Thursday 23 June 2016

KUMBE HONG KONG NDO MJI WA GHALI DUNIANI

BONYEZA HAPA SUBSCRIBE HUTAPITWA NA VIDEO KALI
https://www.youtube.com/watch?v=mTFQTl-J334
Mji wa Hong Kong ndio mji ghali zaidi duniani baada ya kuupiku mji wa Luanda, Angola kulingana na wafanyikazi wa kimataifa katika utafiti wa kila mwaka unaofanywa na shirika la Mercer.
Luanda ambao ulikuwa unaongoza orodha hiyo katika siku za hivi karibuni ulishuka kufuatia kudhoofika kwa sarufi yake.
https://www.youtube.com/watch?v=mTFQTl-J334
Mji wa Zurich na Singapore ni ya tatu na nne mtawalia katika orodha hiyo ikiwa haijabadilika kwa mwaka mmoja sasa.
Mji wa Tokyo sasa umepanda hadi nafasi ya tano.https://www.youtube.com/watch?v=mTFQTl-J334Utafiti huo unalenga kampuni zinazotakiwa kuhesabu marupurupu ya wafanyikazi wa kimataifa.https://www.youtube.com/watch?v=mTFQTl-J334Umepima gharama ya kuishi kwa takriban mataifa 209 duniani,ikilinganisha gharama ya viti 200 katika kila eneo ikiwemo,bei ya nyumba ya kuishi,uchukuzi,chakula na burudani.

No comments:

Post a Comment

advertise here