Monday, 14 September 2015

BAADA YA KUSHINDA PAMBANO LA 49, FLOYD MAYWEATHER ANAACHANA NA MCHEZO WA NGUMI??

LAYIII
Bondia Floyd Mayweather ni jamaa mwenye rekodi nzuri ambayo ameijenga kwa kipindi chote cha miaka yote 19 aliyoitumia kwenye mchezo wa ngumi..Usiku wa kuamkia leo September 13 2015

Sunday, 13 September 2015

HIKI NDICHO KILICHOWAKUTA ESPANYOL WALIPOCHEZA NA REAL MADRID LEO

layiii

Ligi kuu ya Uhispania imeendelea leo baada ya mapumziko ya kupisha mechi za kimataifa kumalizika, Real Madrid walisafiri mpaka jijini Barcelona kwenda kucheza na Espanyol.

NIMEKUSOGEZEA MATOKEO YA ARSENAL VS STOKE NA MAN CITY VS CRYSTAL PALACE

layiii
Baada ya mchezo wa mchana kati ya Chelsea vs Everton, Barclays Premier League imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti nchini Uingereza.

MATOKEO YA MAN UTD VS LIVERPOOL NIMEKUWEKEA HAPA

layiii
Ule mtanange uliokuwa unasubiriwa kwa hamu baina ya wapinzania wa jadi wa ligi kuu ya Uingereza, vilabu vya Manchester United dhidi ya Liverpool umepigwa usiku huu.

Saturday, 12 September 2015

JINSI SINGLE YA ROMA ILIVYOZUILIWA KUCHEZWA KTK VITUO VYA HABARI

LAYIII 
.
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop kutokea 96.0 (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya ilizuiliwa kwenye baadhi ya vituo vya radio nchini.
Msanii huyo alipokutana na ripota wa millardayo.com aliweza kuelezea sababu

PAMBANO LA KESHO LA FLOYD MAYWEATHER LINAUZA? PROMO HAKUNA? TIKETI JE?

layiii

Pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao May 02 2015 lilivunja rekodi nyingi ikiwemo ya mauzo ya Ticket, ticket ziliuzwa kati ya Dola 1,500 na Dola 10,000 lakini ndani ya saa mbili tu ziliuzika zote !!

Thursday, 10 September 2015

DK MAGUFULI AKABIDHIWA FIMBO YA NYERERE

LAYIII

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara

Tuesday, 8 September 2015

GWAJIMA ATEMA NYONGO AMWANIKA DOKTA SLAA HADHARANI NI KATIKA BZ MORNING YA MAGAZETI YA LEO

LAYIII
.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Septemba 9,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya

JINSI GWAJIMA ALIVYO MJIBU DOKTA SLAA

LAYIII
Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa kutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, baada ya siku kadhaa kutoonekana kwenye Mikutano pamoja na Viko vya CHADEMA pamoja na Vyama vya UKAWA, stori ambazo zinamtaja yeye bado

TAARIFA KUTOKA OFISI YA TAKWIMU KUHUSU MFUMUKO WA BEI MWEZI AGOST 2015

LAYIII

#RIP mtu mfupi zaidi Duniani, anaefatia kushika rekodi hiyo ??( na millardayo)

layiii
Headlines zilibeba stori kubwa November 13 2014 kuhusu Sultan Kosen, raia wa Uturuki ambae ndio mtu mrefu zaidi Duniani pamoja na Chandra Dangi Raia wa Nepal ambaye alikuwa anashikilia

50 CENT KATIKA HEADLINE TENA ATANGAZA KUISHI KATIKA NYUMBA YAKE ILIYOPO AFRIKA

LAYIII
50 Cent siku zote ni mtu wa masuprise tu mtu wangu, mwezi July rapper huyo alitangaza kuwa amefilisika na idadi ya mali nyingi alizonazo si zake bali ni mali za mkopo, badaae tukasikia kuwa

Monday, 7 September 2015

Magazeti ya Tanzania Septemba 8, 2015.. Udaku, michezo na hardnews ! (na millardayo)

layiii

.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Septemba 8,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada

HAHAHAHA KWELI UKOMEDI UNAMPELEKA KINGWENDU BUNGENI

LAYIII










Mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe kupitia Cuf, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ juzi alikuwa kivutio wakati akitambulishwa na mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri, Juma Duni Haji.

Saturday, 5 September 2015

POLICE WAKIMBIA KUMUOKOA MTOTO ALIYEKUA KAFUNGIWA KWENYE GARI

layiii

Team ya polisi huko Oakland, California walipigiwa simu na wananchi baada ya mtoto mchanga kuonekana akiwa kaachwa kwenye gari na madirisha yakiwa yamefungwa. Ili

MATOKEO YA MECHI YA TAIFA STARS VS NIGERIA

layiii
Timu ya taifa ya Tanzania na Nigeria September 5 zimekutana kucheza mechi ya kuwania tiketi ya kufuzu kucheza AFCON 2017, ikiwa ni zaidi ya miaka 20 toka zikutane katika mechi za mashindano. Nigeria inayonolewa na kocha mzawa Sunday Oliseh ndio imecheza mechi ya kwanza

SEX ROSE YA P SQURE NA MR FLAVOUR NI SHIDAAA

LAYIII
Staa wa Nigeria Mr.Flavor amewashirikisha mastaa wawili mapacha wanaounda kundi la P square katika video yake mpya inayoitwa ‘Sexy Rosey’.
Video imeongozwa na Godfather.

FIRST ELEVEN KWA TEAM ZOTE MBILI TAIFA STAR NA NIGERIA

LAYIII

Kabla ya mechi kuanza naomba nikusogezee first eleven ya timu zote mbili. Taifa Stars Vs Nigeria, mechi itakayopigwa muda mchache kuanzia hivi sasa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

advertise here