Saturday, 15 August 2015

TUDDY THOMAS KARUHUSIWA KUTOKA HOSPITAL NI BAADA YA KUPIGWA NA WEZI

LAYIII

2mgflIjumaa usiku wa July 31 ni siku ambayo Producer wa bongofleva wa hits kama mdogomdogo ya Diamond Platnumz, Tudd Thomas alivamiwa na wezi na kumshambulia kisha kumuibia vitu alivyokua navyo usiku huo

Friday, 14 August 2015

BABA AMZALISHA BINTIE MWENYE UMLI WA MIAKA 11

LAYIII
FILE FILE - In this May 14, 2015 file photo, a 13-year-old girl holds her one-month-old baby at a shelter for troubled children in Ciudad del Este, Paraguay. The girl said she was raped by her stepfather from the time she was 10 and became pregnant when she was 12. Another pregnant girl, age 11, whose case drew international scorn when Paraguay's government denied her an abortion, gave birth on Thursday, Aug. 13, 2015. The girl was allegedly raped and impregnated by her stepfather when she was 10. In Paraguay, abortion is banned except when the mother's life is in danger. (AP Photo/Jorge Saenz, File)
Paraguay ni moja ya nchi zinazopinga utoaji wa ujauzito na mwanamke anaruhusiwa kufanya hivyo pale tu afya yake inapokua hatarini.
Taarifa ya binti wa miaka 11 nchini humo kujifungua mtoto baada ya kubakwa na baba yake wa kambo imeingia kwenye headlines.

JOKATE ALIKIBA SIRI NJE TENA SIKIA SAUTI KUTOKA KWA SUDI

LAYIII
Soudy Brown amepata tetesi kuhusu kuwepo kwa ndoa kati ya mastaa wawili Ali Kiba na Jokate, akaona asiliache lipite hivi hivi na kuamua kuzungumza na Ali Kiba kutaka kujua ukweli wa mambo.

Mengine ya Ali Kiba na Jokate haya hapa kwa Soudy Brown…kuna ndoa? #UHeard (Audio)

jojo
Soudy Brown amepata tetesi kuhusu kuwepo kwa ndoa kati ya mastaa wawili Ali Kiba na Jokate, akaona asiliache lipite hivi hivi na kuamua kuzungumza na Ali Kiba kutaka kujua ukweli wa mambo.

Thursday, 13 August 2015

Magazeti ya Tanzania Agosti 14, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !

layiii

.
.
Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 14,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya

Tuesday, 11 August 2015

P SQURES WAMZUNGUMZIA DIAMOND

LAYIII
PeterPeter ambaye ni mwimbaji kutoka kundi la P Square aliongea na ripota wako Millard Ayo kuhusu Diamond

RAIS TP MAZEMBE KUWA RAIS WA CONGO

LAYIII

Moise Katumbi, the governor of the Katanga region of the Democratic Republic of Congo and president of the TP Mazembe Lubumbashi football club, arrives for their African Champions league football match against Sewe Sport on March 23, 2014 at the Robert Champroux stadium in Abidjan. AFP PHOTO / ISSOUF SANOGO
Moise Katumbi, the governor of the Katanga region of the Democratic Republic of Congo
 and president
 of the TP Mazembe Lubumbashi football club, arrives for their African Champions league
football match against Sewe Sport on March 23, 2014 at the Robert Champroux stadium in
Abidjan. AFP PHOTO / ISSOUF SANOGO
Rais wa klabu ya Tp Englebert Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Moise Katumb

Monday, 10 August 2015

JINSI DAR ILIVYO CHAFUKA UJIO WA LOWASSA

LAYIII



Lowassa achukua fomu za kuwania urais

10 Agosti 2015 Imebadilishwa mwisho saa 14:45 GMT
Pilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani

Sunday, 9 August 2015

KILICHOWAKUTA ARSENAL DHIDI YA WEST HAM HIKI HAPA

layiii
Ligi kuu ya Uingereza Baclays Premier imeendelea jumapili ya leo kwa mchezo uliowakutanisha mahasimu wa mji wa London – Arsenal dhidi ya West Ham United.
 
Mchezo huo uliomalizika hivi punde umemalizika kwa West Ham United kuwashangaza watu wengi kwa kuifunga Arsenal kwa magoli 2-0.

ZIJUE SABABU ZA MOURINHO KUMLAUMU DOCTOR WA CHELSE

LAYIII

Baada ya kutoka sare ya goli 2-2 dhidi ya Swansea City katika mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza, kocha wa Chelsea Jose Mourinho baada ya matokeo hayo hakupeleka lawama zake kwa muamuzi Michael Oliver ambae alimuonyesha kadi nyekundu golikipa wa Chelsea Thibaut Courtois na kutoa penati kwa Swansea.
29187-o2ij8qMourinho lawama zake zote anapeleka kwa madaktari wa timu wakiongozwa na Eva Carneiro ambao waliingia uwanjani kumpatia matibabu Eden Hazard wakati wa dakika za lala salama

HUYU NDO MWAFRIKA PEKEE ALIYE WAHI KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MIGUU DUNIANI

LAYIII
Ni kawaida kwa binadamu kufanya au kujifunza kitu zaidi ya kimoja lakini huwa ni watu wachache sana wanaoweza kuvimudu vyote kwa ufasaha, kwa rekodi tu wachezaji wote wanaotajwa kuwa bora duniani hawajawahi kuwa makocha wazuri licha ya kuweza kucheza mpira kwa ufasaha mfano kama Diego Maradona na hata Lionel Messi anatajwa hatokuja kuwa kocha mzuri kama akitaka kuja kuwa kocha.
George_Weah
Na wengine kama Pele na Zidane wao wameamua kabisa kutokuwa makocha, tukirudi Afrika hapa nakusogezea historia ya mwanasoka pekee kutoka Afrika aliewahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia (Ballon d’or) 1995 George Ousman Weah kutokea Liberia huyu jamaa amemud

LIPUMBA ajificha Burundi........JK,LOWASSA,MAGUFULI,MBOWE kukutana..#StoriKubwa AUGUST 9

LAYIII

yuuuu
MWANANCHI
Rais Jakaya Kikwete amesema sasa atazungumza lugha moja na wakwe zake baada ya kukamilika Barabara ya Ndundu-Somanga kwa kiwango cha lami.
Rais Kikwete alisema hayo juzi jioni kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo iliyofanyika Kijiji cha Marendego Mpakani na kuhudhuriwa na wananchi wa mikoa ya Lindi, Pwani pamoja na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali akiwamo Balozi wa Kuwait nchini, Jassem Ibrahim AL-

ILE COLLABLE ILIYOKUWA IKISUBILIWA KWA HAMU YA DIAMOND & ALI KIBA YATABILIWA KUVUNJA RECORD

LAYIII


MTOTO ALIYEVUNJA RECORD KWA KUIMBA RAGGER TONE HUKO AFRIKA YA KUSINI HUYU HAPA......... ONA VIPAJI VYA WATOTO CHIPUKIZI HAPA

LAYIII
Kitoto kidogo cha miaka minne kimewaacha hoi maelfu ya watu kiliposikilizwa kikiimba tone za raga tena kwa mbwembwe za ukweli

Saturday, 8 August 2015

KATIKA UFUNGUZI WA LIGI KUU YA UINGEREZA HIZI NDO PICHA KALI MTU WANGU

LAYIII
Baada ya muda mrefu wa mapumziko kwa Ligi mbalimbali Duniani, sasa tunarudi tena kwa mwanzo wa msimu mpya wa Ligi Kuu Uingereza ambao umeanza August 8 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Uingereza, sas mtu wangu wa nguvu nakusogezea picha 10 zinazotajwa kuwa kali katika ufunguzi wa Ligi Kuu Uingereza.
Hizi ndizo picha 10 bora za mwanzo wa msimu kwa mujibu wa mtandao wa talksport.com
albrighton
Albrighton ni mchezaji wa zamani wa Aston Villa ameshinda goli moja na kutengeneza nafasi zilizoifanya Leicester City kuibuka na ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Sunderland

Full time ya Chelsea vs Swansea City na matokeo mengine ya EPL nimeweka hapa

layiii
Baada ya Manchester United na Tottenham Hotspur kufungua dimba la mechi za ligi kuu ya Barclays Premier League – Mabingwa watetezi wa kombe hilo Chelsea nao jioni hii walianza utetezi wa kombe hilo kwa kucheza dhidi ya Swansea.
 
Mchezo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa sare ya 2-2.

Friday, 7 August 2015

PROFESSOR JAY KWENYE HEADLINE KAPETA TENA KURA ZA MAONI

LAYIII

.
.
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa mkongwe wa Hip Hop Joseph Haule aka Professor Jay ambaye wiki zilizopita alishinda kura za maoni kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo katika Jimbo la mikumi Morogoro.

BZMORNING TANZANIA KUTANA NA MAGAZETI YA LEO 08/08/2015

LAYIII

.
.
Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Agosti 8,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko hapa

Thursday, 6 August 2015

HAWA NDIO WATU WABISHI NCHINI CHINA MTU WANGU

LAYIII

p>Ukijua sheria na haki yako ni rahisi kudai na kusimamia msimamo wako kiuhalali kabisa. Hali ndivyo ilivyo kwa wamiliki wa nyumba nyingi huko China ambao wengi ni wabishi hasa nyumba zao zinapotakiwa kubomolewa kupisha miradi mbalimbali.
Je hapa kwetu watu wanajua sheria na taratibu zao? Picha hapo chini zinaonyesha nchi ya kikomnisti ya China. Je nchi za kidemokrasia kama tunavyojiita unaweza kufanya hivi?
nail-house-china-2-v3

Mmiliki wa jengo hilo Luo Baogen, 67, akiwa na mkewe mwenye miaka 65 wamekuwa wakipambana kwa miaka minne ili waweze kupata dola za kimarekani 41,300 kutoka serikali kufidia jengo hilo ili waweze kuondoka hapo. Hali hiyo inaitwa nyumba misumari kwakuwa inakuwa ngumu

MTOTO WA DIAMOND PLATNUMUZ AANZA MAISHA YA KISTAA AKIWA HAJAFIKISHA HATA SIKU MBILI TOKA AZALIWE

LAYIII
 11242009_1478721399110318_1864035948_n (1)
Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.

Wazazi wake mwenyewe wanamuita ‘The Next Most Famous Daughter in Africa.’ Kwa ukubwa wa Diamond Platnumz na mama yake Zari Ttale, hakuna ubishi kuwa Tiffah ana kila sifa ya kuja kuwa ‘binti maarufu zaidi barani Afrika.
Ikiwa ni saa chache tu tangu kuzaliwa kwake, akaunti yake ya Instagram iliyofunguliwa imefikisha followers zaidi ya 16,000.
Picha yake ya kwanza kuwekwa kwenye akaunti hiyo ina zaidi ya comments 860.

WASANII WASUSA MWALIKOWA TCRA

LAYIII

?
?
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)  leo Aug 06 waliwaalika wanamuziki wa Tanzania kwa ajili ya semina ya namna ya kuziweka salama akaunti  zao za mitandao ya Kijamii  baada ya

Maneno ya TCRA baada ya mahudhurio machache ya wasanii Aug 06 DSM.


 malalamiko yaliyoripotiwa na baadhi ya wasanii kuhusu

advertise here