Thursday 23 June 2016

KAAMKA NA NYOKA KITANDANI

BONYEZA HAPA SUBSCRIBE KUONA VIDEO KALI KILA SIKU
https://www.youtube.com/watch?v=Wi8fn43BXLM
Nyoka mkubwa ambaye alikuwa akiishi katika dari ya nyumba moja nchini Australia kwa takriban miaka 10 sasa ameamua kuingia katika chumba cha kulala.
Mwenye nyumba hiyo Trina Hibberd kutoka eneo la Queenland aliamka siku ya jumatatu na kumuona nyoka huyo mwenye urefu wa mita 5.2 amejipinda katika kitanda chake.
Aliwasha taa ya chumba hicho kabla ya mtaalam wa kushika nyoka Dave Goodwin kuwasli.

Bw Goodwin aliidunga sindano ya kulala nyoka hiyo yenye kilo 40 kabla ya kuiweka katika mkono wake na kuondoka nayo.

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA MWANAMKE MCHAWI BASI BONYEZA NA PLAY HAPA MTU WANGU

No comments:

Post a Comment

advertise here