YOUTUBE
Kamishna wa kanda maalumu ya Dar es salaam Kamanda Simon Sirrio
amethibitisha kuwa wanamshikiria mbunge wa Singida mashariki Tundu
Lissu,
Aidha kamanda Sirro amesemakuwa wanamshikiria Lissu kwa kwa mahojiano juu ya matamshi yake aliyoyatia dhidi ya rais Joh Magufuli
Kamanda Sirro amesema kuwa Lissu anashikiriwa na polisi tangu jana
jioni alipokamatwa mara baada ya
Watuhumiwa wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya waliotajwa hivi
karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Paul Makonda, Jumanne hii,
February 7, 2017 wamefikishwa katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es
Salaam kujibu tuhuma zinazowakabili.
Mastaa hao wakiwemo TID, Nyandu Tozi, Babu wa Kitaa, Romy Jones, Tunda,
na wengine, wameachiwa kwa sharti la dhamana ya shilingi milioni 10 kila
mmoja na watakuwa wakiripoti kwa mwezi mara mbili huku
Magari ni kati ya vitu vinaundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani,
magari yamekuwa yakifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka
ingawa ni kwa maeneo yenye barabara tu. Magari sio tena hitaji la
wanaume pekee, hata wanawake wanamiliki magari mazuri na ya kisasa kila
siku.
Leo nimekutafutia hii taarifa kuhusu vitu vya kujua kwenye magari; vipo
vingi kuanzia kwenye aina
Msanii na producer mtanzania anayeishi marekani kaja na hii mpya ambayo anaitambulisha kupitia huko soundcloud.com/jaymett. Ni watanzania wachache sana ambao wanamake headline huko majuu ikiwa ni pamoja na wafanya biashara na wasanii waliojitengenezea jina ndani na nje ya
Watu ambao muunganiko wao umeunganishwa kutokea mbinguni iwe marafiki,
wapenzi au wanandoa basi matokeo ya kile walichounganishiwa huwa na
msisimko na ladha ya kipekee. Kama ni ndoa huwa na furaha na mmiminiko
wa Baraka. Kama ni muziki basi huwa ni muziki ambao si rahisi ladha yake
kuisha.
Alikufa Kwa Ngoma, Hawajui, Sikiliza, Msiache Kuongea,ukisikiliza hizi
nyimbo pasi na shaka utakubaliana kuwa sio tu ni moja kati ya nyimbo
kali kuwahi kutokea kwenye muziki wetu ila ni moja kati ya nyimbo bora
kabisa za kushirikiana katika muziki wa Bongo Flava.
Rapa
mkongwe bongo AY amefunguka na kumtaja msanii wa Rnb kutoka Tanzania
Ben Pol kuwa ndiye mfalme wa Rnb kwa Afrika Mashariki, Kusini mwa jangwa
la Sahara na Afrika Mashariki na kati.
Mbali
na hilo AY amemfananisha Ben Pol na mkali wa Rnb kutoka Marekani R
Kelly na kusema Ben Pol ndiye R Kelly wetu hivyo tunapaswa kumpa support
tu katika kazi zake ili azidi kufanya mambo makubwa
Video
queen matata ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha redio moja jijini
hapa, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ametema cheche akisema kuwa, watu wote
wanaomsema kwamba kutokana na kuvaa nusu utupu na kujiachia na midume
mbalimbali huenda ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi, waache kwani kama
ni kweli basi wengi wangekufa kwa sababu ameshatembea na mastaa kibao
Bongo.
Rapa Darassa amefunguka na kuweka wazi jambo ambalo katika maisha yake
ya muziki lilimkwaza sana na hataweza kulisahau ni baada ya mmoja wa
Producer wake kutoka AM Record Manecky kumkatalia kufanya kazi ambayo
ndiyo iliweza kufungua zaidi milango
Baada
ya kuwa na tetesi za kuachana kwa Hip Hop Couple ya Nicki Minaj na Meek
Mill, Jan 5 2017, hatimae tumepata kauli ya mwisho kutoka kwa Nicki
Minaj kuhusu tetesi hizo.
Mbali
na kauli hiyo pia zilishaibuka tetesi Nov 21 mwaka Jana (2016) kuwa
Nicki Minaj amempata mwanaume wa kumrithi Meek Mill baada ya kumpiga
chini. Mwanaume huyo
Kampuni
ya Facebook inayomiliki huduma ya Whatsapp imesema kuna baaadhi ya simu
za zamani zikiwemo zile zinazotumia mfumo wa Windows Phone 7.1, Android
2.2 na simu aina ya iPhone 3GS/iOS hazitakuwa na huduma za whatsapp kwa
sababu wanataka kuendana na mifumo inayotumiwa na watu wengi.
WAZIRI
Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Manispaa ya Kigamboni
kuhakikisha unasimamia ujenzi wa kisasa na kutenga maeneo maalumu ya
wazi katika manispaa hiyo, ili kuepusha makosa ya ujenzi holela
yaliyofanyika katika maeneo mengine jijini Dar es Salaam.
Pamoja
na hayo, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa amesema manispaa
hiyo mpya kwa sasa inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa majisafi na
salama na wakazi wake wanatumia maji ya visima pekee ambayo si safi na
salama.
Rais Barack Obama amewahimiza
wanachama wa chama cha Democratic kupigania sheria yake ya bima ya afya
ambayo utawala wa Donald Trump umeahidi utaibatilisha upesi baada ya
kuingia madarakani.
Kwenye mkutano wa faraghani wa saa mbili, Bw
Obama aliwahimiza wabunge wa chama hicho kuitetea sheria hiyo, huku
wanachama wa Republican nao wakichukua hatua kufuta sheria hiyo.
Tottenham imefutilia mbali ndoto ya
Chelsea kutaka kuweka historia katika ligi kuu ya England kwa kushinda
michezo 14 baada ya vinara hao kuchakazwa 2-0 White Hart Lane.
Spurs
wamekwaa mpaka nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi baada ya Dele Alli
kufunga magoli yote mawili kwa njia ya kichwa hii ikiwa ni mwishoni mwa
kipindi cha kwanza na dakika ya 54.
BONEZA PICHA KUONA VIDEO USIACHE KUSUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU YOUTUBE ILI YAKUFIKIE MAZURI KILA SIKU MTU WANGU
PLAY VIDEO HAPO CHINI USIACHE KUSUBSCRIBE KTK CHANNEL YETU YOUTUBE
Licha ya kuwa na changamoto nyingi, ujauzito ni hatua yenye faraja kubwa
sana wanawake wengi. Kwani kila mmoja huwa na matumaini makubwa kwa
kile alichokibeba tumboni.
Hakuna ubishi kuwa mama anapokuwa katika hali hii hupenda kuishi maisha
yasiyo na bughudha ama rabsha. Pamoja na kuwa watu wengi hukubaliana na
changamoto zinazowapata wanawake
Familia moja jijini Arusha inadaiwa kumzika kwa siri mtoto wao mdogo wa
kike wa miaka mitatu katika kaburi lililofichwa, huku majirani
wakidanganywa kuwa binti huyo yupo hai.
Taarifa za kisa hicho cha kusikitisha zimevifikia vyombo vya usalama.
Kwa sasa kuna mipango ya kuhakikisha kuwa mwili wa binti huyo, Nuru
Losipha aliyezikwa kwa siri na familia yake,
Arsenal imeambulia alama moja nyumbani kwa Bournemouth baada ya kutoka nyuma kwa magoli 3-0.
Ilikuwa
nii kama kutimiza lengo kwa the Gunners baada ya kufunga magoli matatu
ndani ya dakika 20, kabla ya hapo Bournemouth ambao walikuwa wenyeji
walikuwa wakiongoza kwa magoli 3-0.
Alexis Sanches alianza
kuiandikia bao la kwanza Arsenal dakika ya 70 kabla ya Lucas Perez