Wednesday, 30 March 2016

NI MENGI YAMEZUNGUMZWA KUHUSU FREEMASONI NDANI YA TANZANIA ILA LEO JUA ZAIDI KUHUSU JAMII HII YA SIRI NA NANI WASHIRIKI

LAYIII


HISTORIA KWA UFUPI
Freemason ni shirika ambalo mambo yake ni siri kuu. Mimi nilifanya utafiki kwenye mitandao, nikafatilia historia yao kama inavyoonyeshwa mara kwa mara kwenye makala za historia katika televisheni za magharibi pamoja na kuongea na watu waliofuatilia kwa karibu mambo yao.

Kwenye maelezo yao kwa nje Free masons wanajitangaza kama shirika zuri tu.

WAMEBADILISHA MIILI YAO ILI KUFANANA NA KILE WANACHOKIPENDA MAAJABU MENGINE HAYA

LAYIII
BONYEZA PICHA YOYOTE HAPO CHINI KWENDA KUONA UPUUZI WA BAADHI YA WATU WANAVYOFANYA CHUKUA MUDAWAKO PIA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE KISHA MSIKILIZE MTOTO HAPPY KULE
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk

Rick: The Zombie Boy

MAENEO YA MAAJABU YA DUNIA

LAYIII
Leo Tunawaletea picha za maeneo ambayo yako katika mvuto wa kipekee.. Maeneo hayo yakiwa yapo yaliyotengenezwa na binadamu enzi za zamani sana na yapo ambayo kimsingi ni uumbaji wa mwenyezi mungu mwenyewe..
Embu Yatizame nawewe.

MWANAMKE MBARONI KWA TUHUMA ZA PEMBE ZA NDOVU

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUSKIA SAUTI YA MTOTO HAPPY
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mwanamke mmoja Magreth Mosha mkazi wa Kibaha mkoani Pwani kwa tuhuma ya kupatikana na vipande saba vya meno ya tembo.

Jeshi hilo pia linamshikilia Bw. Hamis Balewa mkazi wa kijiji cha Mbasa wilayani Malinyi kwa kukutwa na nyama ya sheshe kilo ishirini zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja.

JUA SABABU YA KWANINI KIATU CHA LIONEL MESSI KILIVYO WAKERA WAMISRI

LAYIII
BONYEZA PICHA YOYOTE KUSKILIZA SAUTI YA MTOTO HAPPY
 https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
Messi na mtanagazaji aliyempatia viatu vyake  

Mchezaji maarufu wa soka duniani amepeana viatu vyake vya kusakata soka katika mnada wa hisani,bila kujua kwamba hatua hiyo huenda ikawakera wengine.
Hicho ndio kisanga kilichompata nyota huyo wa Barcelona alipotaka kupeana viatu vyake huko Misri.
Kisa hicho kinajiri wiki chache baada ya Messi kupongezwa kwa kutimiza ndoto ya kijana mmoja wa Afghanistan alipomtumia boli na fulana yake.

KITUNGUU SWAUMU HUTIBI ZAIDI YA MAGONJWA 25 SOMA MAKALA HII

LAYIII

Kitunguu swaumu
Kitunguu swaumu
Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa na viinilishe vingi na mhimu sana kwa afya ya binadamu ni kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu ni dawa karibu kwa kila

VIJUE VIDONDA VYA TUMBO KWA MAMA MJAMZITO

Vidonda vya tumbo kwa mama mjamzito
 
Vidonda vya tumbo kwa mama mjamzito
VIDONDA VYA TUMBO KWA MAMA MJAMZITO
Mwanamke mjamzito anaweza kupata vidonda vya tumbo kabla au baada ya ujauzito. Hata hivyo tafiti nyingi zinathibitisha idadi ya wanawake wajawazito wanaopatwa na vidonda vya tumbo kwa sasa ni ndogo sana.
Umakini unahitajika sana katika kumchunguza mama mjamzito ili kuelewa nini kitakuwa ndiyo chanzo cha vidonda vya tumbo kwake.
Mwanamke ambaye ulikuwa unaumwa vidonda vya tumbo hata kabla ya kushika ujauzito unaweza kuendelea kutumia baadhi ya dawa rafiki (hasa zitokanazo na vyakula na mimea) za kutibu au kuzuia dalili za

UKWELI KUHUSU UKIMWI

LAYIII

Ukimwi
Ukimwi

Fuatana nami katika makala hii ndefu, unaweza kuzima kabisa intaneti yako wakati ukiendelea kusoma.
‘’Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwakuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, Mimi nami nitawasahau watoto wako – Hosea 4: 6’’.
Ukweli Kuhusu UKIMWI ni maelezo yanayoipinga dhana inayosema ugonjwa wa UKIMWI husababishwa na Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kupitia maandiko kadhaa ambayo yameshaandikwa na wanasayansi wengine

DAWA MBADALA TISA(9) ZINAZOTIBU UTI

LAYIII
· 26/10/2014
Dawa za U.T.I
Dawa za U.T.I
U.T.I ni kifupi cha maneno ya kiingereza: ‘Urinary tract infections’, ni maambukizi ya bakteria katika njia ya mkojo. Ni moja ya ugonjwa unaowakumba sana wanawake kwa sehemu kubwa ingawa hata wanaume pia wanapatwa na ugonjwa huu. Zaidi ya wanawake milioni 8 wanauguwa ugonjwa huu kila mwaka nchini Marekani peke yake.
Kama ulishawahi kupatwa na U.T.I basi hutazisahau dalili zake ambazo mara nyingi huanza kwa hitaji la

UJUWE UGONJWA WA UTI CHANZO NA MATIBABU YAKE

LAYIII
ugonjwa wa uti

UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima. UTI ni kifupisho cha Urinary Tract Infection. Huu ni ugonjwa ambao hushambulia figo (kidneys); ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo, kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili. Kwa kifupu ugonjwa wa UTI hushambulia viungo vinavyohusika katika

Tuesday, 29 March 2016

MAUMIVU WAKATI WA KUFANYA MAPENZI KWA MWANAMKE

LAYIII
MWANAMKE ACHEZA KIMAHABA OFISINI KWAKE MBELE YA WANAUME BONYEZA PICHA HII KUMSHUDIA

Maumivu wakati wa kufanya mapenzi ni hali inayojitokeza hasa kwa wanawake. Hujulikana kwa kitaalamu kama.

dyspareunia. Maumivu haya yanaweza kutokea wakati wa kufanya mapenzi au baada ya kufanya mapenzi. Sababu kuu za maumivu haya mara nyingi ni magonjwa ya zinaa na kupungua kwa majimaji ukeni wakati wa ngono.

SANAMU YA MGOMBEA URAIS NCHINI MAREKANI DONALD TRUMP YACHOMWA MEXICO SIKUKUU YA PASAKA

LAYIII
BONYEZA PICHA KUSIKILIZA TUKIO LA MTOTO ALIYEKUWA AMEKUFA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU KUONEKANA NDANI YA NYUMBA YA TAJIRI MMOJA ANAYESADIKIWA KUWA NDUGU YAKE
https://www.youtube.com/watch?v=mUlBC6Nj-ls
Raia wa Mexico wanaosherehea sikukuu ya pasaka wamekuwa wakichoma sanamu za mgombea wa kiti cha urais kupitia chama cha Republicans Donald Trump.
Mojawapo ya tukio hilo la kushangaza limefanyika katika kitongoji kimoja cha wakaazi walio na kipato cha chini kiitwacho La Merced.

NDEGE YATEKWA ILI MFUNGWA MMOJA ATOLEWE GEREZANI HUKO MISRI

LAYIII
JIUNGE NAMI YOUTUBE KUMSKILIZA YULE MTOTO ALIYE KAMATIKA AKIWA HAI AKATI KAZIKWA MIAKA MITATU ILIYOPITA BONYEZA PICHA YOYOTE HAPO CHINI
Ndege ya Egypt Air imelazimika kutua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Larnarca, Cyprus baada ya Rubani kulazimishwa kufanya hivyo akiwa angani na ni baada ya mtekaji huyo kumtishia kwamba anaweza kuilipua ndege kama asingefanya anachoagizwa.
Anachokitaka abiria huyu mtekaji alietajwa kuwa Seif Eldin Mustafa ni pamoja na kuachiwa

ILIKUPITA HII YA WANARIADHA KULA SABUNI WAKIZANI NI CHAKULA BASI ISOME HAPA

LAYIII
Wanariadha waliokuwa wanakimbia mbio ndefu za marathon walijipata wamekula sabuni baada ya kudhania kwamba zilikuwa chakula kutokana na kukosa kuelewa lugha ya kiingereza.
Takriban wanariadha 20,000 katika mbio za Qinyuan marathon kusini mwa mkoa wa Guangdong nchini Uchina walipata zawadi mda mfupi baada ya kumaliza mbo hizo katika

SINGLE MPYA YA VANESSA MDEE NDANI YA TRACE TV

LAYIII

March 28 2016 single mpya ya Niroge‘ ya mwimbaji Mtanzania Vanessa Mdee umegongwa kama starter kwenye Television ya Ufaransa Trace TV ambayo matangazo yake yamekua yakionekana Afrika, video hii mpya iliwekwa kwenye

MANENO YA MBEYA CITY BAADA YA TAARIFA KUHUSU JUMA KASEJA KUSAMBAZWA

LAYII

Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo inachezewa na golikipa wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga Juma Kaseja, mchana wa March 28 imeamua kuweka taarifa sawa kuhusiana na tetesi au uvumi uliokuwa unasambazwa mtandaoni kuhusuKaseja.

NKUIMESOGEZEA VIDEO MPYA YA MTANGAZAJI SAM SAGO

LAYIII
JIUNGE NAMI YOUTUBE BONYEZA PICHA HII HAPA
Mtangazaji wa Radio/TV Sam Misago ameendelea kuachia single zake mpya ikiwa hii ni single yake ya pili toka Watanzania wameanza kumuona kwenye maamuzi yake mapya ya kufanya muziki wa bongofleva anaoufanya kwa ku-rap, ukishaitazama hii video yake

NICK MINAJ AWAKA KWA HASIRA DHIDI YA MLINZI WAKE

LAYIII
MSIKILIZE HAPPYNESS HAPA BONYEZA PICHA YA NICK MINAJI
Hii ishu imetokea wakati Nicki Minaj akifanya show Dubai na kilichotokea ni kwamba Mlinzi wake huyo hakuwa makini na kazi, wakati Nicki yuko kwenye stage anaimba, akagundua kwamba upande wake wa kulia mmoja wa Walinzi wake hafanyi kazi inavyotakiwa maana kashika simu yake ya mkononi.

KATIKA VIDEO MPYA ZA BONGO FLEVA BASI HUTAIACHA NA HII YA AMINI "Hawajui"

LAYIII
Kwa harakaharaka ni zaidi ya miezi kumi na mbili imepita toka mara ya mwisho nimetazama video mpya ambayo Amini yuko ndani, ni mwimbaji mwenye miaka yake

advertise here