Saturday, 12 March 2016

BARAZA KUU LA CHADEMA PICHA NANE ZA MWANZO MTU WANGU

LAYIII
Leo march 12 2016 Baraza kuu la Chadema linafanya mkutano wa kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Mwanza kwenye vikao vya ndani pamoja na kujadili masuala ya Chama, hapa nimezipata picha za mwanzo kwenye tukio.
kila picha ikiibonyeza iko na link ya tukio BONYEZA PICHA YOYOTE HAPO KWENDA KWENYE TUKIO HALISI
Leo march 12 2016 Baraza kuu la Chadema linafanya mkutano wa kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Mwanza kwenye vikao vya ndani pamoja na kujadili masuala ya Chama,

PITIA VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YA LEO March 12 2016

LAYIII
March 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook@swaxbz, twitter@swaxbz na instagram@emmanuely_1 ili niwe nakutumia kila
March 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu

SCANIA ILIVYO WAKA MOTO MAENEO YA KASESYA/ KASANGA HUKO SUMBAWANGA

LAYIII
Katika hali ya kustukiza eneo la makutano filling station kasesya/kasanga road manispaa ya sumbawanga kumetokea mlipuko wa gali kubwa aina ya scania. kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba utingo wa scania ulipokwenda kurekebishwa ndipo moto ulipotokea kuanzia kwenye betrii
tizama na ubonyeze picha kuitazama video ya tukio nzima mtu wangu




https://www.youtube.com/watch?v=9sM6NHl7Xzw

Friday, 11 March 2016

KENYA NDANI YA DARUBINI YA IAAF

LAYIII
 Mkutano wa kamati kuu ya shirikisho la mchezo wa riadha duniani IAAF ambayo imekuwa ikikutana mjini Monaco imetangaza kuwa Kenya na Ukraine ni miongoni mwa nchi ambazo zimewekwa katika orodha ya mataifa ambayo yanachunguzwa kwa kina na shirikisho hilo kuhusiana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli michezoni.


Mataifa mengine ni pamoja na Ethiopia, Morocco, na Belarus
Kwenye kikao na waandishi wa habari, afisa mkuu wa shirikisho hio anayehusika na maadili amesema kuwa, mataifa hayo yamepewa muda kuunda kamati maalum, ili kudhibiti matumizi ya dawa hizo michezo.

UMEPITWA NA TAARIFA YA HABARI LEO 10/03/2016 NIMEKUSOGEZEA HABARI KUBWA HAPA

LAYIII
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 11 2016 usijali www.swaxbz.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.Habari kutoka Clouds TVKesi ya Tembo Yaahirishwa Mahakama ya kisutu Jijini Dar es salaam imeharisha kesi ya wachina wawili walikamatwa na Meno ya Tembo
Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya March 11 2016 usijali www.swaxbz.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.
Habari kutoka Clouds TVKesi ya Tembo Yaahirishwa

JUX NILIMPENDA JACK CLIFF LAKINI SITARUDIANA NAYE TENA

LAYIII
source na Bongoswaggz 
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE




Msanii Jux ambaye kwa sasa yupo kimahusiano na Vanessa Mdee, amefunguka na kuweka wazi sakata ambalo lilimkuta mpenzi wake wa zamani anayefahamika kama Jackie Cliff na mahusiano yake na model huyo.

Kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na EATV Jux alikiri wazi kuwa alikuwa akitoka kimapenzi na Jackie Cliff na kusema alikuwa anampenda sana licha ya bidada huyo kumzidi umri.

Thursday, 10 March 2016

MASTAA WANAVYO TUMIKA KUKAMATA VIGOGO WAUZA UNGA

LAYIII
 USIACHE KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE BONYEZA PICHA
MASOGANGE5Video Queen, Agness Gerald ‘Masogange’
Stori: Sifael Paul, Ijumaa
Dar es Salaam: Mjini hakukaliki! Mkakati wa Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ wa kupambana na biashara haramu ya dawa za kulevya ‘unga’ hapa nchini, umeiva ambapo uchunguzi wa gazeti hili umebaini kwamba unawatumia baadhi ya mastaa Bongo kuwakamata vigogo wanaojihusisha na biashara hiyo.

UKISTAAJABU YA MUSSA HUTAYAONA YA FILAUNI CHEKI PICHA HIZI NA USTAAJABU

LAYIII
Tafadhari waweza bonyeza picha kisha jiunge nami youtube mtu wangu kushuhudia nami maajabu hayo usiache kusubscribe youtube

https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA

SKIA ALICHOSEMA NAJ KUHUSU KUTOKA KIMAPENZI NA BARAKA DA PRINCE

LAYIII
  Bonyeza picha kujiunga nasi youtube
Msanii bongo fleva Naj amevunja ukimya na kusema kuwa yeye hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na msanii Baraka da Prince.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuenea habari kuwa anatoka kimpenzi na msanii huyo na kusisitiza kuwa Baraka ni rafiki yake wa karibu na hakuna zaidi.

Wednesday, 9 March 2016

FROM UDAKU SPECIALLY: SHUDIA MBUNGE ALIVYOKULA KICHAPO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NA JMETTY KUIONA VIDEO YAKE
https://www.youtube.com/watch?v=Gpik8ecGV80
Mwanasiasa mkongwe Moses Wetang’ula Senator wa kaunti ya Bungoma, ambaye pia ni Waziri wa zamani wa mambo ya nje na Waziri wa zamani wa Biashara nchini Kenya. Jumapili ya tar.6 March (siku mbili kabla ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani) alipewa kipigo kikali na mke wake An Wacheke Ngugi hali iliyopelekea kukimbizwa hospitali kwa matibabu kabla hajaenda kuripoti Polisi ambapo alikuta mkewe ameshamtangulia kuripoti. Yani mke alimpiga mume kisha akawahi Polisi kusema amepigwa.

UPDATE NA 3MILLARDAYO PAMOJA NA AJARI KUTOKEA ASUBUHI BADO WATU WAMEKUSANYIKA KITUO CHA POLICE BUGURUNI

LAYIII
Asubuhi ya March 9 taarifa za ajali kutokea maeneo ya Tabata Dar Es Salaam zilisambaa katika sehemu mbalimbali hususani, katika mitandao ya kijamii. Tabata ilitokea ajali iliyokuwa inahusisha basi la abiria aina ya DCM, tipa la mchanga na Lori la ng’ombe.

Tuesday, 8 March 2016

JE WAJUA KAMA MVUMBUZI WA EMAIL KAFARIKI DUNIA

LAYIIII
BONYEZA HAPA KUONA VIDEO MTU WANGU

https://www.youtube.com/watch?v=Gpik8ecGV80

 
Mvumbuzi wa “EMAIL” afariki dunia
Mvumbuzi wa matumizi ya barua pepe kwa kiingereza kama Email RAY TOMLINSON, amefariki dunia na umri wa miaka sabini na nne.
Ray alivumbua matumizi ya barua pepe mwaka 1971 na

TAZAMA PICHA 4 ZA AJARI ILIYOTOKEA TABATA DAR ES SALAAM

LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO
Moja ya taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari asubuhi ya leo march 9 2016, ni pamoja na hili tukio la ajali ya magari matatu ambayo ni gari la abiria aina ya DCM, Lori la mchanga na gari lingine lililokuwa limebeba mchanga kugongana katika eneo la Tabata, Dar es salaam.
Hadi sasa hakujawa na uhakika wa taarifa za uhakika

JE UNAJUA KUWA MAALIM SEIF AMELAZWA

LAYIII
 

Maalim Seif Alazwa Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam

BONYEZA PICHA HAPO

Siku tatu baada ya kutoka India alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad jana alilazwa katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar, Nassoro Mazrui amesema kuwa chanzo cha Maalim Seif kulazwa katika hospitali hiyo jana asubuhi ni uchovu wa safari yake ya India ambayo alienda kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa mgongo.

JE UNAJUA KUWA WIZKID KAITELEKEZA FAMILIA YAKE

LAYIII
 
Mke wa Wizkid, Ogudugu Shola, amefunguka na kudai kwamba mumewe huyo ambaye amezaa naye mtoto mmoja, anashindwa kuihudumia familia yake.

Mrembo huyo amedai kwamba, mapenzi ya msanii huyo na mtoto wake anayejulikana kwa jina la Boluwatife, yamekuwa tofauti na mwanzo kihuduma.

“Ukweli ni kwamba nimechoka, nimechoka, nimechoka na mambo

Monday, 7 March 2016

DAKIKA 20 ZA DIAMOND PLATNUMZ NA KANYE WEST

LAYIII
VIDEO BONYEZA PICHA HIII
Diamond (2) Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  na rapa maarufu wa Marekani, Kanye West.
Stori: Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kutoka Tandale hadi Marekani! Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  melidokezea Ijumaa Wikienda kilichojiri kwa takriban dakika 20 alipokutana uso kwa uso na rapa  kubwa duniani wa Marekani, Kanye West.
UWANJA WA NDEGE LOS ANGELES
Diamond alikutana na Kanye West kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles wa LAX nchini Marekani wakati akisubiri ndege kuelekea Las Vegas kwa ajili ya shoo na kazi zake za kimuziki.

Saturday, 5 March 2016

TCRA Yakiri Zigo Remix ni Wimbo Mkubwa na Unaopendwa Sana.

LAYIII
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imekiri kuwa wimbo wa AY, Zigo Remix aliomshirikisha Diamond unapendwa sana

MBOWE ALIVYOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA JAY METTY
Hadi time hii headline za Uchaguzi wa Meya Dar es salaam zinazidi kutawala kila siku, ni siku mojatu baada ya Baadhi ya Wabunge na Madiwani wa Ukawa kufikakatika ofisi ya Halmashauri  ya jiji kutaka kujua tarehe ipi uchaguzi utafanyika lakini hawakupata majibu hayo. Leo March 5 2016 Mwenyekiti wa  CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alikutana na waandishi wa habari na kueleza…
Hatutaomba tena kumpata Meya wa jiji la Dar es salaam, tutadai

USIKU WA LEO TANZANIA IMECHUKUA TUZO MBILI "Nigeria Africa Magic Awards 2016"

LAYIII
Mach 5 2016 Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka Tanzania Alikiba  alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo.
Wasanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael na Single Mtambalike wamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu) amechukua Tuzo ya Best Movie East Africa kupitia movie yake ya Mapenzi na Single Mtambalike amechukua Tuzo ya Best Indigeous Language Movie/TV Series Swahili kupitia Movie ya Kitendawili

KAMA HUKUJUA JAY Z NA BEYONCE WAMEBWAGANA

LAYIII
Bonyeza picha kuiona video ya jay metty

Bado taarifa zinaendelea kuitafuna familia ya Carters, na uvumi mkubwa ni kwamba huenda vipepeo hawa wawili yani rapa Jay z na Beyonce wamemwagana na kupeana talaka.
Kwenye sherehe ya kuzaliwa ya rafiki wa Beyonce,

advertise here