SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU

Akikiri aliandika: Mimi na mwanangu katika hafla ya St. Baldtricks huko Wichita Kansas.
Baba wa miaka 28 nchini Marekani
amenyoa kichwa chake na kuweka mchoro wa tatoo unaofanana na kovu la
kichwa cha mwanawe aliyefanyiwa upasuaji.
Josh Marshall,ambaye
anatoka Kansas aliingia katika shindano la kila mwaka linaloendeshwa na
shirika la hisani kuhusu saratani ya watoto na kushinda taji la
#BestbaldDad{baba mwenye kipara kizuri} wikendi iliopita.Akikiri aliandika: Mimi na mwanangu katika hafla ya St. Baldtricks huko Wichita Kansas.