Sunday, 8 May 2016

MKE WANGU ANADAI MAPENZI KILA SIKU ATANIUA

LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK
Bonyeza picha hii kujua kinacho endelea katika page za udaku
https://www.youtube.com/watch?v=VKujJhHa9fY
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zilizopita amekuwa akinilazimisha nifanye mapenzi kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku.

Leo nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa manane nifanye nae mapenzi nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku tatu mbele target yangu ni kuwa baada ya siku tatu anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumzo ya kutosha.

MATAJIRI TANZANIA TUMBO JOTO, WALIO FICHA SUKARI WAUKWA... IJUE KAULI YA RAIS KWA MATAJIRI WAHUJUMU UCHUMI

FACEBOOK
https://www.youtube.com/watch?v=cQFl2V9IFUA
 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa inafanya uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowahusu  wafanyabiashara wa sukari nchini kwa kuficha bidhaa hiyo ili  kusababisha upungufu katika soko na hivyo kuleta usumbufu kwa jamii ya watanzania wanaohitaji bidhaa hiyo kwa matumizi jambo ambalo limesababisha kupanda kwa bei hadi kufikia shilingi elfu nne kwa kilo moja ya sukari.

KUNDI LA MAUAJI RWANDA NAIBU KAMANDA MIKONINI MWA SHERIA

LIKE US ON FACEBOOK
Bofya picha hii kujiunga na bztv online
https://www.youtube.com/watch?v=_2xr9mgpj4s
Mpiganaji wa kundi la FDLR 
 
Wakuu wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo wanasema wamemkamata naibu kamanda wa kundi la wapiganaji, linalohusishwa na mauaji makubwa ya Rwanda ya mwaka 1994.
Msemaji wa serikali, alieleza kuwa Jenerali Leopold Mujyambere, wa kundi la Rwanda la FDLR,

DUNIA NA VIJIMAMBO MDORI UNAOTUMIKA KWA NGONO WADHANIWA KUWA MALAIKA

Like page yetu hapa usipitwe na story yoyote FACEBOOK
BONYEZA picha hii kujiunga na bztv uone video za midoli zaidi ya hii

https://www.youtube.com/watch?v=cQFl2V9IFUA
Maafisa wa polisi nchini Indonesia wamekipokonya kijiji kimoja mwanasesere anayetumika kufanyia tendo la ngono baada ya wakaazi wa eneo hilo kudhania kwamba alikuwa malaika.

Saturday, 7 May 2016

KWA MARA YA KWANZA JIJI LA LONDON LAPATA MEYA WA KIISLAMU

Like page yetu hapa FACEBOOK

j
Meya wa Lndon Sadiq Khan  
Jiji la London limemchagua Meya wa kwanza Muislamu, Sadiq Khan, aliyekuwa wakati mmoja Waziri katika chama cha upinzani cha Laba.
Bwana Khan ni mwana wa dereva wa zamani wa bas jijini London aliyezaliwa Pakistan. Alipata kura milioni moja na mia tatu elfu.

PICHA NA GARI REFU ................ NDOTO YA MAREKANI ( LONGEST LEMOUSINE)

Lke wa facebook page here SWAXBZ
12118909_1625108681087100_8392073543493297158_n

Photos: World’s Longest Car|Longest Limousine -The American Dream 

The American Dream Limo is owned by car collector and designer Jay Ohrberg of Burbank,California,USA.It is considered as the world longest Car.
Jay Ohrberg designes this monster limo himself and now hires it out through his hire car company.This incredible limo is currently in the Guinness Book of World Records as the longest car

Friday, 6 May 2016

MIAKA 13 IMEPITA TANGU CAMERRON WAMPOTEZE FOE,, LEO TENA WAMEMPOTEZA MWINGINE UWANJANI

Like page yetu hapa SWAXBZ usipitwe na habari zetu kila siku


Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya soka barani Ulaya huenda utakuwa umekutana na taarifa za kusikitisha kwa taifa la Cameroon, usiku wa May 6 2016 Cameroon na Afrika  kwa ujumla ilipata taarifa za kushtusha, baada ya kupokea taarifa za kifo cha kiungo wa kimataifa wa Cameroon aliyekuwa anaicheze Dinamo Bucuresti Patrick Ekeng.

DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA SHETTA NAMJUA

Like page yetu hapa SWAXBZ usipitwe na habari zinazotufikia hapa mkali wetu


 Tazama Hapa Chini Video Mpya ya Mwanamuziki Shetta ya Wimbo Unaoitwa Namjua, Video Imefanywa South Africa...
 

HABARI ZA LEO MAGAZETINI 7/5/016

ARGENTINA SASA KUONGOZA ORODHA YA FIFA DUNIANI

Like page yetu SWAXBZ usipitwe na habari zetu

s
Timu ya taifa ya Argentina bado inaongoza orodha ya kila mwezi ya FIFA ya timu bora duniani ambayo imetolewa Ijumaa.
Kwenye orodha hiyo timu ya taifa ya Ubelgiji iko kwenye nafasi ya pili ikifwatiwa na Chile.Ujerumani ni ya 5,ikifwatiwa na Uhispania na Brazil inachukua nafasi ya saba.
Timu ya bara la Afrika inayochukua nafasi nzuri kwenye orodha hiyo ya FIFA ni Algeria iliopo

JE?: NI KWELI SHILOLE HUMFIKII VANESSA KWA UZURI

Like page yetu ya facebook hapa SWAXBZ usipitwe na habari kila siku
 kiwa zimepita siku kadhaa toka msanii Shilole afunguke kwenye kipindi cha 5Selekt kinachorushwa kwenye ting'a namba moja kwa vijana EATV kuwa hakuna msanii wa bongo fleva mzuri zaidi yake, mashabiki
Bonyeza picha hii kuona baadhi ya clips za shilole

https://www.youtube.com/watch?v=iAzdoV5TW1Y
wameamua kutoa ya mioyoni.

Mashabiki wamemchana Shilole na kusema kuwa yeye si mwanamke mzuri katika wasanii wanaofanya bongo fleva huku wakisema kuwa uzuri wake hausofei kabisa kwa msanii Vanessa Mdee.

Baadhi ya mashabiki walikuwa wakimpa madongo kuwa mwanamke mzuri hawezi kujianika kama yeye, huku wengine wakisema kuwa mwanamke mzuri hawezi kuwa yeye kutokana na tabia yake ya kutojiheshimu na wengine wakisema kuwa yeye hana lolote na wa kawaida kabisa.

"Kuna manzi wakuitwa Vanessa cheki yule manzi alivyo mcute wewe nani wachakuji puraaaaaaaaaaa" Africanboihacker 
https://www.google.com/friendconnect/signin/home?st=e%3DAOG8GaBerJQT2yFRtBNC4NNsXTpQnzS5VUDzQFvNVZSt40QqyZxd8sdbvaTlC9f%252FNo0C%252Boo%252BViDTuzPpYw6q%252BNJY09AIjmsOTRgnDuOCjfoQabKvOvdGSsvMo%252B3HdFAo3AujhYOOcLgY3nYrjmUxEywEkLSD8ItmTbYQ%252BlIfjONIKViAZsgzs3r9U1%252BSquthavnFflFcwbv0XwVBkiSrgniqBlxYxjVXWA%253D%253D%26c%3Dpeoplesense&psinvite=&subscribeOnSignin=1


JINSI YA KUPATA MTAJI WA BIASHARA

like page yetu facebook hapa SWAXBZ ili usipitwe na kila story inayotufikia


Karibu tena kwenye kipengele hiki cha ushauri ambapo tunajadili changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha.

Leo tutajadili changamoto ya ukosekanaji wa mitaji na jinsi ya kuipata. Kabla hatujaanza kujadili changamoto hii naomba niweke maoni ya wasomaji waliotuandikia kuhusu hili;

Mimi ni graduate wa diploma ya uhandisi magari, kila nikifikiria kuanza kuijajiri nashindwa kutokana na kipato cha kuanzia biashara.. je nifanyeje niweze kupata kipato cha kujiajiri?

ASIYE NA MIKONO ASHINDA TUZO YA MUANDIKO BORA

SWAXBZ
Msichana asiye na mikono ashinda shindano la muandiko bora Marekani  
Bonyeza picha hii ili habari yoyote isikupite bofya hapa
https://www.google.com/friendconnect/signin/home?st=e%3DAOG8GaBerJQT2yFRtBNC4NNsXTpQnzS5VUDzQFvNVZSt40QqyZxd8sdbvaTlC9f%252FNo0C%252Boo%252BViDTuzPpYw6q%252BNJY09AIjmsOTRgnDuOCjfoQabKvOvdGSsvMo%252B3HdFAo3AujhYOOcLgY3nYrjmUxEywEkLSD8ItmTbYQ%252BlIfjONIKViAZsgzs3r9U1%252BSquthavnFflFcwbv0XwVBkiSrgniqBlxYxjVXWA%253D%253D%26c%3Dpeoplesense&psinvite=&subscribeOnSignin=1 
Msichana wa miaka saba aliyezaliwa bila mikono ameshinda shindano la muandiko mzuri nchini Marekani.
Anaya Ellick kutoka Chesapeake,Virginia hatumii viungo vya kumsaidia wakati anapoandika.
Wakati anapoandika yeye husimama huku akishikilia kalamu yake katika mikono.
Mwalimu wake mkuu Tracy Cox kutoka shule ya Greenbrier Christian amemtaja kuwa mtu wa mfano mwema.

Thursday, 5 May 2016

SNURA AWAOMBA RADHI WATANZANIA AKABIDIWA CHETI BASATA

SWAXBZ
13139342_1096943017015782_4396998989636500375_n[2]
Baada ya jana serikali kupitia Wizara ya Habari kutoa agizo la kumfungia Snura kutojihusisha na shughuli za muziki kutoka wimbo wake na kutojisajili Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), leo mwanamuziki huyo na meneja wake HK wameomba radhi kwa umma katika Ukumbi wa Habari Maelezo, jijini Dar.

Wednesday, 4 May 2016

WANASAYANSI WAGUNDUA DAWA YA KUREFUSHA MAISHA NA KUZUIA UZEE

like page yetu SWAXBZ 

n
Dawa inayotumika kwa matibabu ya kawaida huenda ikategua kitendawili cha kurefusha maisha na kuzuia uzee.
Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya, ambao ulibainisha kwamba viwango vya chini vya dawa aina ya Lithium vilisaidia kurefusha maisha ya nzi waliowekwa kwenye

WAKATI WEWE UNAUGULIA NJAA NA UHABA WA FEDHA FLOYD MAYWEATHER ANACHOMA DOLLAR

SWAXBZ

Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe

Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage mwili wake...Jamaa ana kufuru

NICKI MINAJ Kamchagua yupi Kati ya Meek Mill na Drake? Jibu Liko Hapa

Chanzo na udaku specially
SWAXBZ

Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu kwenye maisha yake kwenye kuchagua kuwasiliana na hasimu wa mpenzi wake ambaye ni Drake au kukata mawasiliano naye kabisa ili kumfurahisha Meek Mill ambaye ni boy friend wake.
Kwa mujibu wa Hollywood Life Nicki Minaj amemchagua Meek Mill na amekata mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye wapo pamoja kwenye lebel moja ya Young Money.
Wawili hawana mawasiliano toka June 2015 beef kati ya Meek na Drake lilipoanza. Pia mpaka sasa

MTANGAZAJI WA CLOUDSFM DIVA KASEMA NYIMBO ZAKE ZINABANIWA KUPIGWA REDIONI

SWAXBZ

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amesema nyimbo zake pamoja na za mtangazaji mwenzake, Adam Mchomvu zinabaniwa na redio zingine, kitu ambacho anaona si sawa.

Anasema redio za mikoani ndizo zimekuwa zikiwapa support bila kujali kuwa wanatoka Clouds lakini redio karibu zote za Dar zimekuwa zikibania nyimbo zao.

Diva ambaye anaandaa album yake, The Life of The Diva, amesema kuwa hicho ni kitu ambacho angependa kuona kinafutika.

MAMA MZAZI WA TUPAC SHAKUR AFARIKI DUNIA

SWAXBZ


Mamaake aliyekuwa mwanamuziki wa mtindo wa Rap Tupac Shakur ,Afeni Shakur amefariki akiwa na umri wa miaka 69.
Kaunti ya California imethibitisha kifo chake kupitia ujumbe wa Twitter.Hakuna maelezo zaidi yaliotolewa.
Alice Faye Williams,alibadilisha jina lake na kuitwa Shakur akiwa mtu mzima alipokuwa mwanaharakati wa kisiasa na kujiunga na vuguvugu la Black Panther.
Alikuwa na mimba ya Tupac mwaka 1971 alipokamatwa na kufungwa jela pamoja na wanachama

BASI LA WANAWAKE LAZUA MJADALA

SWAXBZ 


Uzinduzi wa basi la wanawake pekee katika mji mmoja wa China umewakasirisha wanaume wa taifa hilo na kuzua mjadala mkali katika mitandao ya kijamii.
Huduma hiyo mpya itatolewa wakati wa asubuhi na wakati wa shughuli nyingi katika mji wa mashariki wa Zhengzhou katika juhudi za kupunguza visa vya wanawake kusumbuliwa na wanaume kulingana na gazeti la Dahe daily.
Kampuni hiyo ya basi itawalinda wanawake dhidi ya kunyanyaswa wakati wanapovaa nguo nyepesi

advertise here