Monday, 31 October 2016
Sunday, 30 October 2016
HESLB YAFAFANUA VIGEZO UTOAJI MIKOPO, WALIOKOSA SABABU ZATAJWA, WAPEWA NAFASI YA KUKATA RUFAA
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa ufafanuzi
kuhusu vigezo inavyotumia katika kuchambua, kupanga na kutoa mikopo kwa
wanafunzi 20,183 (asilimia 74) wa mwaka wa kwanza hadi sasa kati ya
25,717 iliyopanga kuwapa mikopo katika mwaka huu wa masomo, 2016/2017.
Idadi iliyobaki (asilimia 26) ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza itajazwa na waombaji ambao baadhi ya nyaraka walizowasilisha zinaendelea kuchambuliwa ili kuthibitisha uhalisi wake na baadhi
Idadi iliyobaki (asilimia 26) ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza itajazwa na waombaji ambao baadhi ya nyaraka walizowasilisha zinaendelea kuchambuliwa ili kuthibitisha uhalisi wake na baadhi
Wednesday, 26 October 2016
Monday, 24 October 2016
Sunday, 23 October 2016
SABABU ZA KUHARIBIKA MIMBA
KATIKA makala ya afya wiki hii tuangalie sababu zinazosababisha mimba kuharibika.
Kuharibika kwa mimba ni hali ya mwanamke kupata ujauzito na ukatoka
kabla ya muda wake ambapo tatizo hili huangaliwa kabla ya kutimiza wiki
20 tangu kutungwa kwake.
Hali hiyo inapotokea huitwa kuwa mimba imetoka au imeharibika (Miscarriage).
Hali hii ya mimba kuharibika inakuwa tofauti kabisa na utoaji mimba
ambapo kitendo cha kutoa mimba kinafanywa na binadamu kwa makusudi na
huwa amedhamiria kufanya hivyo.
KUTANA NA MWANAMKE MNENE KULIKO WOTE DUNIANI
Kwa mujibu wa jarida la Daily Mail, inaelezwa kuwa mwanamke huyo aitwaye
Iman Ahmad Abdulati mwenye miaka 36 hajawahi kutoka ndani kwa miaka 25
na amekua akiongezeka uzito wake kwa haraka mpaka kufikia kilo 500
zinazompa shida ya kujifanyia usafi na hata kula. Ripoti ya madaktari
inaonesha kuwa mwanamke huyu anasumbuliwa na maambukizi ya bakteria
ANAYEDAIWA KUTOKA KIMAPENZI NA WEMA KWA SASA ADAI HAJUI IDRIS SULTAN
Model
anayedaiwa kutoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu, Calisah
amefunguka na kuzungumzia tetesi hizo ambazo zimekuwa zikisambaa katika
mitandao ya kijamii.
Kijana huyo ambaye tayari ameshaonekana mara kadhaa katika baadhi ya
video za mastaa wa muziki nchini, amemmwagia sifa malkia huyo wa filamu
huku akishindwa kuweka wazi kama ni kweli anatoka naye kimapenzi au la!.
“Wema is a beautiful girl, sexy and every man’s dream, na mimi pia ni
mvulana mzuri ambaye mwanamke yeyote angependa kuwa na mimi, akiwemo
Wema mwenyewe,” Calisah alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV. “Siwezi
kusema moja kwa moja kwamba sisi ni wapenzi, lakini lakizima ujue kuwa
Wema ni mzuri na mimi mzuri,”
Pia kijana huyo alidai kuwa hamtambui Idris Sultan na hakumbuki kama
Tanzania imewahi
DIAMOND, HARMONIZE, AY, DJ D-OMMY WASHINDA TUZO YA AEAUSA
Diamond Platnumz, Harmonize, AY na DJ D-Ommy wa Clouds FM wameshinda tuzo ya African Entertainment Awards USA zilizotolewa usiku wa kuamkia Jumapili huko New Jersey, Marekani.
Diamond ameshinda kipengele cha Best Male Single na pia kuungana na AY kwenye Best Collabo (Zigo Remix).
Harmonize ameshinda tuzo ya Best New Artist huku D-Ommy akishinda tuzo ya Dj bora.
Katika kushukuru kwa tuzo hiyo, Harmonize ameandika kwenye Instagram:
MAREHEMU MICHAEL JACKSON AMEINGIZA $825M MWAKA HUU
Forbes
wametoa orodha ya mastaa waliofariki wanaoendelea kuingiza mkwanja
mrefu zaidi. Mfalme wa muziki wa Pop, Michael Jackson ndiye anayeongoza
orodha hiyo akiwa ameingiza kiasi cha dola milioni 825
Sababu ya kuongoza orodha hiyo imetajwa
ni kufuatia uamuzi wa kuuzwa nusu ya hisa zake kampuni Sony/ATV
inayomiliki nyimbo za The Beatles na kuingizia kiasi cha dola milioni
750.
Sunday, 9 October 2016
HIVI NDIVYO ALI KIBA ALIVYOWAVULUGIA NAVY KENZO
Wakizungumza katika kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi hii, wasanii hao wamesema zaidi ya mara mbili walipanga kushoot video hiyo lakini wameshindwa kumpata msanii huyo.
HAWA NDIO WANAUME KUMI WANAOCHUKIWA NA WANAWAKE
Kila ndoa inachangamoto zake na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa
wanandoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za kimungu
ambazo wanandoa hawawezi kuziepuka lakini kuna zile za kiuanadamua mbazo
nyingi ni za kimakusudi na mtu huamua tu kuwa hivyo. Katika kuangalia
ndoa leo nimeona nichambue aina kumi za waume ambao wake zao wanakereka kuwa nao;
(1) Wanaojione Kama Wafalume (King Husband); HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao ni kutumatuma hata kama mke anaumwa atapaswa kuamka na kupika, wanataka
(1) Wanaojione Kama Wafalume (King Husband); HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao ni kutumatuma hata kama mke anaumwa atapaswa kuamka na kupika, wanataka
TUHUMA ZA DIVALONESS KUJIUZA MAJIBU HAYA HAPA
Kupitia Kwenye Ukurasa wake wa Instagram ameandika haya hapa :
...
#Regrann from #divathebawse - LOL jaman wanawake wana mambo hahaha anyways . unaambiwa alietengeneza chat zangu za so called kudanga kwenye system ya cyber crime anaitwa Mirry au Maarufu kama Tzshade sijui nini anaishi Dubai , alichat na mwenzie akaenda whatsapp yangu ya biashara na ku crop kisha kuunganisha chat zake aka edit ila pia akasahau crop vizuri 😂😂 ,
ETI CHRISS BROWN KAVUNJA SIMU YA SHAIKI MOMBASA
Lakini tukio ambalo halikunukuliwa kwenye kamera limegubika vyombo vya habari nchini.
Shabiki mmoja mwanamke anatuhumu kuwa Chris Brown ameivunja simu yake alipojaribu kupiga picha 'selfie' alipowasili katika uwanja wa ndege Mombasa.
Monday, 26 September 2016
MSAADA MKE WA BOSS ANANITEGA
Boss wangu ni mtu mzima kidogo umri umeenda lakini mke wake ni kabinti kadogo alafu bado kabichi kabisa ni kabinti ambako saizi yake ni kijana mchapakazi kama mimi.
Nimeingia kwenye mtihani mzito mimi ni Dereva mara nyingi huwa namchukua na
KWA NINI DIAMOND PLATNUMZ NIMEKUWEKEA SABABU ZA UTOP WAKE HAPA
SUBSCRIBE YOUTUBE HAPA
Unadhani kwanini pamoja na kuwa kinywaji na brand maarufu duniani,
Coca-Cola inaendelea kumwaga fedha nyingi kwaajili ya matangazo?
Kampuni hiyo hutumia zaidi ya dola bilioni 3 duniani kote kwaajili ya matangazo kila mwaka. Kwanini sasa wanahitaji fedha nyingi kiasi hicho kujitangaza wakati kila mmoja katika dunia hii anaijua Coca-Cola?
Ni hivi – matangazo hayakukumbushi uende kununua soda pale unapokuwa na kiu – lahashaa! Kazi yake ni kuhakikisha jina lake linakaa zaidi kichwani kwako, na ni jina ndilo unalolinunua. Kwahiyo watahakikisha wanajitangaza ili ile nembo ya Coca-Cola ikae daima kichwani kwako.
Kampuni hiyo hutumia zaidi ya dola bilioni 3 duniani kote kwaajili ya matangazo kila mwaka. Kwanini sasa wanahitaji fedha nyingi kiasi hicho kujitangaza wakati kila mmoja katika dunia hii anaijua Coca-Cola?
Ni hivi – matangazo hayakukumbushi uende kununua soda pale unapokuwa na kiu – lahashaa! Kazi yake ni kuhakikisha jina lake linakaa zaidi kichwani kwako, na ni jina ndilo unalolinunua. Kwahiyo watahakikisha wanajitangaza ili ile nembo ya Coca-Cola ikae daima kichwani kwako.
Subscribe to:
Posts (Atom)