Wednesday, 30 September 2015
NYUMBA 15 ZA MASTAA ZILIZOONGOZA KWA UFAHARI HADI KUFIKIA NOV.2013
layii
Mastaa wengi wamekuwa wakijituma katika kazi zao ili kuhakikisha
wanaishi maisha ya kifahari kulingana na kazi wanazofanya., wengi
huwekeza zaidi katika majumba ya kifahari, magari na hata wengine katika
biashara.
Hizi ni safari ndefu zaidi za Ndege Duniani, unakaa mpaka saa 17 angani mtu wangu.. (+Pichaz)
LAYIII
Unaweza ukaona safari ya kutoka Mwanza
mpaka Dar es Salaam ni ndefu kwa sababu unatumia kati ya saa 12 mpaka 16
ndani ya basi, lakini kwa Usafiri wa Ndege ni kama saa moja tu hivi
unakuwa umemaliza safari !!
Sasa hizo saa za kukaa kwenye basi safari ya Mwanza-Dar
kuna watu wanazitumia wakiwa angani kwenye Ndege… Nimezipata Rekodi
Mitandaoni, zinaonesha safari kumi za Ndege ambazo wasafiri
ABILIA KAKOSEA MLANGO WA NDEGE KATAKA KUFUNGUA WA KUTOKEA NJE AKATI NDEGE IKO ANGANI KILICHO MKUTA STORI NYINGINE
LAYIII
Ndege ya Shirika la KLM ilikuwa katikati ya safari kutoka Edinburgh kwenda Amsterdam,
Uholanzi… ilibaki kidogo mambo yaharibike katikati ya safari.. abiria
mmoja akakosea mlango, badala ya kufungua mlango wa kuingia chooni, yeye
akaenda moja kwa moja kwenye mlango wa kutokea nje huku ndege ikiwa juu
angani na safari inaendelea !!
Sunday, 27 September 2015
DR CHENI AFUNGUKA ISHU YA MADAI ETI KUWA YEYE KUTAKA KUMUOA LULU!!
layiii

Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu.

Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu.
HAWAKUJALI MANENO NA MINONG`ONO NDIYO MAANA MPAKA LEO UHUSIANO WAO UNADUMU NANI HAOO...............
LAYIII
Watu wengi huamini watu wengi maarufu hawawezi kukaa muda mrefu
katika uhusiano wao wa kimapenzi kutokana na umaarufu walionao na
kuchangia mahusiano yao kuvunjika.
Pamoja na wengi kushindwa kuvumiliana na kujikuta wakiachana lakini wapo hawa mastaa ambao mpaka sasa bado wameendelea kubaki ndani ya ndoa zao kitu ambacho wengi hawakukitarajia
Pamoja na wengi kushindwa kuvumiliana na kujikuta wakiachana lakini wapo hawa mastaa ambao mpaka sasa bado wameendelea kubaki ndani ya ndoa zao kitu ambacho wengi hawakukitarajia
BAADA YA KUPOTEZA MECHI NNE, KUNA DALILI YA JKT RUVU KUFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU
layiii
Ligi Kuu soka Tanzania
bara imeendelea September 27 kwa mechi mbili kupigwa , huu ukiwa ni
muendelezo wa mechi za round ya nne kwa timu za Ligi Kuu. Msimu wa Ligi
2015/2016 kila timu inaonekana kujiandaa na haitaki kupoteza mchezo
wowote wa Ligi Kuu licha ya kuwa hali ni tofauti kwa klabu ya JKT Ruvu.
NEW KUTOKA BONGOHOLLYWOOD BLOG
LAYIII
Wakati mkiwa tayari kupata habari kwa njia ya simu ukiwa na laini ya tigo na millardayo mtu wako wa nguvu swaxbz amekusogezea bongohollywood.blogspot.com ambayo itakupa ratiba mbalimbali za show za wasanii headline ya siku pamoja na ngoma mpya kabisa ungana na bongohollywood kudownload ngoma mpya kila siku na uwe mmoja wa watu wa kisasa zaidi
MAGUFULI AIGEUZIA KIBAO TUME YA TAFITI ILIYOMPA USHINDI WA URAIS
LAYIII
By Peter Elias, Mwananchi
Kahama. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema waliofanya utafiti wamempunja asilimia kwani ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 95 na si 65 kama zilivyotajwa kwa kuwa wananchi wanampenda, naye yuko tayari kufanya kazi ili kuwaletea maendeleo.
Kahama. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema waliofanya utafiti wamempunja asilimia kwani ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 95 na si 65 kama zilivyotajwa kwa kuwa wananchi wanampenda, naye yuko tayari kufanya kazi ili kuwaletea maendeleo.
WAISLAMU WATOA TAMKO DHIDI YA LOWASSA NA GWAJIMA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
LAYIII

Picha na Maktaba
TAMKO LA TAASISI YA KIISLAMU YA IMAM BUKHARY JUU KAULI ZA NDUGU EDWARD LOWASSA NA ASKOFU GWAJIMA WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA
NINAZO PICHA ZA KILIFEST HAPA MTU WANGU
LAYIII
Ruby.
Ni Sept 26, 2015 ambapo mashabiki wa
muziki wa Bongo Fleva walishuhudia Burudani ya nguvu kutoka kwa wasanii
mbalimbali akiwemo, Ruby, Fid Q, Aika na Nahreel, Damian Soul, Barnaba na wengineo,Show hiyo iliyopewa jina la Kill Fest ilifanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar es
Saturday, 26 September 2015
Friday, 25 September 2015
Monday, 21 September 2015
Friday, 18 September 2015
COLLABO YA STEREO NA AY, ‘STAY’ YA GODZILLA KWENYE DOCUMENTARY, ALBAMU MPYA YA HEMED PHD JE?..#255
LAYIII
Kwenye zile headlines za burudani leo Rapper Stereo amesema wakati wa kufanya kazi na AY umefika na sasa wanatarajia kuachia bonge la ngoma na itatoka wakati wowote chini ya Studio za MJ Records..pia leo anatarajia kutambulisha kichupa chake cha ‘Ilala na Ukonga’ akimshirikisha Chid Benz.
Godzilla aliachia ngoma ya ‘Stay’ na sasa anatarajia kuachia Video yake pamoja na Documentary… yupo katika mazungumzo na waandishi mbalimbali watakaomsaidia kuandika script ili kukamilisha
Godzilla aliachia ngoma ya ‘Stay’ na sasa anatarajia kuachia Video yake pamoja na Documentary… yupo katika mazungumzo na waandishi mbalimbali watakaomsaidia kuandika script ili kukamilisha
COLLABO NYINGINE YA LIL WYNE FEAT.CHRISTINA MILIAN ISIKUPITE WEEKEND HII MTU WANGU
LAYIII
Headlines za burudani kwa sasa kuhusu mastaa hawa Christina Milian na Lil Wayne zinazungumzia kuvunjika kwa mahusiano yao.
LIST YA VIWANJA 10 VYA NDEGE AMBAVYO NI VYA GHARAMA ZAIDI DUNIANI…(PICHAZ)
layiii
Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa
ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani
kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya viwanja 10 ambavyo
vimejengwa kwa gharama zaidi duniani.
Hii ndiyo list kamili…
Hii ndiyo list kamili…
Subscribe to:
Posts (Atom)