than 140 people but his following has suddenly shrinked.
The President has only retained United States President Barrack Obama, François Hollande of France, Indian Prime Minister Narendra Modi and Japan's Abe Shinzo.

KAMA HUKUJUA HIZI HAPA AINA NNE ZA MICHEPUKO
LAYIII

1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.
2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time.

ASKOFU WA KKKT MALASUSA AKAMATWA UGONI
LAYIII

MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na Jeshi la Polisi, anandika Josephat Isango.
Akizungumza baada ya kuachiwa huru kutoka polisi kwa tuhuma za kushambulia, amesema watoto wake walichukuliwa na raia mmoja mjerumani aliyeolewa na mtanzania, anaitwa Caroline Shedafa.
Caroline Shedafa ametuhumiwa kuwa ametumia mwanya wa malalamiko ya Mwakilima na Malasusa kwa sababu ya urafiki alifanikiwa kuwatorosha watoto hao na kwamba ana mpango wa kuwasafirisha kwenda nje ya nchi wakati wowote.

WATATU WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KILIMANJARO
LAYIII

Watu watatu akiwemo raia wa Kenya wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Mirungi na Bangi kilo 54 na misokoto ya Bangi 4,500 ikisafirishwa kutoka nchini Kenya kwenda mkoani Arusha.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Bw.Wilbrod Mutafungwa amesema watuhumiwa hao wamekamatwa katika maeneo ya njia panda Himo wilaya ya Moshi na Sanya juu wilaya ya Siha wakiwa wameficha madawa hayo ya kulevya kwenye miili yao kuanzia maeneo ya tumboni hadi

KUTANA NA MAGAZETI YA LEO TAREHE 26/4/2016
LAYIII

April 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @SWAXBZ ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

MANENO YA ZITTO KABWE KUHUSU JP KUINGILIA KAZI ZA MAWAZIRI
LAYIII

April 25 2016 Chama cha ACT Wazalendo
kimekutana katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama jijini Dar es
salaam. Katika hotuba yake Kiongozi Mkuu wa chama hicho na Mbunge wa
Kigoma Mjini Zitto Kabwe amempongeza Rais John Magufuli kwa kuanza katika eneo la ufisadi ambalo ni muhimu sana ambalo anasema ni msingi mkubwa wa kuanzishwa chama chao.
KUMBE HII NDIO MAANA YA NDI NDI NDI YA LADY JAYDEE
LAYIII

Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina la NdiNdiNdi.
Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ya EATV Lady JayDee amesema kwamba maana ya wimbo huo ni ‘The Ndi Mimi ni kitu Tori wewe si kitu’ ili kuleta fleva

KUMBE PAPA WEMBA NA DIAMOND PLATNUMZ WALIFANYA PROJECT KABLA YA IFO CHAKE
LAYIII
Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ameoneshwa kustushwa kwake na
taarifa za kifo cha mwanamuziki mwenye asili ya Congo Papa Wemba, huku
akielezea jinsi walivyokutana siku chache zilizopita na kufanya naye
collabo.
Kwenye ukurasa wake wa Facebook Diamond ameelezea huzuni hiyo, huku akitoa taarifa kuwa kulikuwa na mipango mingi ya wao kufanya kazi, lakini mauti yameshafuta mipango hiyo.

CHANZO PICHA ZA UCHI SIWEMA WA NAY AFUNGWA MIAKA MIWILI ...NAY AAPA KUMTOA GEREZANI
LAYIII

Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa kwenda jela miaka miwili jijini Mwanza.
Pamoja na taarifa zote hizo kutoka hakukuwa na taarifa za kina kueleza ni nini hasa kilitokea mahakamani mpaka akahukumiwa jela miaka miwili ila taarifa za awali zilidai kwamba

HIII NDO TIA SAHIHI YA UGONJWA WA BAWASIRI
LAYIII

BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA (HEMORRHOIDS)
Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani au nnje ya haja kubwa wakati mwingine mishipa hiyo inaweza kupasuka /kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kinyama au uvimbe
Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita hemorrhoids ilhali katika lugha ya kingereza unajulikana kama piles,

Subscribe to:
Posts (Atom)