Monday, 22 June 2015

NINAZO STORY ZOTE ZA MAGAZETI YA LEO

LAYIII

Ninazo tayari stori kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya TZ leo JUNE 23, 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapamillardayo.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

KWA JINSI BARNABA ALIVYO TAKE CARE KWA VANNESA JUX LAZIMA APANIKI MCHEKI MWENYEWE HAPA



DAKIKA ZA MAJERUHI ZITTO AGALAGAZA CHADEMA

LAYIIII

PICHAZ:SHUHUDIA ZITTO KABWA ALIVYOIGALAGAZA CHADEMA KWA DAKIKA ZA MAJERUHI..........

 Wakati ccm na chadema wakijipanga kuchukua urais hapo octoba zitto  kabwe awagalagaza pamoja na kujinadi kwao fuatilia picha zao hapo ushudie yaliyo jili

 Msafara wa Viongozi wa ACT ukiwasili Kigoma...

RUDI TENA KATIKA HEADLINE ZA SWAXBZSITE

NA LAYIII

Ni kweli Rose Muhando kachukua pesa na hajaenda kwenye show?! #U Heard!! 


Leo kwenye UHeard na Soudy Brown kasogezewa malalamiko na Promota ambae anadai kuwa alikuwa na makubaliano na Rose Muhando ya kwenda kwenye show maeneo ya Njombe, Iringa lakini madai ya Promota huyo ni kwamba Rose alipokea hela na hajaenda kwenye show !! rose-muhanda

MAKUBWA HAYA SI MGOMBEA URAIS CCM KAPIGWA ..........NINI KISA FATILIA HAPA

LAYIII ON SPOT
Moja ya video ambayo watu wameshare sana kwenye mitandao ya Kijamii hasa kwenye Whatsapp siku chache zilizopita ilikuwa inaonesha Mgombea mmoja wa CCM akipigwa japo wengine waliiona hiyo video na hawakujua ni nani anayepiga na anapigwa kwa sababu gani !!

General News

Hizi ni sentensi 12 za Mgombea Urais wa CCM aliyepigwa Tanga pamoja na alichokisema Nape Nnauye.. (Audio)

DSC09640 (1)
Moja ya video ambayo watu wameshare sana kwenye mitandao ya Kijamii hasa kwenye Whatsapp siku chache zilizopita ilikuwa inaonesha Mgombea mmoja wa CCM akipigwa japo wengine waliiona hiyo video na hawakujua ni nani anayepiga na anapigwa kwa sababu gani !!

HAHAHAH REKODI MPYA NYAMA YA MBWA INAVYO LIWA KULE CHINA

NA LAYIII
China imeingia ingia kwenye headlines baada ya ulaji wa nyama ya mbwa kuongezeka nchini humo. Hapo awali ulaji wa nyama hio ulikatazwa nchini China baada ya kuonekana kua ulaji wa nyama hio ni kinyume na utaratibu wa kibinadamu kwa sababu mbwa

doog
China imeingia ingia kwenye headlines baada ya ulaji wa nyama ya mbwa kuongezeka nchini humo. Hapo awali ulaji wa nyama hio ulikatazwa nchini China baada ya kuonekana kua ulaji wa nyama hio ni kinyume na utaratibu wa kibinadamu kwa sababu mbwa walionekana kua viumbe venye thamani kubwa kwenye maisha ya bindamu, kwenye ulinzi na hata uwindaji pia.

Album ya Amini na mkewe ipo? Hussein Machozi kaacha muziki?? Diamond kazuia collabo za nje? Ziko zote hapa (Audio)

layiiii

Studio
Tunahesabu mwaka wa pili sasa hivi tangu staa wa Muziki ambae ni moja ya matunda mazuri ya THT, Amini Mwinyimkuu aingie kwenye Headlines baada ya kufunga ndoa.. aliyefunga nae ndoa ni msanii mwenzake pia, walituahidi album ya pamoja.. vipi huo mpango unaendaje mpaka sasa?

Msanii wa bongofleva aliethibitisha kupata Zero kwenye mtihani wa Form IV.

layiii on spot
Huwa ni mara chache sana utasikia staa au mtu maarufu kajitokeza au kakubali kuweka wazi kuhusu sehemu aliyowahi kuharibu au kufeli kwenye maisha. Kwenye muziki wa bongofleva tunae Nuh Mziwanda ambaye pia ni boyfriend wa msanii

MziwandaNATIONHuwa ni mara chache sana utasikia staa au mtu maarufu kajitokeza au kakubali kuweka wazi kuhusu sehemu aliyowahi kuharibu au kufeli kwenye maisha.
Kwenye muziki wa bongofleva tunae Nuh Mziwanda ambaye pia ni boyfriend wa msanii Shilole……

Unyama huu wa baba kwa binti yake na utetezi wake mahakamani..

layiii on spot
Si jambo la kawaida mzazi kuwa na uhusiano na mtoto wake wa kumzaa, na jamii nyingi zimekuwa zikipinga na kukemea maovu ambayo hufanywa na baadhi ya wazazi kuwafanyia vitendo ya unyanyasaji watoto wao hasa wale ambao hata hufikia hatua ya kubaka binti zao.


jailed
Si jambo la kawaida mzazi kuwa na uhusiano na mtoto wake wa kumzaa, na jamii nyingi zimekuwa zikipinga na kukemea maovu ambayo hufanywa na baadhi ya wazazi kuwafanyia vitendo ya unyanyasaji watoto wao hasa wale ambao hata hufikia hatua ya kubaka binti zao.
Kuna hii imetokea kule Zimbwabwe baada ya baba kumbaka binti yake wa miaka 15 kisha kumwambia ni utaratibu wa utamaduni wao kutembea na mtoto wa kwanza ndani ya familia.
Hata hivyo polisi hawakumuachia baba huyo baada ya kumfungulia mashtaka kwa kosa la ubakaji baada ya tukio hilo la aibu lakini aliendelea kujitetea kuwa ni utamaduni wa jamii yao.

Hali ilivyo baada ya Bunge kuvamiwa Pakistan leo June 22 2015

layiii
Hali sio nzuri Pakistan, kingine kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya ku vamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, yalikuwepo mabomu na risasi pia !!

Bunge Paki ii 


Hali sio nzuri Pakistan, kingine kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya ku vamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, yalikuwepo mabomu na risasi pia !!

Floyd Mayweather kwenye headlines nyingine, sasa hivi anawataka hawa wawili ulingoni !!

layiii
Bondia Floyd Mayweather ndio Bondia aliyeandika headlines nyingi zaidi mwaka 2015, ishu ya kuendeleza record yake kutopigwa tangu amekuwa professional kwenye ngumi sio kitu kidogo.. unajua aliowataja kwa 

NEW YORK, NY - DECEMBER 01:  Floyd Mayweather Jr. attends the New Orleans Pelicans vs New York Knicks game at Madison Square Garden on December 1, 2013 in New York City.  (Photo by James Devaney/WireImage)
Floyd Mayweather
Bondia Floyd Mayweather ndio Bondia aliyeandika headlines nyingi zaidi mwaka 2015, ishu ya kuendeleza record yake kutopigwa tangu amekuwa professional kwenye ngumi sio kitu kidogo..

Michezo Uamuzi wa TFF kwa kocha mkuu wa timu ya Taifa

layiii
Baada ya kufungwa mfululizo kwa timu ya Taifa, Taifa Stars hatimaye kocha mkuu wa timu hiyo Maart Nooij ametimuliwa kazi ya kuendelea kukinoa kikosi hicho.
Kamati ya utendaji ya Shirikisho la soka Tanzania TFF katika kikao chake kilichokaa jana usiku kimefikia uamuzi huo wa kumsimamisha kazi kocha huyo kuanzaia leo June 21 pamoja na kuvunja benchi la ufundi la timu hiyo.
 
stars
Baada ya kufungwa mfululizo kwa timu ya Taifa, Taifa Stars hatimaye kocha mkuu wa timu hiyo Maart Nooij ametimuliwa kazi ya kuendelea kukinoa kikosi hicho.

Sunday, 21 June 2015

BABA DAY KUVUNJA RECORD YA DUNIA MTOTO WA CHRISS BROUN NDO MGENI RASMI

LAYIII
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani

CHRIS BROWN AANDAA SHEREHE YA SIKU YA BABA DUNIANI, BINTIYE NDIYE MGENI RASMI


Chris Brown akiwa na binti yake Royalty Brown.
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani ambapo mgeni rasmi atakuwa binti yake Royalty Brown
mwenye umri wa mwaka mmoja.

HATIMAYE TFF YAMFUKUZA KAZI MAART NOOIJ

LAYIII
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja 

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenendo wa timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na
kuhudhuria mchezo kati ya Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmini ya mwenendo wa timu.
Kamati ya Utendaji kwa kauli moja imeamua yafuatayo;

Thursday, 18 June 2015

WE JAMAA NI GANI CHRIS BROWN AKIKUONA PATACHIMBIKA



UNITARY Entertainment

Kunani kati ya Karruache na mchezaji mpya wa Man United? Chris Brown katajwa pia!


Mshambuliaji mpya wa klabu ya Manchester United Memphis Depay, anaweza kujiingiza kwenye

NYINGINE KUTOKA KWA DONGATE AKA DIAMOND PLATNUMZ ,,,,,,,,, FATA HAPA MTU WANGU

LAYIII ON SPOT
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.

Diamond Platnumz kwenye kollabo nyingine na msanii Donald kutoka South Africa!!

donald-na-Diamond
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.
Kasi ya Diamond haijaishia hapo kwani sasa hivi ameingia tena studio South Africa na msanii Donald kutengeneza ngoma nyingine kupitia Universal Music Studios  

P SQUARE WAVUNJA RECORD........... NI WAPI UNGANA NAMI HAPA

LAYIII ON SPOT
Mastaa na maisha yao nyuma ya pazia, mengine ni haya nimeyajua leo toka kwa wakali wa Nigeria, Peter na Paul watoto wa Marehemu Chief Moses Okoye… wamesema toka mwaka 2007  hawaendi kanisani, kisa unajua ni nini?

Kumbe P Square hawajaingia kanisani kusali toka mwaka 2007? Kisa ni hiki hapa…

P Square 
Mastaa na maisha yao nyuma ya pazia, mengine ni haya nimeyajua leo toka kwa wakali wa Nigeria, Peter na Paul watoto wa Marehemu Chief Moses Okoye… wamesema toka mwaka 2007

Wednesday, 17 June 2015

ISSUE TATU HOT KUTOKA ITV

NA LAYIII
eo ndio mwisho wa Matangazo ya TV kwa Mfumo wa Analogy Tanzania
Wakati TZ ikitangaza kuzima Mitambo ya kurushia Matanagazo ya Digital mwaka 2012 ilkuwa ishu ambayo watu wengi hawakukubaliana nayo, ilikuwa kama watu wamewahishwa kuingia kwenye mfumo huo mpya wa Matangazo, leo iko stori nyingine kutoka TCRA ambapo wametangaza rasmi kwamba leo ndio siku ya mwisho kwa Matangazo ya Analogy kuruka Tanzania.

Stori kubwa tatu kutoka ITV>>> Ajali ya moto Dar, mwisho wa Matangazo ya Analogy Tanzania, Wabunge na bidhaa za nje.. (Audio))

 
News Hour JPEG 590X332 
Leo ndio mwisho wa Matangazo ya TV kwa Mfumo wa Analogy Tanzania

Wakati TZ ikitangaza kuzima Mitambo ya kurushia Matanagazo ya Digital mwaka 2012 ilkuwa ishu ambayo watu wengi hawakukubaliana nayo, ilikuwa kama watu wamewahishwa kuingia kwenye mfumo huo mpya wa Matangazo, leo iko stori nyingine kutoka TCRA ambapo wametangaza rasm

kona ya soka manchester yaibua kitu

layii
Klabu ya Manchester City imetuma ofa ya paundi milioni 40 kwenda kwa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kumnunua kiungo mshambuliaji raia wa England, Raheem Sterling.

sterling
Klabu ya Manchester City imetuma ofa ya paundi milioni 40 kwenda kwa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kumnunua kiungo mshambuliaji raia wa England, Raheem Sterling.
Ofa hii inakuwa ya pili toka kwa City ambao wanaonekana kuwa wamepania katika azma yao ya kumsajili kiungo huyu ambaye ametokea kuwa moja kati ya wachezaji muhimu kwenye kikosi cha Liverpool na timu ya taifa ya England katika siku za hivi karibuni.

MAPYA YAIBUKA STAA MKUBWA IRENE UWOYA ANA MIMBA TENA

LAYIII
Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.


Ni kweli Irene Uwoya ana mimba? Msami kazungumza hapa na Soudy Brown…#Uheard (Audio)

msami
Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.
Awali alikanusha taarifa lakini baadaye akadai kuwa hana uhakika na endapo ni kweli  basi ni ya kwake huku akimtaka Soudy amtafute mwenyewe ali ajue ukweli.
SIKILIZA HAPA
 

 

advertise here