LAYIII
Klabu ya
FC Barcelona ya
Hispania ambayo ipo
Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu
Hispania imezidi kujenga uhusiano mzuri na
NBA…
Barcelona siku chache zilizopita ilimualika mkali wa
Basketball anayeichezea
Los Angels Lakers Kobe Bryant kutembelea timu yao wakati wa mazoezi sambamba
Pichaz za Wachezaji wa FC Barcelona walipokutana na mabingwa wa NBA, Iniesta, Busquet na Pique waliweza Basketball?

Pique
kushoto akiwa na kombe la NBA, Harrison Barnes katikati akiwa na kombe
la URFA na Busquet kulia akiwa na mpira wa Basketball
Klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo ipo Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Hispania imezidi kujenga uhusiano mzuri na NBA… Barcelona siku chache zilizopita ilimualika mkali wa Basketball anayeichezea Los