Friday, 28 August 2015

MAN U YAKAMILISHA USAJILI WA KEVIN

LAYIIII
Kupitia kwa mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Wolfsburg ya Ujerumani Klaus Allofs amethibitisha kwa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea kurudi katika Ligi Kuu Uingereza. Klaus Allofs amethibitisha kuwa klabu ya Wolfsburg imeridhia kumuachia Kevin De Bruyne ajiunge na klabu ya Manchester City.
De-Bruyne-main
De Bruyne akipiga picha na mashabiki wakati akiwa njiani kuelekea Manchester usiku wa August 28
Kevin De Bruyne atakuwa anarejea katika Ligi Kuu Uingereza ikiwa ni miezi 18 imepita

BZMORNING TANZANIA HAYA NDO MAGAZETI YA LEO 29/08/2015

LAYIII
.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 28,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku,

MBUNGE (WEMA SEPETU) ALIYESHINDWA AKALIBIWA NA KIPINDUPINDU

LAYIII
Brighton Masalu
Taarifa za ugonjwa wa kipindupindu zimebadili mfumo wa maisha ya watu wengi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha maeneo wanayoishi ni masafi lakini nyumbani kwa msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Kijitonyama jijini Dar hali ni tofauti

NAVY KENZO WAZIDI KUCHANA ANGA

layiii


Kundi linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo.
Boniphace Ngumije
KUNDI linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo, linaloundwa na wasanii ‘couple’, Aika na Nahreal limezidi kuchana anga baada ya wimbo wao unaoitwa Game

BZMORNING TANZANIA KUTANA NA MAGAZETI YA LEO 28/08/2015

LAYIII
.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 28,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa,

Magazeti 18 ya Tanzania August 28 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews( na millardayo.com)

layiii
trending-news
Uchambuzi wa magazeti kupitia @CloudsFM umefanyika tayari, ninazo zile zote zinazoweka headlines kwenye magazeti leo 28 August 2015 baadhi zikiwa…

KUTOKA UTURUKI WALIKOWEKA KAMBI TAIFA STAR HII NDIYO REPORT

LAYIII
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado ipo nchini Uturuki inaendelea na kambi yake ya siku nane kujiandaa kabla kucheza mechi dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles ya kuwania kufuzu AFCON 2017, mchezo utakaopigwa Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
ball
August 27 kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametoa ripoti kuhusu maendeleo ya kambi hiyo sambamba na hali za wachezaji, Mkwasa amethibitisha wachezaji kuwa katika hali nzuri

Thursday, 27 August 2015

Aunt Ezekiel, Wolper, Shamsa Ford walivyojitokeza kwenye mkutano wa ukawa August 27(POST YOTE NI KWA MUJIBU WA MILLARDAYO.COM)

LAYIII
Screen Shot 2015-08-27 at 8.43.21 PM
.
2015 ni mwaka wa headlines za Uchaguzi ambapo leo Agosti 27 Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) walifanya mazungumzo na mgombea Urais kupitia UKAWA, Mhe. Edward

MESSI ATANGAZWA MCHEZAJI BORA ULAYA KWA MWAKA 2014/2015

LAYIII
Hatua ya upangwaji makundi ya UEFA yaliambatana sambamba na kumchagua mchezaji bora wa mwaka wa Ulaya, waliyokuwa wanawania tuzo hiyo ni Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez.
messiwin
Lionel Messi ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya kwa mwaka 2014/2015, hiyo ni kauli ya Messi baada ya kutangazwa mshindi.

KAMPENI YA KINGWENDU YANIVUNJA MBAVU

LAYIII

Ona video yake hapo chini

MUGABE APATA WAKATI MGUMU BAADA YA KUZOMEWA NA WABUNGE WA CHAMA PINZANI

LAYIII

Wabunge wa upinzani Zimbabwe hawakumuacha Rais MUGABE hivi hivi…


mugabee
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa na wabunge wa vyama vya upinzani wakati akilihutubia Taifa akiwa bungeni.
Wabunge wa upinzani wa nchi hiyo walianza kuzomea  wakati Mugabe akiendelea na hotuba yake jambo ambalo lilimlazimu kukaa kimya kwa muda huku wakishinikiza msimamo wao kuwa nchi

HII NDIYO KAULI YA ARSENE WENGER KUHUSU USAJIRI KLABU YA ARSENAL

LAYIII
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ambaye amekuwa akiwakwaza mashabiki wa klabu hiyo kwa tabia yake ya kutopenda kutoa fedha nyingi ili apate mchezaji wa kiwango cha juu, Wenger ni kocha ambaye amekuwa na misimamo ya kutopenda kununua wachezaji kwa gharama ya juu.
Arsene Wenger
Hii ni taarifa kutoka kwake kwani baada kutokubali kukiri wazi kuwa ana mpango wa kufanya usajili msimu huu, August 27 imebidi aweke wazi kama sehemu ya kuwatuliza jazba mashabiki wa timu ambao walikuwa wakiamini kuwa huenda kocha huyo hana mpango wa kusajili tena msimu huu.

Wednesday, 26 August 2015

MAGUFULI AZIDI KUGALAGAZA MIKOANI HUKO

LAYIII

.
.
Wakati Ukawa wakiwa wamezuiliwa kutumia uwanja wa Jangwani uliopo Dar es Salaam kwenye shughuli za kampeni uchaguzi 2015, sasa hapa nina picha ambazo zikimuonesha mgombea

HATIMAYE DENNIS LASWAI AIBUKA MSHINDI WA TMT 2015

LAYIII

Mshindi wa TMT msimu wa pili, Dennis Laswai akiruka kwa furaha mara baada ya kutajwa kuwa mshindi.

MAJIBU YA DIAMOND KWA DIVA BALAAA ETI LABDA NINGEKUWA NIMEKUKAZA HEHEHEHEH

LAYIII

DIAMOND AMCHANA DIVA BAADA YA KUMTUPIA VIJEMBE!! ADAI LABDA ANGEMKAZA ASINGEMWONGELEA

HAWAKAI ZIZI MOJA, WANAKULA NYASI ZILEZILE!

LAYIII
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Unapowazungumzia mastaa waliojizolea mashabiki wengi Bongo kupitia muziki wa Kizazi Kipya, huwezi kuacha kuwataja Ali Saleh Kiba na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Wasanii hao,

POLISI YAZUIA ZIARA ZA LOWASSA ZISIZO RASMI

LAYIII
.
.
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku wagombea wa vyama vya siasa kufanya vitendo vinavyo hatarisha usalama wa raia na mali zao kwa kufanya mikusanyiko isiyo rasmi kwenye masoko na vituo vya daladala.

Tuesday, 25 August 2015

NIMEKUSOGEZEA VIDEO ZOTE ZA LOWASSA AKITEMBEA KWA MIGUU MITAANI JIJINI DAR ES SALAAM

LAYIII
EL 1Mgombea Urais wa UKAWA 2015 Edward Lowassa alianza ziara ya kuingia mitaani Dar es salaam Aug 24 2015 ili kukutana na Wananchi uso kwa uso na kusikiliza matatizo yao.

Monday, 24 August 2015

Vipengele 25 vya MAGUFULI, Kadi feki za wapigakura, Maneno ya MKAPA, SUMAYE na wasomi je?..#StoriKUBWA {CONTENT ZOTE NA MILLARDAYO}

LAYIII

CLIK
HABARILEO
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeweka historia na kujenga heshima ya taifa kwa kuweza kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mfumo wa BVR kwa mafanikio makubwa na kuyashangaza mataifa makubwa duniani.

ONGEZEKO LA UZITO LIMEMFANYA ZIDANE AMWONDOE HUYU JAMAA KIKOSINI

LAYIII
Real Madrid Castilla ni timu ya pili au ya wachezaji wa akiba wa klabu ya Real Madrid ya Hispania lakini ni sehemu ya Academy ya klabu ya Real Madrid na hushiriki katika Ligi ya Segunda Division B. Meneja wa Real Madrid Castilla ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Real Madrid Zinedine Zidane.
eero-main
Zidane kushoto, upande wa kulia Markkanen
Timu hiyo ya wachezaji wa akiba kupitia kwa meneja wake Zinedine Zidane

advertise here