layii
Mastaa wengi wamekuwa wakijituma katika kazi zao ili kuhakikisha
wanaishi maisha ya kifahari kulingana na kazi wanazofanya., wengi
huwekeza zaidi katika majumba ya kifahari, magari na hata wengine katika
biashara.
Leo nimekusogezea List ya nyumba 15 za mastaa zinazoongoza kwa ufahari zaidi hadi kufikia Novemba 2013..
1. Hii ni nyumba ya Oprah Winfrey iliyopo California, ina vyumba vya kulala 8 na mabafu 14 pamoja na eneo kubwa la kuogelea
2.Nyumba ya Robbie Williams iliyopo Los Angeles
3. Hii ni nyumba ya John Travolta iliyopo Florida, ina eneo kubwa linalomwezesha pia kupaki ndege yake aina ya Boeing 707
4. Hii ni nyumba ya Rod Stewart, pia ina eneo kubwa la uwanja ambalo hutumia kwa ajili ya mazoezi na kukodisha
5.Hii
ni nyumba ya kifahari ya mwigizaji Will Smith ipo California, ina eneo
la uwanja wa Tennis pamoja na Kikapu, alitumia zaidi ya dola milioni 20
kuikamilisha
6. Hii ni nyumba ya Gene Simmons iliyopo California, ina ukubwa wa mita za mraba 16,500
7. Hii ni nyumba ya Jerry Seinfeld
8. Hii ni nyumba ya Brad Pitt na mke wake Angelina Jolie, ina ukubwa wa mita 22,000, ina vyumba vya kulala 18
9.
Hii ni nyumba ya Eddie Murphy, ina swimming pool ya maji ya moto na
nyingine ya baridi, pia ina uwanja wa tennis pamoja na vyumba vya
burudani
10. Nyumba ya Jennifer Lopez iliyopo Los Angeles
11. Ni nyumba ya Hugh Hefner yenye eneo la mita 20,000, pia ina jumla ya vyumba vya kulala 26
12. Ni nyumba ya Celine Dion iliyopo Florida
13. Ni nyumba ya rapper 50 cent, ina vyumba vya kulala 19, mabafu 37 na vumba sita kwa ajili ya jiko
14.
Hii ni nyumba ya mwanasoka David Beckham, ipo Beverly Hills na imewekwa
uzio kabisa wa kuzuia waandishi wa habari kupiga picha
15. Hii ni nyumba ya Tom Cruise iliyopo Beverly Hills, ina eneo la ukubwa wa eka 1.4 pia uwanja wa tennis
No comments:
Post a Comment