Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitakia kila la
kheri klabu za Azam FC na Young Africans ambao ni wawakilishi pekee wa
Tanzania katika michuano ya kimataifa itayochezwa wikiendi hii.
TFF imevitaka vilabu hivyo kupambana katika michezo inayowakabili na
kuweza kufanya vizuri kwa kupata ushindi, ili kutengeneza mazingira
mazuri katika michezo ya marudaino itakayochezwa Aprili 19-20 mwaka huu.
Stori: Mayasa Mariwata na Gladness mallya, Ijumaa
Wakati mama yake, Flora Mtegoa (pichani), baadhi ya wasanii na mashabiki
wake wakikumbuka miaka minne ya kifo cha aliyekuwa staa mkubwa wa
filamu za Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘The Great’, kumezuka
sintofahamu ya kukutwa ujumbe mzito wa kimapenzi kaburini kwa msanii
huyo ambao unadaiwa kuwekwa na mrembo aliyefika mahali hapo mapema wiki
hii.
LAYIII
BONYEZA PICHA KUSKILIZA HADITHI KWA NJIA YA SAUTI
Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa
na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke
airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari, nikawakubalia,
ilivyofika hjiyo cku nikawafuata saa 5 ucku, ili waandae mizgo yao
kwanza.
Ghafla nashtuka namuona mtoto mrembo kavaa kanga ni mweupe akiwasaidia
kubeba mabegi na kupakia kwenye gari, ikabidi nimuulize sista kwamba
huyu dada ni nani, akanijibu ni dada wa nyumba ya pili hapo tumemuomba
awe anakaa hapa kwa mda sisi tukiwa india, maana hapakua na mtu nyumba
yote ile. nikamjibu OK, akili yote iliamia kwa yule mrembo.
Muda ukafika nikawapeleka airport nikakaa nao mpaka saa saba nikageuza
kurudi zangu. nikasema hata lazima nirudi kulekule kwa sista
nikamalizane nae yule mtoto, kwa kisingizio cha kusahau ufunguo. aisee
nilikamua mafutaa mpaka mbez beach, ninakaa nao karbu umbali wa km3 toka
kwao.
LAYIII
Bonyeza picha kuskia hadithi kwa njia ya sauti
Hili suala nimelifikiria kwa kipindi kirefu sana., naona mifano mingi
kupitia kwa marafiki zangu na hata ndugu zangu na watu wangu wa karibu.
Unakuta mwanaume upo kwenye mahusiano ya kawaida na msichana bado
hamjafunga ndoa alafu migogoro na kuachana mara kwa mara, tena unakuta
wewe ndo unaachwa na huyo mwanamke alafu unambembeleza mnarudiana. Mwanamke haonyeshi upendo wowote kwako lakini
Dada wa marehemu akilia baada ya mdogo wake kujinyonga.
STORI: Dustan Shekidele, Wikienda
Morogoro: Mshtuko! Mwanafunzi wa wa darasa la tano katika Shule ya
Msingi Mchikichini ‘B’ ya mjini hapa, Anosisye Gidion (12), ameacha
viulizo kibao baada ya kujinyonga kwa kutumia kitenge cha mama yake,
Judith Kilalu ‘Mama Kapipi’.
George Fellowes ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 22 na anaamni kwamba hata yeye hupatwa na ''hedhi ya kiume''.
Anasema
kuwa ni rafiki wa karibu wa Amber May Ellis jirani yake na hivyobasi
hupata uchungu wa hedhi kila mwezi rafikiye anapopata hedhi.
Uchungu
huo anasema huwa mkali hadi kulazimika kuchukua likizo ya kuwa
mgonjwa.Akizungumza na Newsbeat,George anaelezea:Nadhani ni swala la
kifikra kwa sababu sisi ni marafiki wa karibu sana na tuna
Huzuni na mshangao umeghubika
Indonesia baada ya muimbaji maarufu Irma Bule, aliyekuwa akiwatumbuiza
mashabiki wake kuanguka na kufariki dunia jukwaani
Yamkini bi Bule aliumwa na nyoka yapata dakika 45 zilizotangulia katika ''shoo yake'' iliyokuwa magharibi mwa Java Indonesia.
Vyombo
vya habari vinaripoti kuwa muimbaji huyo nyota alimkanyaga kimakosa
nyoka huyo ambaye alikuwa sehemu ya ''shoo'' yake na kwa bahati mbaya
nyoka huyo akamuuma kwenye paja.
Japo nyoka huyo alikuwa
ameng'olewa chonge zake , kwa njia moja au nyingine aliweza kum'gata na
Mamba mkubwa mla ng’ombe ameuawa katika jimbo la Florida nchini Marekani.
Mnyama huyo alikuwa na uzani wa kilo 360.
Mwindaji
Lee Lightsey amesema mamba huyo wa ukubwa wa futi 15 (4.5m) ndiye
mkubwa zaidi ambaye amekumbana naye katika kipindi cha miaka 18.
Baada ya kumuua, alihitaji trekta kumbeba.
Bw
Lightsey alimgundua mnyama huyo akiwa na mwelekezi wa wawindaji Blake
Godwin walipokuwa
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa wamethibitisha.
Marafiki
na waliokuwa wafanyikazi wenzake walituma ujumbe katika mtandao wa
Twitter wakimuenzi mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 31 ambaye
alifariki usingizi wikendi iliopita.
Amber alikuwa nyota wa filamu za ngono kwa muongo mmoja kabla ya kujiuzulu mwaka 2015.
Alikuwa
miongoni ,mwa kundi moja la wanawake ambao walidai kwamba James
Deen,ambaye pia
MKONGWE
wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa
katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe aliyekuwa
mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi wanavyodhani. Akizungumza
na mwanahabari wetu, Jide alisema wimbo huo ulitungwa na watu wake
tofauti na yeye kuukamilisha hivyo kwa kuwa umebeba ujumbe mzito ni
rahisi mtu kuhisi amemuimba mtu fulani kumbe yeye aliimba kwa ajili ya
mashabiki wake wote.
Meneja wa Tip Top Connection na WCB, Babu Tale, amefunguka kuwa
anatamani kumsaidia Ray C kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya na
kumrejesha vizuri kwenye muziki kama zamani kwakuwa naye aliwahi
kumsaidia.
Akiongea kupitia kipindi cha The Playlist cha Times FM, Jumamosi
iliyopita, Tale alidai watu wengi hawajui Ray C alimsaidia kwa kiasi
kikubwa kukaa kwenye ramani nzuri kisanaa kama alivyo leo.
Chama kikuu cha upinzani visiwani
Zanzibar kimesema hakimtambui Dkt Mohamed Ali Shein aliyetangazwa kuwa
mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi uliopita.
Viongozi
wa Chama cha Wananchi (CUF), wakizungumza kwa mara ya kwanza tangu
kufanyika kwa uchaguzi huo ambao chama hicho kilisusia, wamesema
hawamtambui Dkt Shein kama rais wa visiwa hivyo.
“Tangu mapema,
tangu Jecha (Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha)
alipofuta uchaguzi, tulisema waziwazi kwamba haikuwa halalali.
Walipoitisha uchaguzi wa marudio, tulisema waziwazi
Rais wa Tanzania John Magufuli
ameahirisha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake
akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa katika
shughuli zao binafsi.
Siku hiyo hata hivyo bado itasalia kuwa ya
mapumziko kama kawaida. Agizo hilo la Dkt Magufuli aidha linaathiri
shamrashamra za mwaka huu pekee.
Bunge la Afrika kusini litajadili hoja ya kumng'oa rais Jacob Zuma madarakani siku ya Jumanne.
Spika
wa bunge la Afrika Kusini ametoa taarifa hiyo baada ya shinikizo
kutoka kwa vyama vya upinzani vikiongozwa na kile cha Economic Freedom
Fighters (EFF) kinachoongozwa na Julius Malema.
Serikali ya Uingereza imeanzisha
uchunguzi wa dharura kufuatia ufichuzi kuwa wachezaji nyota wa kandanda
nchini Uingereza wamekuwa wakitumia madawa yaliyopigwa marufuku ya
kuongeza nguvu mwilini.
Gazeti la Sunday Times limechapisha ripoti
ya uchunguzi iliyothibitisha kuwa sio tu wasakataji dimba bali hata
waendesha baiskeli, wachezaji Kriketi na hata wachezaji wa tenisi
wamekuwa wakipokea matibabu kutoka kwa daktari mmoja ambaye anajulikana
kwa kupeana madawa hayo
Mtu mmoja ameuawa baada ya ndege moja kuangukia gari alimokuwa kwenye barabara kuu ya California Marekani.
Walioshuhudia
wanasema kuwa ndege hiyo ilionekana kama iliyokuwa na matatizo ya
injini na ikalazimika kutua kwa dharura kwenye barabara ya Interstate 15
freeway California.
Rubani wa ndege hiyo Dennis Hogge hata hivyo
alishindwa kuidhibiti na ikateleza na kuigonga gari
LAYIII BONYEZA PICHA HII KUMSHUDIA ALIYE CHEZA KIMAHABA OFISINI Tulipotoka chuo mwanzoni mwa miaka ya 2000 mimi na rafiki yangu kipenzi
tulipata kazi nzuri na yenye kulipa vizuri sana, kazi hiyo tulitafutiwa
na Mchumba wa huyo shosti wangu, tulipomaliza probation tu, rafiki yangu
na Mchumba wake wakafunga ndoa rasmi.
Baada ya kama miaka 3 hivi, mimi na yule shemeji yangu tukaanzisha
uhusiano usiofaa kwa siri bila mwenye mali kujua, baadae yule bwana
akaanzisha fujo nyumbani kwake ili waachane, rafiki yangu akaja kugundua
kuwa mimi ndiye mbaya wake, urafiki ukaishia hapo
LAYIII
NJOO YOUTUBE BONYEZA PICHA HII KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Lady Jaydee ambaye kwa sasa anafanya vizuri
na wimbo wake wa 'Ndi ndi ndi' amefunguka na kuweka wazi wazi msanii wa
kiume ambaye kwa sasa anamfikiria katika kufanya nae kazi.
Kupitia
Accout yake ya twitter ambapo alitoa nafasi ya maswali kutoka kwa
mashabiki zake Lady Jaydee aliulizwa swali kama ataweza kufanya remix ya
wimbo wake mpya na kama
Vilabu vitatu vikuu katika ligi kuu
ya Uingereza EPL vimekanusha madai kuwa wachezaji wao wanatumia madawa
yaliyopigwa marufuku ya kuongeza nguvu mwilini.
Vilabu hivyo vimekanusha madai hayo yaliyochapishwa na jarida la Sunday Times kuwa ya ''uongo''
Jarida
hilo limechapisha ripoti ya ufichuzi inayodai kuwa daktari mmoja mwenye
zahanati ya kibinafsi mjini London Mark Bonar amekiri kuwapa madawa
yaliyopigwa marufuku wachezaji 150 katika kipindi cha miaka 6 iliyopita.
Mahakama ya katiba Korea kusini imeendelea kukataa rufaa
iliyowasilishwa kupinga sheria inayopiga marufuku biashara ya ngono
ikiwa ni ishara ya kushindwa kwa wafanyabiashara hii ambao kwa miaka
mingi wamekuwa wakifanya kampeni kupinga hayo maamuzi.
Hakimu Kim chang jong amesema kampeni za kuleta uwazi na
uhuru katika ngono hazimaanishi kuwa