layiii
Kwa miaka isiyozidi miwili hakukuwa na amani kati ya Producer wa AM Records Manecky na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz na ni baada ya Manecky kushutumiwa kuvujisha nyimbo za Diamond ambazo hazijakamilika.
Wednesday, 8 July 2015
KOCHA WA BAECELONA KUIONOA TEAM YA TAIFA BRAZIL BRAZIL
LAYIII
Pep Guardiola ni Kocha ambaye anaifundisha Klabu ya Bayern Munich, kwani ana mpango wa kuifundisha Timu yoyote ya Taifa? Dani Alves kafungua haya mengine yaliyokuwa kwenye moyo wa Kocha huyo.
Beki wa pembeni wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Dani Alves amethibitisha dhamira ya kocha wake wa zamani wa klabu hiyo Pep Guardiola kutaka kuinoa timu ya taifa ya Brazil.
Pep Guardiola kuifudisha Timu ya Taifa Brazil? Hiki ndio kilichomwangusha !!
Pep Guardiola ni Kocha ambaye anaifundisha Klabu ya Bayern Munich, kwani ana mpango wa kuifundisha Timu yoyote ya Taifa? Dani Alves kafungua haya mengine yaliyokuwa kwenye moyo wa Kocha huyo.
KUMBE H BABA KWENYE KABUMBU YUMO CHEKI HAPA
LAYIII
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii
kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, H Baba ambaye ametangaza rasmi sasa
hivi kurudi kwenye soka na kujiunga na timu ya Toto African.
‘Kupitia
kwenye kipindi cha AMPLIFAYA cha Clouds FM july 7, 2015 alifunguka na
kusema’Ni kweli kwamba mimi nina vipaji vingi sasa ubora wa vipaji ni
kuvioneshaMsanii H baba kuichezea Toto African?, maneno yake nimekuwekea hapa
Rais JK kuvunja Bunge, Tido Mhando na Wema Sepetu kuwa Mawaziri!? Wageni Dodoma je?>>>Stori Kubwa (Audio)
LAYIII

Ni Jumatano nyingine tena na inawezekana uchambuzi wa magazeti leo kupitia @CloudsFM ulikupita, hiki ndio nilichokipata kwenye Uchambuzi wa stori kubwa za Magazetini.
Rais JK anatarajia
kulihutubia na kulivunja Bunge kesho July 9 Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma amesema baadhi ya wageni wanaoingia jijini humo watalazimika
kulala nje ya Dodoma mpaka shughuli za Kiserikali zitakapoisha… CHADEMA wanafanya Mkutano kujadili mambo mengi ikiwemo kuangalia mchakato wa BVR.
Kuna stori pia kuhusu watu milioni 11 kuandikishwa kwenye daftari la wapigakura kwa kutumia mfumo wa BVR.
Mgombea Urais wa CCM, Maliki Malupu ametangaza Baraza la Mawaziri litakalokuwa na Mawaziri 18, Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo kungozwa na Tido Mhando na Naibu Waziri kuwa Wema Abraham Sepetu.
Mbunge Joshua Nassari amenusurika
ajali ya helikopta jana, yeye pamoja na wengine waliokuwepo kwenye
ajali hiyo wamepelekwa hospitali kwa ajili ya matibabu.
Uchambuzi wa stori zote uko kwenye hii sauti hapa niliyorekodi #PowerBreakfast.
JIMBO JIPYA LAGUNDULIKA DAR
LAYIII
Wafanyabiashara ni wengi na kila mmoja anataka mambo yake yaende vizuri ndio maana kwa gharama zote anazozimudu anahakikisha amefanikisha kufikia lengo la kuteka wateja wengi. Baada ya mwezi mtukufu mpango wa burudani Dar es salaam unahamia kiwanja kipya cha night club

HIKI NDICHO ABDU KIBA ANATAMANI KWA DIAMOND NA ALIKIBA
LAYIII
Post hii inamilikiwa na Abdu Kiba, msanii wa bongofleva ambaye ni mdogo wa Ali Kiba…. alifika TZA kwenye studio za Millard Ayo na kufanya Interview ya mambo mengi ambapo hii ni sehemu ya pili ya alichokiongea.

CHEKI ILE STYLE YA WACHINA YA KUFUTURU
LAYIII
Futari ni mlo ambao waislamu wengi hushirikiana kwa pamoja wakati wa jioni katika kipindi cha mfungo kwenye kipindi hiki cha Ramadhan… Kutokana na utaratibu ulivyo Futari huwa inaliwa wakati wa jioni.

Picha za Waislamu wa China wanavyoshiriki pamoja kwenye Futari!
Futari ni mlo ambao waislamu wengi hushirikiana kwa pamoja wakati wa jioni katika kipindi cha mfungo kwenye kipindi hiki cha Ramadhan… Kutokana na utaratibu ulivyo Futari huwa inaliwa wakati wa jioni.
MSIKIE MBUNGE WA SINGIDA HAPA AKIWAAGA WANANCHI WAKE
LAYIII
Leo July 08 2015 zimebaki saa chache kushuhudia Rais Jakaya Kikwete akivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wapo waliotangaza kwamba wanarudi Majimboni mwao kuomba tena Kura ili Uchaguzi wa August 2015 wapigiwe Kura za kuendelea kuwa Wabunge, lakini wapo walioaga pia.

Maneno ya Mbunge Mohammed Dewji alipokuwa akiaga watu wake Singida Mjini
Leo July 08 2015 zimebaki saa chache kushuhudia Rais Jakaya Kikwete
akivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wapo waliotangaza
kwamba wanarudi Majimboni mwao kuomba tena Kura ili Uchaguzi wa August
2015 wapigiwe Kura za kuendelea kuwa Wabunge, lakini wapo walioaga pia.
Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji ni Mfanyabiashara mkubwa lakini pia alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo, leo alitua siungida na kuhutubia Wapigakura wake.
Hizi ni Tweets zake alizoandika kile alichowaambia wakati anaaga kutogombea tena Jimbo hilo.
5000 KUSIMAMISHWA KAZI MICROSOFT KISA HIKI HAPA
LAYIII
Kampuni ya Microsoft (MST Tech 30) ni miongoni mwa kampuni kubwa za teknolojia duniani, wakiwa ni watengenezaji wakubwa wa bidhaa za kompyuta na simu duniani.
Kampuni ya Microsoft ilikuwa
na wafanyakazi 118,600 mpaka mwezi March 30 2015, kati yao wafanyakazi
60,000 walikuwa ndani ya Marekani… Mwaka 2014 kampuni hiyo
iliwasimamisha kazi watu 18,000.. wengi walishangazwa na uamuzi huo.
Microsoft inasimamisha kazi watu zaidi ya 5,000… Sababu ni hii iliyotajwa hapa !!
Kampuni ya Microsoft (MST Tech 30) ni miongoni mwa kampuni kubwa za teknolojia duniani, wakiwa ni watengenezaji wakubwa wa bidhaa za kompyuta na simu duniani.
Kampuni ya Microsoft ilikuwa
na wafanyakazi 118,600 mpaka mwezi March 30 2015, kati yao wafanyakazi
60,000 walikuwa ndani ya Marekani… Mwaka 2014 kampuni hiyo
iliwasimamisha kazi watu 18,000.. wengi walishangazwa na uamuzi huo.
Story kubwa kuhusu wao leo inahusu Kampuni hiyo kutangaza
tena kuwasimamisha kazi wafanyakazi 7,800 na hawatatoka Marekani tu
bali kwenye matawi yao yaliyoko sehemu mbalimbali Duniani.
Tuesday, 7 July 2015
BREAKINGS NEWZ HELICOPTER YA WABUNGE YAPATA AJALI
LAYIIII
Stori imeanza kuenea leo jioni July 07 2015 kwenye Mitandao ya Kijamii, inahusisha Mbunge wa CHADEMA kupata ajali ya Helicopter.

Stori imeanza kuenea leo jioni July 07 2015 kwenye Mitandao ya Kijamii, inahusisha Mbunge wa CHADEMA kupata ajali ya Helicopter.
Ajali ya Helicopter imetokea leo July 07 2015, ndani yake alikuwemo Mbunge wa CHADEMA
Stori imeanza kuenea leo jioni July 07 2015 kwenye Mitandao ya Kijamii, inahusisha Mbunge wa CHADEMA kupata ajali ya Helicopter.
Kwenye ukurasa wa Twitter wa CHADEMA zimeandikwa post zinazoonesha Mbunge Joshua Nassari ndiye
aliyepata ajali hiyo ya Helicopter, amepelekwa Hospitali kwa ajili ya
matibabu pamoja na rubani na watu wengine ambao hawajatajwa.
KATIKA MAGAZETI YA LEO 7/7/2014
LAYIII
Polisi wazuia wageni Dodoma, Lowassa asukiwa zengwe na hukumu ya kina Yona, Mramba…#MAGAZETINI JULY7
MWANANCHI
Kamati ya Maadili na Usalama ya CCM
itakutana kesho mjini Dodoma kuanza shughuli yake ya kupitia taarifa za
wagombea 38 wanaoomba kuwania urais na kisha kuwasilisha ushauri wake
kwenye kikao cha Kamati Kuu inayokutana keshokutwa.
Habari kutoka ndani ya CCM zinasema kuwa kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine hukasimisha shughuli zake kwa kamati ndogo inayoketi chini ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Philip Mangula.
MRAMBA ALIVOCHUKULIWA NA POLICE CHECK HAPA
LAYIII
July 6 2015 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu iliwahukumu mawaziri wa zamani kwenye serikali ya Tanzania awamu ya tatu, kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na faini ya milioni 5 baada ya kupatikana na hatia.

Video: Basil Mramba na Daniel Yona walivyochukuliwa na Polisi kupelekwa gere
LIJUE DAU LA KIUNGO HUYU HUKO BARCELONA
LAYIII
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano na Atletico Madrid kuhusu kumsajili kiungo Arda Turan kwa Pauni Milioni 29.
Winga huyo alizivutia pia klabu za Chelsea na Manchester United, lakini Barcelona imeshinda mbio za kuwania saini yake baada ya kufikiana makubaliano.
Barcelona yamaliza mpango wa kunasa saini ya kiungo huyu..unajua ni kwa dau gani?…
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano na Atletico Madrid kuhusu kumsajili kiungo Arda Turan kwa Pauni Milioni 29.
Winga huyo alizivutia pia klabu za Chelsea na Manchester United, lakini Barcelona imeshinda mbio za kuwania saini yake baada ya kufikiana makubaliano.
KENYA 14 WAUWAWA NA ALSHABABU
LAYIII
Takribani watu 14 wameuawa, 11 wakijeruhiwa baada ya Al-Shabaab kushambulia kijiji cha Soko Mbuzi kilichopo jirani na Mji wa Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya usiku wa kuamkia leo. Mamlaka husika huko Mandera yathibitisha.

WATU 14 WAUAWA NA AL-SHABAAB NCHINI KENYA
Maofisa wa polisi wakiwa eneo la tukio lilipotokea shambulio lililoua watu 14 usiku wa kuamkia leo.
Takribani watu 14 wameuawa, 11 wakijeruhiwa baada ya Al-Shabaab
kushambulia kijiji cha Soko Mbuzi kilichopo jirani na Mji wa Mandera,
Kaskazini Mashariki mwa Kenya usiku wa kuamkia leo.48 CCM ANAKATWA HAKATWI
LAYIII
WAKATI jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa likitajwa kila kona katika kinyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), saa 48 zimesalia kufahamu kuwa jina la mgombea huyo litakatwa au halitakatwa katika mchujo wa kwanza, Uwazi linashuka nayo.
MAKONGORO OGING NA OJUKU ABRAHAM
WAKATI jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa likitajwa kila kona katika kinyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), saa 48
WAKATI jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa likitajwa kila kona katika kinyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), saa 48 zimesalia kufahamu kuwa jina la mgombea huyo litakatwa au halitakatwa katika mchujo wa kwanza, Uwazi linashuka nayo.
SAA 48 ZA ANAKATWA, HAKATWI
WAKATI jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa likitajwa kila kona katika kinyang’anyiro cha kusaka nafasi ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), saa 48
Monday, 6 July 2015
WALIOMTESA DROGBA HAWA HAPA
LAYIII
Gwiji wa zamani wa soka la kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba, ni mmoja wa washambuliaji bora zaidi waliowahi kutamba katika barani Afrika, Asia na Ulaya.
Gwiji wa zamani wa soka la kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba, ni mmoja wa washambuliaji bora zaidi waliowahi kutamba katika barani Afrika, Asia na Ulaya.
Drogba kawataja hawa mabeki kwamba ndio waliomsumbua zaidi Uwanjani..
Gwiji wa zamani wa soka la kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea,
BAADA YA KUKOSA HOUSE GIRL SIARA AMEAMUA HAYA
LAYIII
Msanii maarufu wa R&B Ciara hivi karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje na anawezaje kuwa mama na mwanamuziki kwa wakati mmoja… Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake ya sasa hivi.

Ciara amekosa Housegirl? Haya ndio maisha yake na mtoto wake.. (Pichaz)
Msanii maarufu wa R&B Ciara hivi
karibuni alifanya interview kuzungumzia maisha yake ya kuwa mama yakoje
na anawezaje kuwa mama na mwanamuziki kwa wakati mmoja… Ciara alikuwa na mengi ya kuongea kuhusu life yake ya sasa hivi
Subscribe to:
Posts (Atom)