Friday, 31 July 2015

DR SLAA AJIBU MAPIGO TUHUMA ZA KUHAMA CHADEMA

LAYIII
Uchambuzi wa magazeti umekupita? Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.

Lowassa na Urais CHADEMA, Dk. Slaa?, BVR Dar? Lembeli na Esther Bulaya? Jangwani.. Majibu yako hapa (Audio)

the_news_today_EN
Uchambuzi wa magazeti umekupita? Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.
Iko stori ya Mbunge Edward Lowassa kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa kishindo cha ajabu, amesema anatimiza maneno ya Baba wa Taifa Mwl. Nyerere, Tundu Lisu afichua usaliti wa Lowassa kwa CCM… Dk. Kalokola asema Lowassa anatia mashaka.
Raia wa kigeni 2048 waliojiandikisha na BVR wamekamatwa na Idara ya Uhamiaji na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao Mahakamani… James Lembeli na Esther Bulaya wameshinda kura za maoni kuwania nafasi ya Ubunge na NEC wameongeza siku nne kukamilisha zoezi la uandikishaji BVR Dar.
Dk. Wilbroad Slaa akanusha taarifa zinazosema kuwa amejiondoa CHADEMA, Bumbuli wamzomea mgombea Ubunge… ADC kutangaza mpinzani wa John Magufuli na Edward Lowassa August 5 kwenye kugombea Urais.
Wamachinga wagoma kuhama Jangwani kwa kudai kuwa wanachokifanya Serikali ni uonevu… Unahitaji kusikiliza Ucuhambuzi wote? Unaweza kuplay hapa uzisikilize zote kutoka #PowerBreakfast @CloudsFM.

 



No comments:

Post a Comment

advertise here