Thursday, 6 August 2015

HAWA NDIO WATU WABISHI NCHINI CHINA MTU WANGU

LAYIII

p>Ukijua sheria na haki yako ni rahisi kudai na kusimamia msimamo wako kiuhalali kabisa. Hali ndivyo ilivyo kwa wamiliki wa nyumba nyingi huko China ambao wengi ni wabishi hasa nyumba zao zinapotakiwa kubomolewa kupisha miradi mbalimbali.
Je hapa kwetu watu wanajua sheria na taratibu zao? Picha hapo chini zinaonyesha nchi ya kikomnisti ya China. Je nchi za kidemokrasia kama tunavyojiita unaweza kufanya hivi?
nail-house-china-2-v3

Mmiliki wa jengo hilo Luo Baogen, 67, akiwa na mkewe mwenye miaka 65 wamekuwa wakipambana kwa miaka minne ili waweze kupata dola za kimarekani 41,300 kutoka serikali kufidia jengo hilo ili waweze kuondoka hapo. Hali hiyo inaitwa nyumba misumari kwakuwa inakuwa ngumu

MTOTO WA DIAMOND PLATNUMUZ AANZA MAISHA YA KISTAA AKIWA HAJAFIKISHA HATA SIKU MBILI TOKA AZALIWE

LAYIII
 11242009_1478721399110318_1864035948_n (1)
Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata kwenye midomo ya watu wanaofuatilia burudani barani Afrika.

Wazazi wake mwenyewe wanamuita ‘The Next Most Famous Daughter in Africa.’ Kwa ukubwa wa Diamond Platnumz na mama yake Zari Ttale, hakuna ubishi kuwa Tiffah ana kila sifa ya kuja kuwa ‘binti maarufu zaidi barani Afrika.
Ikiwa ni saa chache tu tangu kuzaliwa kwake, akaunti yake ya Instagram iliyofunguliwa imefikisha followers zaidi ya 16,000.
Picha yake ya kwanza kuwekwa kwenye akaunti hiyo ina zaidi ya comments 860.

WASANII WASUSA MWALIKOWA TCRA

LAYIII

?
?
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)  leo Aug 06 waliwaalika wanamuziki wa Tanzania kwa ajili ya semina ya namna ya kuziweka salama akaunti  zao za mitandao ya Kijamii  baada ya

Maneno ya TCRA baada ya mahudhurio machache ya wasanii Aug 06 DSM.


 malalamiko yaliyoripotiwa na baadhi ya wasanii kuhusu

Wednesday, 5 August 2015

TWEET ZINAZOSEMEKANA KUWA NI ZA YULE ALIYEKUWA GAVANA MKUBWA WA FEDHA (BALALI) ZAONEKANA ( NOT CONFIRMED)

LAYIII
Tukiwa katika vugu vugu la uchaguzi mkuu huku tukiahidiwa na mweshimiwa lowassa kuwa akipata fursa atatuletea yule aliye kuwa gavanna wa fedha tanzania leo nimekuletea baadhi ya tweet zinazosemekana kuwa ni za mheshimiwa balali
 Zipo baadhi ya tweet zinazo wataja baadhi ya viongozi wakubwa serikalini kuhusiana na sakata la escrow lakini kulingana na swala zima la uhakika nimeziweka kapuni ikifikia wakatizitatoka tu hewani

Tuesday, 4 August 2015

SHUDIA MSAFARA WA POMBE MAGUFULI ALIPOKUWA AKIENDA KUCHUKUA FORM LEO

LAYIII
Screen Shot 2015-08-04 at 7.54.29 PM


Ni baada ya Chama cha mapinduzi kumteua John Magufuli kuwa mgombea wa urais wa Tanzania leo ilikuwa ni siku ya kuchukua fomu Tume ya taifa ya uchaguzi mwaka 2015



BEKI HUYU MBIONI KUINGIA MAN U ..NI BAADA YA KUPOTEZA MATUMAINI YA KUMPATA RAMOS

LAYIII
Klabu ya Manchester United imekuwa ikimuwania beki wa Real Madrid ya Hispania Sergio Ramos kwa muda mrefu licha ya kuwa Real Madrid walikataa kumuuza beki huyo kwenda Manchester United kwani bado walikuwa wanahitaji  huduma yake. Man United walikuwa na matumaini ya kumsajili Ramos baada ya yeye kukiri kutokuwa na furaha Real Madrid.
1418670996_extras_noticia_foton_7_0
Baada ya Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez kutangaza kuwa wamefikia makubaliano ya kuongeza mkataba na Ramos, Man United wamebadili mawazo yao na kukubali yaishe

THAMANI YA VIPODOZI VILIVYOTEKETEZWA NA TFDA KWA MWAKA 2014/2015 HII HAPA

LAYIII

fekiiii
Mmlaka ya chakula na Dawa TFDA imeatoa ripoti ya mwaka wa fedha kuhusu bidhaa mbalimbali zilizokamatwa na kuteketezwa kwa mujibu wa sheria na hatua zilizochukuliwa.
Mkurugenzi wa TFDA Hitti Sillo amesema  katika mwaka wa fedha wamekamata na kuteketeza vipodozi ambavyo vimepigwa marufuku tani 16.61 ambazo thamani yake ni shilingi milioni 44.2

KAMA HUKUONA AU KUSKIA KUHUSU MWAFRIKA ALIYE VULIWA NGOZI NYEUSI NA KUVISHWA NYEUPE ILI AWE MZUNGU ONA HAPA

LAYIII

See wonderful Russian Laboratory has invented a way to remove the black Skin layer of black People

 ADD US ON BBM 56899A10
This is unbelievable and yet real. According to a publication of the Moscow Faculty of Sciences , researchers have developed a chemical process to « w

KIJASHO KIDOGO CHAMTOKA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA KISA KUMBEBA LOWASSA UKAWA

LAYIII

Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea UKAWA.

ILI KUHAKIKISHA HAUPITWI NIMEKUWEKEA PICHA ZOTE ZA MKUTANO WA CHADEMA HAPA MLIMANI CITY UNAO FANYIKA LEO 4/8/2015

LAYIII
2X6A9160
Headlines nyingine zilianza kuandikwa Tanzania kwenye Siasa 2015, ambapo July 28 2015 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli alikaribishwa CHADEMA na kupewa Kadi za Uanachama yeye pamoja na mkewe, Mama Regina Lowassa.

Monday, 3 August 2015

BREAKING NEWS!!! MAAMUZI MAGUMU YA CHADEMA DHIDI YA DR SLAA

LAYIII







Hatimaye baraza kuu la Chadema limeridhia kusimama kwa muda kufanya kazi za chama aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho Dr Wilbrod Slaa.
Ni kishindo cha baraka za baraza kuu la Chadema likiridhia kupumzika kwa Dk Wilibroad Slaa ambaye tangu kujiunga kwa wazir mkuu mstaafu Edward Lowassa amekuwa hao

Saturday, 1 August 2015

HII NDIO JEURI YA MOURINHO KWA WENGER

LAYIII

Mourinho_Wenger_he_3394228b
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho ameingia tena kwenye headlines kwa kauli zake anazozitoa kuelekea mchezo wa Ngao ya Hisani, Chelsea itakutana na Arsenal August 2 saa 11 jioni kwenye uwanja wa Wembley wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 90,000. Mourinho ambae anajulikana

KAMA HUKUJUA MZUNGU NAYE ALIKUWA NYANI BASI HIZI NDIYO PICHA ZAKE ENZI HIZO

LAYIII

KAULI HII NDIO INAYO MMALIZA LOWASA KABISA

LAYIII





WATANZANIA TUJIPANGE KUMPINGA LOWASSA KWA NGUVU ZOTE.

Ni napenda kuungana na watanzania wote hususani wanachama wa vyama vinavyounda

KIJANA WA MIAKA 12 NUSURU AMEZWE NA CHATU

LAYIII
dah noma sana huu mtindo jamani utaisha lini eti mtu unampiga picha BADALA  ya kuokoa dah it's hurt me alot jaman , kama unaona huwezi kuokoa acha ushamba fanya uwezavyo

Amezwa na Nyoka aina ya Anaconda

Friday, 31 July 2015

HII NDIYO KAULI YA KIKWETE KUHUSU LOWASSA KUHAMA CHADEMA

LAYIII

 

BATA ALIYOKULA VEE MONEY SOUTH AFRIKA YALETA GUMZO MJINI

LAYIII
Screen-Shot-2015-07-30-at-2.17.13-PM-600x362

Utapenda kuona matembezi aliofanya VeeMoney Johannesburg South Africa. (Pichaz)

DR SLAA AJIBU MAPIGO TUHUMA ZA KUHAMA CHADEMA

LAYIII
Uchambuzi wa magazeti umekupita? Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.

Lowassa na Urais CHADEMA, Dk. Slaa?, BVR Dar? Lembeli na Esther Bulaya? Jangwani.. Majibu yako hapa (Audio)

the_news_today_EN
Uchambuzi wa magazeti umekupita? Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.

Thursday, 30 July 2015

TUKIWA KATIKA HARAKATI ZA UCHAGUZI KIGOGO AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA.... NAYO CHADEMA YAZIDI KUPAAA KATIKA ANGA YA SIASA

LAYIII

This is very big shame for our country due to these day to day events, most of our leaders are not trustful thus why tried to participate in this dangerous business that destroy our human resources

LOWASSA GUMZO OFISI ZA CHADEMA

LAYIII
Aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa amechukua Fomu rasmi ya kugombea urais kupitia tiketi ya Chadema.
Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu amesema baada ya kuchukua fomu hizo Lowassa atakuwa tayari kuzunguka nchi nzima kujitambulisha kwa wananchi kama mgombea rasmi wa Chadema.

advertise here