NA SWAXBZ LAYIIIIIIIIII
Sean John ' P. Diddy'.
LICHA ya wasanii nyota wa filamu wa Hollywood nchini
Marekani kuingiza fedha nyingi kutokana na kuigiza na kudhaminiwa na
makampuni makubwa, waigizaji wa Nigeria waliochini ya Nollywood, mambo
yao hayaendi vizuri kama wanavyotaka.
Pamoja na kupata mafanikio makubwa katika kuigiza, waigizaji wa
Marekani wamejiingiza katika sanaa nyingine nyingi kama yale ya fasheni
za mavazi ambako wameingiza mkwanja mkubwa.
Nyota ambao wanaingiza mkwanja mkubwa kila mwaka katika anga hizo,
kwa mujibu wa gazeti la Forbes ni pamoja na Nicole Richie ambayo
imemwingizia Dola milioni 2, Rachel Zoe Collection (milioni 20), Justin
Timberlake na rafiki yake Trace Ayala (milioni 50), Gwen Stefani
(milioni 90) na . Victoria Beckham milioni 95) alizovuna mnamo mwaka
2011 peke yake.