Tuesday, 31 May 2016

WOLPER KUMBE MKONGO ALIMLIA PESA BALAA

LIKE PAGE YETU HAPA

https://youtu.be/XHwdwvBHJxYMsanii wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.

Akiongea katika promo ya kipindi kipya cha Take One ambacho kinatarajiwa kuruka Jumanne hii, Wolper amedai yeye ndiye aliyetendwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake, kwani wakati anaanza naye mahusiano alikuwa ana gari na nyumba lakini baadae akijikuta hana hata sehemu yakulala.

DIAMOND PLATNUMZ | HAKUNA RECORD LEBAL YA KUNISAINISHA TANZANIA WATANILIPA NINI AMBACHO SIJAFANYA

LIKE PAGE YETU HAPA
Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti.

“Mimi nimeshaapprochiwa na makampuni mengi sana kutaka kunisaini, mengi sana, mengi hata wanayoyasikia, mengine wanayasikia,” Diamond ameiambia 255 kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.

“Lakini nafikiria kwamba unapotaka kunisaini mimi unataka kunifanyia nini? Una kitu gani cha kunioffer cha kuona mimi unisaini? Video? Mimi naweza kufanya video zangu hadi za wasanii

Monday, 30 May 2016

WEMA AJIBU MAPIGO AKITEMBEA NA BAJAJI INAWAHUSU NINI??? GIGY KUMCHANA SHILOLE MAUNO

LIKE PAGE YETTU HAPA
WEMA2
STORI: Imelda Mtema, Wikienda STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine

LULU DIVA AMGEUKIA BELLE 9 / NAY KUCHEPUKA

LIKE PAGE YETU HAPA
lulu la diva (6)Lulu Diva

SIYO siri tena! Baada ya mkali wa Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuchepuka kwa msichana wa Kihabeshi mwenye asili ya Ethiopia, aliyekuwa mpenzi wake Lulu Abass ‘Lulu Diva’ naye ameamua kugeukia kwa staa wa muziki, Abedinego

Sunday, 29 May 2016

BASI LA MWENDOKASI LIMEPATA AJARI

LIKE PAGE YETU HAPA 
BONYEZA PICHA HII KUIONA VIDEO YA AJARI HUSIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKiC4Ay3lwbPKfVUCJEU8RzeKZ53SupZeA6zadhyphenhyphen4MQyfTualgblTM_rTYAwr4FmzgUUdXe3a7F4GBXHVpBLwbyGJxhQhjqQm6yccwO7A6OScsS_UaDtuViKw_4Yx7BqYoIJ6O66y3moMd/s1600/IMG_20160418_114236.jpgKwa taarifa iliyoifikia leo asubuhi ya May 29 2016 ni ajali iliyohusisha moja kati ya Mabasi yaendayo haraka na gari ndogo aina ya Vitz New Model eneo la Magomeni Usalama Jijini Dar es Salaam baada ya gari hizo kugongana, tunazifuatilia taarifa zaidi na nitakuwekea hapa hapa 

Friday, 27 May 2016

KISA CHURA SNURA ANUSULIKA KICHAPO

Bonyeza picha hapo chini kushuhudia video kali ya chura hapo
snuraSTAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Chura’ juzikati akiwa kwenye shoo iliyofanyika Masasi, Mtwara alijikuta katika wakati mgumu baada ya kutaka kupigwa na mashabiki kisa kikiwa eti ni kutokuimba Wimbo wa Chura ambao umefungiwa.
Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo lilijiri mida ya usiku katika ukumbi mmoja maarufu uliopo Masasi ambapo Snura alikuwa akifanya shoo hapo na alipotaka kumaliza, mashabiki walimtaka amalize na Wimbo wa Chura ndipo kizaazaa kilipoanzia na kutaka kumpiga

ALI KIBA KUTAMBULISHA WASANII WALIOKO CHINI YA LEBAL YAKE

LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza  picha kumskiliza alikiba kwa njia ya video hapa
https://www.youtube.com/watch?v=7lS96yn7FwcHivi unajua kama Ali Kiba aliwahi kuwasimamia wasanii kadhaa chini ya ‘label’ yake kama tunavyoona kwa baadhi ya wasanii wa hapa nchini kwa sasa,iliishia wapi ana mpango wa kurudi tena kusimamia wasanii.

’Hivi vitu nilikuwa navyo muda mrefu ila havikuwa ‘promoted’unajua vitu vyangu vingi huwa vinakuwa kimyakimya nilikuwa na wasanii wengi lakini nilivyopumzika kufanya muziki kipindi kile ilibidi niwapumzishe kwasababu ya vitu ambavyo vilitokea nilichukua likizo, na sasa ili niweze kukaa sawa ndio lazima waweze nao kufanikiwa katika vitu vyao vya muziki, siwezi mimi nikawa nimepumzika halafu mashabiki wakawa wamenimis halafu nikamtoa msanii na watu wanielewa,

WANASAYANSI WA CHINA WANATUMIA NGURUWE KUTIBU UPOFU

LIKE PAGE YETU HAPA 
https://youtu.be/v3D2frsodIk
Wanasayansi wa Uchina wamefaulu katika tiba yao mpya ya majaribio ya kutibu upofu.
Walitumia nguruwe katika majaribio hayo ya tiba ya kuondoa upofu, ambapo walitumia konea kutoka kwa wanyama hao.
Sasa wamesema wana imani kwamba hilo litafaa sana kutokana na uhaba wa konea za binadamu.
Inakisiwa kuwa Wachina wapatao 5 milioni wanakabiliwa na matatizo ya konea, sehemu ya mbele ya jicho iliyo ngumu na inayowezesha miali ya mwanga kupenya.
Lakini ni konea 5,000 pekee ambazo hupatikana kila mwaka.

Klabu ya soka yafungwa mabao 44 Ecuador

LIKE PAGE YETU HAPA
Pelileo Sporting Club
Klabu moja ya soka nchini Ecuador imepata ushindi mkubwa ambao ukiidhinishwa basi itakuwa rekodi mpya ya ufungaji mabao duniani.
Klabu hiyo ya Pelileo Sporting Club ilicharaza Indi Native mabao 44-1 katika mechi ya ligi ya daraja la tatu nchini humo mbele ya mashabiki 200.
Mshambuliaji wa Pelileo Ronny Medina alifunga mabao 18.
Rais wa Indi Native Diego Culequi amesema matokeo hayo hayakutarajiwa na wachezaji hawakuwa wamezoea joto kali ambalo anasema lilichangia kushindwa kwao.
Mwandishi wa habari Mwingereza Tim Vickery, ambaye amekuwa Brazil kwa miaka 20, amesema Bon Accord kwa sasa wamejadiliwa sana katika vyombo vya habari Ecuador.

ANG'ATWA UUME NA NYOKA UKO THAILAND

LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha hii kujiunga na BZTV
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/270/amz/worldservice/live/assets/images/2016/05/27/160527075819_thai_python_512x288_ap_nocredit.jpg
Raia mmoja wa Thailand anaendelea kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu kutokea ndani ya choo na kumng'ata uume wake.
Attaporn Boonmakchuay,ambaye alipoteza damu nyingi amesema kuwa nyoka hiyo ilikuwa ikimvuta baada ya yeye na mkewe kujaribu kuipiga.
Madaktari wanasema kuwa Bw Attaporn ambaye alipoteza damu nyingi anaendelea vyema na

Tuesday, 24 May 2016

CHINA HATUUZI NYAMA ZA BINADAMU AFRIKA

LIKE PAGE YETU HAPA
https://www.youtube.com/watch?v=7lS96yn7FwcWizara ya maswala ya kigeni nchini China imekana ripoti kwamba kampuni za chakula nchini humo zinaweka nyama ya binaadamu na kuuza barani Afrika kama nyama ya ng’ombe.

Chombo cha habari nchini humo Xhinua kimesema kuwa jarida moja nchini Zambia lilimnukuu kimakosa mwanamke mmoja ambaye hakutajwa anayeishi China.

Alisema kuwa kampuni za China zilikuwa zikichukua miili ya wafu kuitia katika viungo na kuiweka katika mikebe.
Msemaji wa China Hong Lei amesema kuwa ripoti hizo hazina uwajibikaji.

Balozi wa China nchini Zambia,Yang Youming ,amesema kuwa ripoti hizo zililenga kuharibu

WAZIRI MKUU MSTAAFU AKIWA KATIKA KIBANDA CHA MPESA AKISUBIRI MUHAMALA WAKE




Waziri Mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda akiwa kibanda cha MPESA akisubiri kupokea malipo ya muamala wake. Hii ni mara ya kwanza kwa mtu aliyepata kuwa kiongozi mkubwa serikalini kuonekana hadharani akitumia huduma ya kutoa fedha kwa njia ya simu. Kwangu naona ni mfano bora kwa viongozi, kuishi REAL. 

ALI KIBA NA KAMPUNI YA SONY .VIJUWE VIJEMBE JUU YAKE VINAVYOENDELEA

LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
bonyeza hapa kuiona interview ya king kiba hapa
https://citizentv.co.ke/wp-content/uploads/2015/07/Ali-Kiba.jpgMuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania unazidi kupata nafasi ya kuwa muziki mkubwa duniani.Hii ni baada ya msanii Ali Kiba kusaini mkataba na kampuni ya Sony , kampuni inayojihusisha na kazi ya kusimamia wasanii.Baadhi ya wasanii wengine wakubwa wa kimataifa waliosimamiwa na Sony ni

Monday, 23 May 2016

SPIKA.. KUNA WA BUNGE WANAINGIA BUNGENI AKIWA WAMETUMIA VILOBA NA POMBE

LIKE PAGE YETU HAPA
https://www.youtube.com/watch?v=cQFl2V9IFUAKama unashangaa kusikia kwamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, ametimuliwa kwa kuingia bungeni akiwa amelewa.

Bila shaka utachoka zaidi ukisikia kuna wabunge kadhaa huingia kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wametumia vilevi vikali zaidi vikiwamo bangi, viroba na dawa za kulevya.

Spika wa Bunge, Job Ndugai, ndiye aliyefichua siri hiyo jana.

Kutokana na hali hiyo, Ndugai alisema sasa wanafikiria kuweka vifaa maalumu vya kupima ulevi kwa watunga sheria hao na kutafuta wataalamu wa ushauri nasaha watakaowapa msaada wa kisaikolojia.

Sunday, 22 May 2016

AFANYA JARIBIO LA KUJIUA KWA KUJITUPA KATIKA SHOMO WALIMOJAA SIMBA

LIKE PAGE YETU HAPA 
BONYEZA PICHA HII KUSUBSCRIBE NASI YOUTUBE 
mountian lion tearing apart bloodied deer carcaus

ALI KIBA NA DIAMONDPLATNUMZ KIMENUKA TENA

LIKE PAGE YETU HAPA
Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mafahari wawili wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutupiana vijembe vya kufa mtu baada ya kuwepo kwa madai ya Kiba kuhujumiwa.

Kwa mujibu wa chanzo makini, ili kuweka hujuma ya kibiashara, hivi karibuni, pamoja na kukanusha mara kadhaa kutokuwa na tatizo na Kiba, Diamond alidaiwa ‘kutengeneza’ kwa makusudi penzi la mwigizaji Jacqueline Wolper Massawe na msanii wa Wasafi Classic Baby (WCB), Rajabu Abdulhan ‘Harmonize’ kisha kuvujisha video ya uhusiano huo mpya siku ambayo Kiba alikuwa akiuachia wimbo wake mpya wa Aje (Jumamosi iliyopita), lengo likiwa kuhamisha upepo mashabiki kutoka

VOLKANO IMEUWA WATU SABA

LIKE PAGE YETU HAPA
BONYEZA picha hii subscribe kuona tukio lingine la mauwaji
https://www.youtube.com/watch?v=8B2S3rtS304&feature=youtu.be
Idadi ya watu waliofariki kufikia sasa Nchini Indonesia imepata na kufikia saba.
Watu hao wamefariki na wengine kadhaa kupata majeraha mabaya baada ya kuchomwa na gesi iliyochangamana na moshi wa volkeno baada ya mlima

Saturday, 21 May 2016

NIMEKUSOGEZEA PICHA YA NYOKA MKUBWA ALIYEWAHI KUTOKEA DUNIANI

LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha yoyote kuona video live
https://youtu.be/Wi8fn43BXLM

BUSU A PENNY IMEACHA MASWALI

LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK
https://youtu.be/_2xr9mgpj4s
Busu ambalo mtangazaji Peniel Mungilwa ‘Penny’ amempiga mwigizaji Shamsa Ford limezua utata kufuatia watu kumhusisha na tabia isiyofaa.

Hayo yalijiri hivi karibuni baada ya mtangazaji huyo kutupia picha kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram ndipo wafuasi wa mtandao huo walipoanza kumsema vibaya wakidai anajiabisha kwa

MAZUNGUMZO YA AMANI BURUDI KUFANYIKA ARUSHA

LIKE PAGE YETU  FACEBOOK HAPA
Bonyeza picha hii kuiona video ya kenya ya vurugu zilizokuwa zikiendelea
https://www.youtube.com/watch?v=W_4hDe0dH5s
Mazungumzo ya amani kuhusu Burundi yameanza mjini Arusha, Tanzania, baada ya kuahirishwa mara kadha.
Serikali ya Burundi, na baadhi ya viongozi wa upinzani wanahudhuria mazungumzo hayo, ambapo mpatanishi ni rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa.
Lakini kundi kuu la upinzani halikujumuishwa, kwa sababu serikali imesema, haitozungumza na watu, inaowaona kuwa wapiganaji.
Mamia ya watu wameuwawa nchini Burundi, tangu Rais Pierre Nkurunziza kuamua kuania muhula

advertise here