Thursday, 31 March 2016
Wednesday, 30 March 2016
NI MENGI YAMEZUNGUMZWA KUHUSU FREEMASONI NDANI YA TANZANIA ILA LEO JUA ZAIDI KUHUSU JAMII HII YA SIRI NA NANI WASHIRIKI
LAYIII

HISTORIA KWA UFUPI
Freemason ni shirika ambalo mambo yake ni siri kuu. Mimi nilifanya utafiki kwenye mitandao, nikafatilia historia yao kama inavyoonyeshwa mara kwa mara kwenye makala za historia katika televisheni za magharibi pamoja na kuongea na watu waliofuatilia kwa karibu mambo yao.
Kwenye maelezo yao kwa nje Free masons wanajitangaza kama shirika zuri tu.

MWANAMKE MBARONI KWA TUHUMA ZA PEMBE ZA NDOVU
LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUSKIA SAUTI YA MTOTO HAPPY
BONYEZA PICHA HII KUSKIA SAUTI YA MTOTO HAPPY
Jeshi
la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mwanamke mmoja Magreth Mosha
mkazi wa Kibaha mkoani Pwani kwa tuhuma ya kupatikana na vipande saba
vya meno ya tembo.
Jeshi
hilo pia linamshikilia Bw. Hamis Balewa mkazi wa kijiji cha Mbasa
wilayani Malinyi kwa kukutwa na nyama ya sheshe kilo ishirini zenye
thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja.
JUA SABABU YA KWANINI KIATU CHA LIONEL MESSI KILIVYO WAKERA WAMISRI
LAYIII
BONYEZA PICHA YOYOTE KUSKILIZA SAUTI YA MTOTO HAPPY

Messi na mtanagazaji aliyempatia viatu vyake
Kisa hicho kinajiri wiki chache baada ya Messi kupongezwa kwa kutimiza ndoto ya kijana mmoja wa Afghanistan alipomtumia boli na fulana yake.
BONYEZA PICHA YOYOTE KUSKILIZA SAUTI YA MTOTO HAPPY
Messi na mtanagazaji aliyempatia viatu vyake
Mchezaji maarufu wa soka duniani
amepeana viatu vyake vya kusakata soka katika mnada wa hisani,bila kujua
kwamba hatua hiyo huenda ikawakera wengine.
Hicho ndio kisanga kilichompata nyota huyo wa Barcelona alipotaka kupeana viatu vyake huko Misri.Kisa hicho kinajiri wiki chache baada ya Messi kupongezwa kwa kutimiza ndoto ya kijana mmoja wa Afghanistan alipomtumia boli na fulana yake.
KITUNGUU SWAUMU HUTIBI ZAIDI YA MAGONJWA 25 SOMA MAKALA HII
LAYIII
Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa
kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni
maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza
kubadilisha afya
na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa
na viinilishe vingi na mhimu sana kwa afya ya binadamu ni kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu ni dawa karibu kwa kila
Kitunguu swaumu
VIJUE VIDONDA VYA TUMBO KWA MAMA MJAMZITO
Vidonda vya tumbo kwa mama mjamzito
Mwanamke mjamzito anaweza kupata vidonda vya tumbo kabla au baada ya ujauzito. Hata hivyo tafiti nyingi zinathibitisha idadi ya wanawake wajawazito wanaopatwa na vidonda vya tumbo kwa sasa ni ndogo sana.
Umakini unahitajika sana katika kumchunguza mama mjamzito ili kuelewa nini kitakuwa ndiyo chanzo cha vidonda vya tumbo kwake.
Mwanamke ambaye ulikuwa unaumwa vidonda vya tumbo hata kabla ya kushika ujauzito unaweza kuendelea kutumia baadhi ya dawa rafiki (hasa zitokanazo na vyakula na mimea) za kutibu au kuzuia dalili za
UKWELI KUHUSU UKIMWI
LAYIII

Fuatana nami katika makala hii ndefu, unaweza kuzima kabisa intaneti yako wakati ukiendelea kusoma.
‘’Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwakuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, Mimi nami nitawasahau watoto wako – Hosea 4: 6’’.
Ukimwi

Ukweli Kuhusu UKIMWI
ni maelezo yanayoipinga dhana inayosema ugonjwa wa UKIMWI husababishwa
na Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kupitia maandiko kadhaa ambayo
yameshaandikwa na wanasayansi wengine
DAWA MBADALA TISA(9) ZINAZOTIBU UTI
LAYIII
· 26/10/2014
U.T.I ni kifupi cha maneno ya kiingereza: ‘Urinary tract infections’,
ni maambukizi ya bakteria katika njia ya mkojo. Ni moja ya ugonjwa
unaowakumba sana wanawake kwa sehemu kubwa ingawa hata wanaume pia
wanapatwa na ugonjwa huu. Zaidi ya wanawake milioni 8 wanauguwa ugonjwa
huu kila mwaka nchini Marekani peke yake.
Kama ulishawahi kupatwa na U.T.I basi hutazisahau dalili zake ambazo mara nyingi huanza kwa hitaji la
· 26/10/2014
Dawa za U.T.I
Kama ulishawahi kupatwa na U.T.I basi hutazisahau dalili zake ambazo mara nyingi huanza kwa hitaji la
UJUWE UGONJWA WA UTI CHANZO NA MATIBABU YAKE
LAYIII

UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima. UTI ni kifupisho cha Urinary Tract Infection. Huu ni ugonjwa ambao hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili. Kwa kifupu ugonjwa wa UTI hushambulia viungo vinavyohusika katika

Tuesday, 29 March 2016
MAUMIVU WAKATI WA KUFANYA MAPENZI KWA MWANAMKE
LAYIII
MWANAMKE ACHEZA KIMAHABA OFISINI KWAKE MBELE YA WANAUME BONYEZA PICHA HII KUMSHUDIA
MWANAMKE ACHEZA KIMAHABA OFISINI KWAKE MBELE YA WANAUME BONYEZA PICHA HII KUMSHUDIA
Maumivu wakati wa kufanya mapenzi ni hali inayojitokeza hasa kwa wanawake. Hujulikana kwa kitaalamu kama.
dyspareunia. Maumivu haya yanaweza kutokea wakati wa kufanya mapenzi au baada ya kufanya mapenzi. Sababu kuu za maumivu haya mara nyingi ni magonjwa ya zinaa na kupungua kwa majimaji ukeni wakati wa ngono.

SANAMU YA MGOMBEA URAIS NCHINI MAREKANI DONALD TRUMP YACHOMWA MEXICO SIKUKUU YA PASAKA
LAYIII
BONYEZA PICHA KUSIKILIZA TUKIO LA MTOTO ALIYEKUWA AMEKUFA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU KUONEKANA NDANI YA NYUMBA YA TAJIRI MMOJA ANAYESADIKIWA KUWA NDUGU YAKE

BONYEZA PICHA KUSIKILIZA TUKIO LA MTOTO ALIYEKUWA AMEKUFA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU KUONEKANA NDANI YA NYUMBA YA TAJIRI MMOJA ANAYESADIKIWA KUWA NDUGU YAKE
Raia wa Mexico wanaosherehea sikukuu
ya pasaka wamekuwa wakichoma sanamu za mgombea wa kiti cha urais
kupitia chama cha Republicans Donald Trump.
Mojawapo ya tukio hilo
la kushangaza limefanyika katika kitongoji kimoja cha wakaazi walio na
kipato cha chini kiitwacho La Merced.NDEGE YATEKWA ILI MFUNGWA MMOJA ATOLEWE GEREZANI HUKO MISRI
LAYIII
JIUNGE NAMI YOUTUBE KUMSKILIZA YULE MTOTO ALIYE KAMATIKA AKIWA HAI AKATI KAZIKWA MIAKA MITATU ILIYOPITA BONYEZA PICHA YOYOTE HAPO CHINI
Ndege ya Egypt Air imelazimika kutua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Larnarca, Cyprus
baada ya Rubani kulazimishwa kufanya hivyo akiwa angani na ni baada ya
mtekaji huyo kumtishia kwamba anaweza kuilipua ndege kama asingefanya
anachoagizwa.
Anachokitaka abiria huyu mtekaji alietajwa kuwa Seif Eldin Mustafa ni pamoja na kuachiwa
JIUNGE NAMI YOUTUBE KUMSKILIZA YULE MTOTO ALIYE KAMATIKA AKIWA HAI AKATI KAZIKWA MIAKA MITATU ILIYOPITA BONYEZA PICHA YOYOTE HAPO CHINI
Anachokitaka abiria huyu mtekaji alietajwa kuwa Seif Eldin Mustafa ni pamoja na kuachiwa
ILIKUPITA HII YA WANARIADHA KULA SABUNI WAKIZANI NI CHAKULA BASI ISOME HAPA
LAYIII
Wanariadha waliokuwa wanakimbia mbio ndefu za marathon walijipata wamekula sabuni baada ya kudhania kwamba zilikuwa chakula kutokana na kukosa kuelewa lugha ya kiingereza.
Takriban wanariadha 20,000 katika mbio za Qinyuan marathon kusini mwa mkoa wa Guangdong nchini Uchina walipata zawadi mda mfupi baada ya kumaliza mbo hizo katika
MANENO YA MBEYA CITY BAADA YA TAARIFA KUHUSU JUMA KASEJA KUSAMBAZWA
LAYII
Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo inachezewa na golikipa wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga Juma Kaseja, mchana wa March 28 imeamua kuweka taarifa sawa kuhusiana na tetesi au uvumi uliokuwa unasambazwa mtandaoni kuhusuKaseja.
Subscribe to:
Posts (Atom)